Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaribio. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaribio. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 1 Machi 2019
Neno la Mungu | Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu
Unampenda Mungu kiasi gani hasa leo? Na unajua kiasi gani hasa kuhusu yote ambayo Mungu amefanya ndani yako? Haya ni mambo unayopaswa kujifunza. Mungu anapowasili duniani, yote ambayo Amefanya ndani ya mwanadamu na kumkubalia mwanadamu kuona ni ili mwanadamu atampenda na kumjua Yeye kweli. Kwamba mwanadamu anaweza kuteseka kwa ajili ya Mungu na ameweza kufikia umbali huu ni, kuhusiana na jambo moja, kwa sababu ya upendo wa Mungu, na kuhusiana na jambo lingine, ni kwa sababu ya wokovu wa Mungu;
Alhamisi, 21 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kuhusu Uzoefu
Katika uzoefu wote wa Petro, alikumbana na mamia ya majaribio. Ingawa watu wa leo wanafahamu neno “jaribio,” wao huchanganyikiwa kuhusiana na maana yake ya kweli na hali. Mungu hutuliza azimio la watu, husafisha imani yao, na hukamilisha kila sehemu yao—na hii hufanikishwa kimsingi kupitia majaribio, ambayo pia ni kazi ya Roho Mtakatifu iliyofichwa. Inaonekana kama kwamba Mungu amewaacha watu, na kwa hivyo wasipokuwa waangalifu, watayaona majaribio haya kama majaribu ya Shetani.
Jumamosi, 19 Mei 2018
67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa
By UnknownMei 19, 2018Kazi-ya-Mungu, mabadiliko-katika-tabia, Majaribio, Ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa
Yixin Jiji la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei
Kabla, ningewasikia mara kwa mara ndugu zangu wa kiume na wa kike wakisema, "Kila kitu ambacho Mungu hufanya ni kwa ajili ya matokeo mazuri; ndiyo yote wanayohitaji watu."
Ijumaa, 27 Aprili 2018
Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu
By UnknownAprili 27, 2018Kiumbe-Aliyeumbwa, Majaribio, makusudi-ya-Mungu, Usafishaji, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu
Mji wa Kuiqian Rizhao, Mkoa wa Shandong
Kituo changu katika maisha, au hadhi, kilikuwa kitu ambacho sikuweza kamwe kukiachilia, na wakati Mungu alitengeneza mazingira yaliyonifichua, nilikuwa hasi, nikilalamika, na kukata tamaa tu.