Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ibada-Kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ibada-Kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 13 Agosti 2018

Unapaswa Kudumisha Ibada Yako Kwa Mungu

Unapaswa Kudumisha Ibada Yako Kwa Mungu Roho Mtakatifu Anafanya kazi vipi katika kanisa sasa? Je, una ufahamu wa hilo? Ni matatizo gani makubwa zaidi yanayowakumba ndugu na dada? Wamepungukiwa na nini zaidi? Kwa sasa, kuna watu ambao wako hasi katikati ya majaribio,...