Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ndiye-Mwanzo-na-Mwisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ndiye-Mwanzo-na-Mwisho. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 18 Februari 2018

Mungu Amekuja Mungu Ametawala | “Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18”


Mungu Amekuja Mungu Ametawala | “Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18”

1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, na tena Mwisho, na tena Mwisho, na tena Mwisho. Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, na Mvunaji (Mvunaji). Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji. Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji. Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji. Mungu Anakuwa mwili hasa kwa ajili ya kuikaribisha enzi mpya, na, kwa hakika, Anapoikaribisha enzi mpya, Atakuwa Ameikamilisha enzi ya kale wakati uo huo. Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.Ha! Ha! Ha! Ha! Kila wakati Yeye Mwenyewe Anapofanya kazi miongoni mwa mwanadamu, ni mwanzo wa mapigano mapya. Bila mwanzo wa kazi mpya, kwa kawaida hakungekuwa na kikomo kwa enzi ya kale. Na bila kikomo kwa enzi ya kale ni thibitisho kuwa vita na Shetani, vita na Shetani havijafika mwisho. (Ha!)
Ni kama tu Mungu Mwenyewe Anakuja miongoni mwa mwanadamu na kutenda kazi mpya ndipo mwanadamu atakapoweza kujitoa kutoka katika miliki ya Shetani, miliki ya Shetani, na kupata maisha mapya, maisha mapya na mwanzo mpya. Vinginevyo, mwanadamu ataishi milele katika enzi ya kale na milele kuishi katika ushawishi wa kale wa Shetani, katika ushawishi wa kale wa Shetani. Ha! Ha! Ha! Ha! Katika kila enzi inayoongozwa na Mungu, sehemu ya mwanadamu huwekwa huru, na hivyo, mwanadamu huendelea na kazi ya Mungu kuelekea enzi mpya. Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale wote ambao humfuata Yeye. Ushindi wa Mungu in ushindi, ushindi kwa wale wote wanaomfuata Yeye. Katika kila enzi inayoongozwa na Mungu, sehemu ya mwanadamu huwekwa huru, na hivyo, mwanadamu huendelea na kazi ya Mungu kuelekea enzi mpya. Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale wote ambao humfuata Yeye. Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale wote ambao humfuata Yeye.

Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho, Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji.


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo
2. Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi. Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu, Amejenga na kuimarisha Sayuni, kujenga na kuimarisha Sayuni. Kwa uadhama, Yeye huhukumu ulimwengu huu muovu, na huhukumu mataifa yote na watu wote, nchi na bahari na viumbe hai ndani yazo, pamoja na wale ambao wamelewa kwa divai ya uzinifu. Kwao Mungu atatimiza hukumu Yake.
Mungu atapata hasira nao, kuonyesha uadhama Wake, na kuwahukumu mara moja, bila taahira yoyote. Moto wa hasira Yake utazichoma dhambi zao za mauti, kuzichoma dhambi zao za mauti. Majanga yatawajia wakati wowote, na wataona vigumu kutoroka na kutafuta usalama; wakilia na kusaga meno yao, huleta maangamizi kwao wenyewe. Wataona vigumu kutoroka na kutafuta usalama; wakilia na kusaga meno yao, huleta maangamizi kwao wenyewe. Washindi, wana wapendwa wa Mungu, watabaki Sayuni. Hawatawahi kutoka hapo, hawatawahi kutoka hapo. Mungu aliye wa kweli pekee ameonekana (Mungu ameonekana)! Mwisho wa dunia (mwisho wa dunia) umefichuliwa mbele yetu. Hukumu katika siku za mwisho imeanza. Watu wote husikia sauti ya Mungu na kuzingatia matendo Yake. Sauti ya kusifu haitawahi kukoma kamwe, haitawahi kukoma kamwe. Watu wote husikia sauti ya Mungu na kuzingatia matendo Yake. Sauti ya kusifu haitawahi kukoma, haitawahi kukoma. Sauti ya kusifu haitawahi kukoma, haitawahi kukoma.


kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili