Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Ijumaa, 15 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 91. Kupitia Aina Tofauti Za Mazingira Kuna Manufaa Kwa ukuaji Wa Maisha Ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 91. Kupitia Aina Tofauti Za Mazingira Kuna Manufaa Kwa ukuaji Wa Maisha Ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu
Ni vyema kupitia mazingira ya aina tofauti. Mungu hakupangii mazingira haya bila sababu. Yeye hakuongozi popote pale bila makusudi, bali Yeye huandaa mazingira fulani spesheli kwa kila mmoja—mazingira ya kifamilia, mazingira ya kimaisha, mazingira uliyokulia, na mazingira unatekeleza majukumu yako punde utakapo mwamini. Yeye hutayarisha hali au mazingira fulani spesheli kwako wewe kuzipitia.

Alhamisi, 14 Juni 2018

Mwenyezi Mungu | Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu

Mwenyezi MunguKujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu

Umeme wa Mashariki, Kujua Mungu, Hatua Tatu-za Kazi ya-Mungu,

Kazi ya kumsimamia mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu, na ina maana kuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu. Hatua hizi tatu hazihusishi kazi ya kuuumba ulimwengu, ila ni hatua tatu za kazi ya Enzi ya Sheria, Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme. Kazi ya kuiumba dunia ilikuwa kazi ya kusababisha uwepo wa wanadamu wote. Haikuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu, na haina uhusiano na kazi ya kumwokoa mwanadamu, kwa kuwa dunia ilipoumbwa mwanadamu hakuwa amepotoshwa na Shetani, na hivyo hakukuwa na haja ya kutekeleza kazi ya kumwokoa mwanadamu.

Jumatano, 13 Juni 2018

Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi-Mungu,  Mungu,
Kwa miaka mingi Roho wa Mungu Amekuwa akitafuta bila kikomo Akifanya kazi duniani. Kwa enzi nyingi Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hupitia wanadamu mbalimbali kufanya kazi Yake na kwa kiasi kikubwa hutumia wanadamu kufanya hivyo. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya Mungu haijawahi kusimama. Inaendelezwa mbele kupitia mwanadamu, bila kikomo mpaka siku ya leo. Ingawa Mungu Amesema na Ametenda mengi, mwanadamu bado hamjui Mungu, hii ni kwa sababu Mungu hajawahi kuonekana na mwanadamu na Yeye Hana umbo.

Jumanne, 12 Juni 2018

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa.
Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi?

New Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana
I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.
Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
"Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana."
Usisahau kwenda na upendo wangu.
II
Bata bukini wa mwituni wawili wawili, wakipaa mbali zaidi.
Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?
Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako.
Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.
Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,
kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.
Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri.
Nitapaa mbali na raha ya hii dunia.
Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

Umemewa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatatu, 11 Juni 2018

Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote

Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Hatua moja ya kazi ya enzi mbili za awali ilifanyika Israeli; nyingine ilifanyika Yudea. Kuzungumza kwa jumla, hakuna hatua ya kazi hii iliyoondoka Israeli; zilikuwa ni hatua za kazi zilizofanywa miongoni mwa wateule wa mwanzo. Hivyo, kwa mtazamo wa Waisraeli, Yehova Mungu ni Mungu wa Waisraeli pekee. Kwa sababu ya kazi ya Yesu huko Yudea, na kwa sababu ya kukamilisha Kwake kazi ya kusulubiwa, kwa mtazamo wa Wayahudi, Yesu ni Mkombozi wa watu wa Kiyahudi.

Jumapili, 10 Juni 2018

Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!

Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

    Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa katika nuru, hakuna kitu kinachobaki katika giza. Katika ufalme, maisha ya watu wa Mungu pamoja na Mungu ni ya furaha isiyolinganishwa. Maji yanacheza kwa ajili ya maisha ya watu yaliyobarikiwa, milima inafurahia utele Wangu pamoja na watu.

Jumamosi, 9 Juni 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

     Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya.… Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua ukweli wa kweli!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ulimwengu

    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
      Utukufu wote Uwe kwa Mwenyezi Mungu!

Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Listen to hymns Sikiliza nyimbo   FILAMU-ZA-INJILI 

Ijumaa, 8 Juni 2018

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu. Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili;
ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara. Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.
Soma neno Lake, elewa ukweli Wake.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake. Ingawa tunakosa, tunapaswa kutafuta kumpenda Mungu.
Mradi tunampenda Yeye, bila shaka tutapokea sifa Yake.
Lazima tufuatilie ukweli na kumshuhudia Mungu.
Huu ni wajibu wetu ambao lazima tuufanye.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.
Soma neno Lake, elewa ukweli Wake.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake, na uishi ukweli Wake, na uishi ukweli Wake.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo na Kucheza,

     Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na 

mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. 

Alhamisi, 7 Juni 2018

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, ukweli

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Kila wakati Umeme wa Mashariki linapotajwa, ndugu wengi katika Bwana huhisi mafadhaiko: Ni kwa nini jumuiya ya kidini kwa ujumla huzidi kuhuzunika na kupotoka, wakati kila dhehebu linazidi kuwa na hadhari na kushikilia ukale katika kushutumu na kufukuza Umeme wa Mashariki, Umeme wa Mashariki halihuzuniki tu na kudhoofika, lakini linaendelea mbele kama mawimbi yasiyoweza kusimamishwa, likienea kote China Bara? Sasa kuwa hata limepanuka hata nje ya mipaka ya China hadi nchi za kigeni na maeneo, kama linavyokubaliwa na watu zaidi na zaidi duniani kote?

Jumatano, 6 Juni 2018

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Wafuasi wengi wa Bwana Yesu Kristo husikia kuhusu Umeme wa Mashariki kutoka kwa wachungaji wao, wazee wa kanisa, au wahubiri, lakini kwa hakika hakuna mtu anayejua Umeme wa Mashariki ulitoka wapi. Linapokuja suala la asili ya Umeme wa Mashariki, kila mtu ana maoni yake mwenyewe: Watu wengine wanaamini kuwa ni dhehebu jipya tu katika Ukristo, wengine huitweza kuwa “uasi” au “dhehebu bovu.” Watu wana mawazo haya ya upuuzi kwa sababu hawajui kazi ya Mungu.

Jumanne, 5 Juni 2018

Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria

Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria

    Amri na sheria ambazo Yehova Mungu aliwapa Waisraeli hazijakuwa na athari kubwa sana kwa sheria ya binadamu tu, lakini pia zimetekeleza jukumu muhimu katika kuanzishwa na utengenezwaji wa ustaarabu wa kimaadili na taasisi za kidemokrasia katika jamii za binadamu. Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itaonyesha ukweli wa kihistoria!

Kanisa-la Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, Kutoa-Sheria,

    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatatu, 4 Juni 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

    Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu
Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries, and all creatures live and reproduce throughout the four seasons in accordance with the laws of life…. This is all so exquisitely designed—is there a Mighty One ruling and arranging all this? Since coming into this world crying we have begun playing different roles in life. We move from birth to old age to illness to death, we go between joy and sorrow…. Where does mankind really come from, and where will we really go? Who is ruling our fates? From ancient times to modern days, great nations have risen up, dynasties have come and gone, and countries and peoples have flourished and perished in the tides of history…. Just like the laws of nature, the laws of humanity's development contain infinite mysteries. Would you like to know the answers to them? The documentary The One Who Holds Sovereignty Over Everything will guide you to get to the root of this, to unveil all of these mysteries!

Kanisa- la-Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, ushuhuda,