Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Mwenyewe. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Mwenyewe. Onyesha machapisho yote
Jumatano, 28 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
By UnknownMachi 28, 2018Mamlaka-ya-Mungu, Mungu-Mwenyewe, Mwendelezo-wa-Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, Yule-wa-KipekeeNo comments
Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho? Je, vikao hivi vya ushirika vilikupa ufahamu wa kina kuhusu Mungu?
Jumatano, 21 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII
By UnknownMachi 21, 2018Mamlaka-ya-Mungu, Mungu-Mwenyewe, Mwendelezo-wa-Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII
Hadithi ya 2. Mlima Mkubwa, Kijito Kidogo, Upepo Mkali, na Wimbi Kubwa
Mwenyezi Mungu alisema, Kulikuwa na kijito kidogo kilichotiririka kwa kuzungukazunguka, hatimaye kikawasili chini ya mlima mkubwa. Mlima ulikuwa unazuia njia ya kijito hiki, hivyo kijito kikauomba mlima kwa sauti yake dhaifu na ndogo, “Tafadhali naomba kupita, umesimama kwenye njia yangu na umenizibia njia yangu kuendelea mbele.” Basi mlima ukauliza, “Unakwenda wapi?” Swali ambalo kijito kililijibu, “Ninatafuta makazi yangu.” Mlima ukasema, “Sawa, endelea na tiririkia juu yangu!” Lakini kwa sababu kijito kilikuwa dhaifu sana na kichanga sana, hakukuwa na namna kwake kutiririka juu ya mlima mkubwa hivyo, hivyo hakikuwa na uchaguzi bali kuendelea kutiririka chini ya mlima ...
Jumanne, 20 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X
By UnknownMachi 20, 2018Mungu-Mwenyewe, Mwendelezo-wa-Neno-Laonekana-katika-Mwili, ulimwengu-wa-kiroho, Vitabu, Yule-wa-KipekeeNo comments
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X
Jinsi Mungu Anavyotawala na Kuongoza Ulimwengu wa Kiroho
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa ulimwengu yakinifu, watu wakikosa kuelewa vitu au jambo fulani, wanaweza kutafuta taarifa mwafaka, vinginevyo wanaweza kutumia njia mbalimbali kubaini asili ya habari kuvihusu. Lakini inapokuja kwa ulimwengu huu mwingine ambao tunauzungumzia leo—ulimwengu wa kiroho ulio nje ya ulimwengu yakinifu—watu hawana hasa mbinu au njia za kujifunzia chochote kuuhusu. Mbona Ninasema hivi? Kwa sababu, katika ulimwengu wa mwanadamu, kila kitu cha ulimwengu yakinifu hakijitengi na uwepo wa kimwili wa mwanadamu, na kwa sababu watu wanahisi kwamba kila kitu katika ulimwengu yakinifu hakitenganishwi na maisha yao ya kimwili na uhai wao wa kimwili, watu wengi wanafahamu tu kuhusu, au kuona, vitu yakinifu mbele ya macho yao, vitu vinavyoonekana kwao.
Alhamisi, 22 Februari 2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III
By UnknownFebruari 22, 2018Kazi-ya-Mungu, Mungu-Mwenyewe, Neno-Laonekana-katika-Mwili, tabia-ya-Mungu, VitabuNo comments
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III
Mwenyezi Mungu alisema, Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa na athari kubwa kwa kila mmoja wa watu. Kwa sasa, watu wanaweza hatimaye kuhisi uwepo wa kweli wa Mungu na kwamba Mungu kwa hakika yuko karibu sana na wao. Ingawa watu wamemwani Mungu kwa miaka mingi, hawajawahi kuelewa kwa kweli mawazo na fikira Zake kama wanavyozielewa sasa, wala hawajawahi kupata kwa kweli uzoefu wa matendo Yake halisi kama walio nao kwa sasa. Kama ni maarifa au matendo halisi, watu wengi wamejifunza kitu kipya na kutimiza ufahamu wa juu zaidi, na wametambua kosa lililopo katika ufuatiliaji wao wa kale, wametambua hali yao waliyopitia ya juujuu na kwamba mambo mengi sana hayaambatani na mapenzi ya Mungu, na wametambua kwamba kile ambacho binadamu amepungukiwa nacho zaidi ni maarifa ya tabia ya Mungu.