Jumatano, 4 Julai 2018

Best Swahili Worship Song "Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu


Best Swahili Worship Song"Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu

I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kukurudia Wewe. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sana. Mara nyingi nilitoa machozi na kuhuzunika sana, mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani. Lakini hujaniacha kamwe. Uliniongoza kupitia taabu nyingi, Ukanilinda katika hatari nyingi. Sasa najua kuwa Umenipenda.

 II
Ee Mungu! Unaniongoza katika maisha mapya. Nikifurahia maneno Yako, nimeelewa mapenzi Yako. Maneno Yako yanihukumu na kuniadhibu, na kutakasa upotovu wangu. Kupitia majaribu nimejifunza kukutii Wewe. Ninapokua katika neno Lako, nimekuja kukujua Wewe. Niko tayari kufanya wajibu wangu kwa ushahidi Wako na utukufu. Nitakupenda Wewe wakati wote. Nikibarikiwa au kulaaniwa, nitafurahia kuwa chini ya rehema Yako. Nitakupa upendo wa kweli, na sitakufanya Ungoje. Nitakupa upendo safi, tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa upendo wangu wote, na kuacha Upate upendo wangu. Nitakupenda wakati wote; kukuridhisha ni tamanio langu. 

 kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 

Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Upendo-wa-Mungu, Nitampenda-Mungu,

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

0 评论:

Chapisha Maoni