Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wakristo-ushuhuda. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wakristo-ushuhuda. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 26 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (3)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (3)
Mungu amewaaminia wanadamu vitu vingi sana na Amezungumza bila kikomo juu ya kuingia kwao. Lakini kwa sababu ubora wa tabia ya watu ni duni mno, maneno mengi ya Mungu yameshindwa kuanza kustawi. Kuna sababu...
Alhamisi, 24 Januari 2019
Ushuhuda wa Washindi | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe
By UnknownJanuari 24, 2019CCP, imani-ya-kidini, Maombi, Mateso, Ushuhuda-wa-Washindi, Vitabu, Wakristo-ushuhudaNo comments

Ushuhuda wa Washindi | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe
Dong Mei, Mkoa wa Henan
Mimi ni mtu wa kawaida. Niliishi maisha ya kawaida. Kama wengi wanaotamani sana mwanga, nilijaribu njia nyingi kutafuta maana ya kweli ya uwepo wa wanadamu, nikijaribu kuyapa...