Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ni-Chanzo-cha-Uhai-kwa-Vitu-Vyote. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ni-Chanzo-cha-Uhai-kwa-Vitu-Vyote. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 21 Machi 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (I) Mwenyezi Mungu alisema, Leo Nitashiriki nawe mada mpya. Mada itakuwa ni nini? Kichwa cha mada kitakuwa “Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote.” Je, hii siyo mada kubwa kidogo kuweza kuijadili? Je, inaonekana kama kitu ambacho kidogo hakiwezi kufikika? Mungu kuwa...