Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mamlaka-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mamlaka-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 23 Machi 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)" Sehemu ya Tatu
By ye.fengMachi 23, 2019Mamlaka-ya-Mungu, maneno-ya-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)" Sehemu ya Tatu
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Baada ya Kuumba Viumbe Vyote, Mamlaka ya Muumba Yanathibitishwa na Kuonyeshwa kwa Mara Nyingine Tena Kwenye Agano la Upinde wa Mvua
Njia na Sifa za Kipekee za Matamshi ya Muumba Ni Ishara ya Utambulisho na Mamlaka ya Kipekee ya Muumba
Jumapili, 29 Aprili 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III
By UnknownAprili 29, 2018Mamlaka-ya-Mungu, Mwendelezo, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III
Mamlaka ya Mungu (II)
Sehemu ya Kwanza
Mwenyezi Mungu alisema, Leo tutaendelea na ushirika wetu kuhusu mada ya “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee.” Tayari tumekuwa na ushirika mara mbili katika mada hii, wa kwanza kuhusiana na mamlaka ya Mungu na wa pili kuhusiana na tabia ya haki ya Mungu. Baada ya kusikiliza ushirika huu mara mbili, je, umepata ufahamu mpya wa utambulisho wa Mungu, hadhi, na hali halisi? Je, maono haya yamekusaidia kufikia maarifa mazito zaidi na uhakika wa ukweli kuuhusu uwepo wa Mungu? Leo Ninapanga kufafanua mada hii ya “Mamlaka ya Mungu.”
Kuelewa Mamlaka ya Mungu Kutoka kwa Mitazamo Mikubwa na Midogo
Mamlaka ya Mungu ni ya kipekee. Ndiyo maonyesho ya sifa ya, na hali halisi maalum ya, utambulisho wa Mungu Mwenyewe. Hakuna kiumbe ambacho kiliumbwa wala kile ambacho hakikuumbwa kinachomiliki maonyesho ya sifa kama hizi na hali halisi maalum; Muumba tu ndiye anayemiliki aina hii ya mamlaka.
Jumatano, 28 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
By UnknownMachi 28, 2018Mamlaka-ya-Mungu, Mungu-Mwenyewe, Mwendelezo-wa-Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, Yule-wa-KipekeeNo comments
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
Mamlaka ya Mungu (I)
Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho? Je, vikao hivi vya ushirika vilikupa ufahamu wa kina kuhusu Mungu?
Jumatano, 21 Machi 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII
By UnknownMachi 21, 2018Mamlaka-ya-Mungu, Mungu-Mwenyewe, Mwendelezo-wa-Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII
Hadithi ya 2. Mlima Mkubwa, Kijito Kidogo, Upepo Mkali, na Wimbi Kubwa
Mwenyezi Mungu alisema, Kulikuwa na kijito kidogo kilichotiririka kwa kuzungukazunguka, hatimaye kikawasili chini ya mlima mkubwa. Mlima ulikuwa unazuia njia ya kijito hiki, hivyo kijito kikauomba mlima kwa sauti yake dhaifu na ndogo, “Tafadhali naomba kupita, umesimama kwenye njia yangu na umenizibia njia yangu kuendelea mbele.” Basi mlima ukauliza, “Unakwenda wapi?” Swali ambalo kijito kililijibu, “Ninatafuta makazi yangu.” Mlima ukasema, “Sawa, endelea na tiririkia juu yangu!” Lakini kwa sababu kijito kilikuwa dhaifu sana na kichanga sana, hakukuwa na namna kwake kutiririka juu ya mlima mkubwa hivyo, hivyo hakikuwa na uchaguzi bali kuendelea kutiririka chini ya mlima ...