Jumamosi, 24 Machi 2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana

Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia tayari umejaa, kwamba imani katika Mungu lazima iwe kwa msingi wa Biblia na kwamba kama imani yetu kwa Mungu ni kwa msingi wa Biblia, basi kwa hakika tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Dhana hizi za kidini hutenda kama kamba zisizoonekana ambazo huzifunga kwa uthabiti na kuzisonga fikira zetu kiasi kwamba hatuitafuti kazi ya Roho Mtakatifu na hutufanya tusiweze kuitii kazi ya sasa ya Mungu. Tunawezaje basi kuelewa uhusiano kati ya Biblia na Mungu na Biblia na kazi ya Mungu? Bwana Yesu alisema, “Na neno lake haliishi ndani yenu: kwani hammwamini yule aliyemtuma. Tafuta katika maandiko; kwa kuwa ndani yake mnadhani kuwa mna uzima wa milele: na hayo ndiyo yananishuhudia. Nanyi hamtakuja Kwangu, kwamba mpate uhai"(Yohana 5:38-40). Mwenyezi Mungu anasema, "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atajua Mungu na kuidhinishwa na Mungu" (Neno Laonekana katika Mwili). Ni kwa njia ya kuacha Biblia tu tunapoweza kuja mbele ya Mungu na kuukubali wokovu Wake na kuhudhuria karamu ya ufalme wa mbinguni pamoja na Yeye.

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 评论:

Chapisha Maoni