Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sifa-na-Ibada. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sifa-na-Ibada. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 3 Januari 2019
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake...
Jumatatu, 31 Desemba 2018
Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?
By UnknownDesemba 31, 2018Biblia, maneno-ya-Mungu, Sifa-na-Ibada, Ukweli, Ushuhuda-wa-Injili, Vitabu, YesuNo comments

Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?
Na Siyuan
Vyanzo vya Krismasi
Kila mwaka, Krismasi inapokaribia, maduka kwenye mitaa hutayarisha maonyesho yang’aayo ya zawadi za Krismasi, pamoja na Baba Krismasi na miti ya Krismasi, na kadhalika....