Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Christian-Praise-Song. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Christian-Praise-Song. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 8 Agosti 2018

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended I Aa ... hii hapa anga, oh ... anga iliyo tofauti sana! Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi. Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu, Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za...