Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kiroho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kiroho. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 26 Januari 2019

Nyimbo za Dini | Umuhumi wa Maombi

Nyimbo za Dini | Umuhumi wa Maombi I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kushirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kuangaziwa na kuwa mwenye nguvu-nia. Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kuangaziwa...