Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutamani-Sana. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutamani-Sana. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 16 Septemba 2018
Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 16, 2018Biblia, Bwana-Anavyorudi, Kutamani-Sana, MathayoNo comments

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi
Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: "Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30). Wanasadiki kwamba wakati Bwana atakaporudi, ni yakini kwamba Atashuka akiwa...
Ijumaa, 14 Septemba 2018
Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 14, 2018Bwana-Yesu, Kutamani-Sana, mbinguni-wakati, YohanaNo comments

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie
Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi Wake: "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3)....