Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msifuni-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msifuni-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 8 Agosti 2018

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended I Aa ... hii hapa anga, oh ... anga iliyo tofauti sana! Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi. Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu, Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za...

Jumanne, 31 Julai 2018

Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu

Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu         I Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu. Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia. Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila...

Jumamosi, 31 Machi 2018

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa Wenzhong , Beijing Agosti 11, mwaka wa 2012 Usiku wa Julai 21, mwaka wa 2012, tulikuwa na mafuriko makubwa hapa, ambayo hutokea kwa nadra. Ningependa kumwambia kila mtu aliye na kiu ya Mungu kile nilichokipitia kwa kweli na kukiona wakati...