Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Worship-Song. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Worship-Song. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 3 Januari 2019

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu. Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako. Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu. Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake...