Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kuomba. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kuomba. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 16 Juni 2018
Mwenyezi Mungu alisema | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 16, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, kuomba, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Mtu huwa na tatizo lipi anapopenda kupeana visingizio? Ni nini kiini chake? Yeye ni mkaidi. Watu wakaidi hawakubali ukweli kwa urahisi; sio watiifu, na wanaposababishwa na tabia potovu ya mwanadamu, lakini mwishowe, utapata ikiwa vigumu kuupata ukweli. Mambo ambayo watu hulazimika kuishi kwa kudhihirisha na kwa kawaida kufichua kwa asili yao, hali na silika zao—yale ambayo huwa wanafanya, yale ambayo huwa wanafikiri, mtazamo ambao wao huwa nao na hali zao zilivyo, mambo ambayo kwa kawaida yamefunuliwa—yote ni kinyume cha ukweli. Yaani, hawataki kuukubali ukweli, hawatilii maanani usahihi au makosa ya ukweli, na mambo ambayo huwa wanafikiri kuyahusu na kufanya hayana uhusiano wowote na ukweli. Wanataka kufanya mambo kila wakati kulingana na dhana na tamaa zao wenyewe, na kulingana na wanayopenda.