Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Injili. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 17 Januari 2019

Wakristo Ushuhuda | Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Wakristo Ushuhuda | 8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa Wang Lan, Beijing Agosti 6, Mwaka wa 2012 Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote....

Jumatatu, 31 Desemba 2018

Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?

Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli? Na Siyuan Vyanzo vya Krismasi Kila mwaka, Krismasi inapokaribia, maduka kwenye mitaa hutayarisha maonyesho yang’aayo ya zawadi za Krismasi, pamoja na Baba Krismasi na miti ya Krismasi, na kadhalika....