Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumanne, 12 Juni 2018

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa. Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi? New Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa...

Jumatatu, 11 Juni 2018

Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote

Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote Hatua moja ya kazi ya enzi mbili za awali ilifanyika Israeli; nyingine ilifanyika Yudea. Kuzungumza kwa jumla, hakuna hatua ya kazi hii iliyoondoka Israeli; zilikuwa ni hatua za kazi zilizofanywa miongoni mwa wateule wa mwanzo. Hivyo,...

Jumapili, 10 Juni 2018

Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!

Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!     Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa...

Jumamosi, 9 Juni 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu      Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya.… Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni...

Ijumaa, 8 Juni 2018

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu. Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako. Majaribu huja, yakabili; ijue nia...

Alhamisi, 7 Juni 2018

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki Kila wakati Umeme wa Mashariki linapotajwa, ndugu wengi katika Bwana huhisi mafadhaiko: Ni kwa nini jumuiya ya kidini kwa ujumla huzidi kuhuzunika na kupotoka, wakati kila dhehebu linazidi kuwa na hadhari na kushikilia ukale...

Jumatano, 6 Juni 2018

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Wafuasi wengi wa Bwana Yesu Kristo husikia kuhusu Umeme wa Mashariki kutoka kwa wachungaji wao, wazee wa kanisa, au wahubiri, lakini kwa hakika hakuna mtu anayejua Umeme wa Mashariki ulitoka wapi. Linapokuja suala la...

Jumanne, 5 Juni 2018

Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria

Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria     Amri na sheria ambazo Yehova Mungu aliwapa Waisraeli hazijakuwa na athari kubwa sana kwa sheria ya binadamu tu, lakini pia zimetekeleza jukumu muhimu katika kuanzishwa...

Jumatatu, 4 Juni 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu     Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their...

Jumapili, 3 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 3. Ujana Uliotumiwa Bila Majuto

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 3. Ujana Uliotumiwa Bila Majuto                                           Xiaowen, Chongqing "Upendo ni hisia safi, safi bila ya...

Jumamosi, 2 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kuona Ni Kuamini" Haipaswi Kuaminiwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kuona Ni Kuamini" Haipaswi Kuaminiwa                           Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan Awali, nilipokuwa nikisikia watu wakitoa maoni juu ya...

Ijumaa, 1 Juni 2018

10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu Heyi   Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning Nilikuwa nimepandishwa cheo tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini...