Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video-za-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video-za-Injili. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 3 Oktoba 2018

Filamu za Kikristo | "Vita" | God Saved Me From the Hands of False Shepherds (Swahili Subtitles)

Filamu za Kikristo | "Vita" | God Saved Me From the Hands of False Shepherds (Swahili Subtitles) Zhang Hui alikuwa mzee katika kanisa la nyumbani la Kichina. Kila wakati alikuwa mtafutaji mwenye bidii, na alikuwa anangojea kuja kwa Bwana. Katika miaka ya hivi majuzi, alishuhudia kanisa likikumbwa na huzuni pole pole...

Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Neno la Mungu | "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?"

Neno la Mungu | "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?" Mwenyezi Mungu alivyosema, “Historia inaendelea mbele, na pia kazi ya Mungu, na matakwa ya Mungu yanaendelea kubadilika. Haingewezekana kwa Mungu kudumisha hatua moja ya kazi kwa miaka elfu sita, kwani kila mwanadamu anajua...

Jumanne, 12 Juni 2018

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa. Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi? New Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa...

Jumamosi, 9 Juni 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu      Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya.… Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni...

Jumapili, 31 Desemba 2017

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?

Kwa miaka elfu mbili, tumemwamini Bwana kulingana na Biblia, na wengi wetu sana huamini “Biblia inamwakilisha Bwana, kumwamini Mungu ni kuamini Biblia, kuamini Biblia ni kumwamini Mungu,” Je, mawazo haya ni sahihi? Kumwamini Mungu kunamaanisha nini kwa kweli? Kunamaanisha...