Jumatano, 7 Novemba 2018
Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 07, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, mipaka-ya-Meya-wa-Kijiji, Video, Video-za-Ushuhuda-wa-MatesoNo comments
Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP.
Mkristo Liu Ming'en anahukumiwa na CCP miaka saba gerezani kwa kuamini katika Mungu. Hata baada ya kuachiliwa kutoka gerezani, anabakia kuwa wakulengwa na uchunguzi mkali wa CCP. Meya wa kijiji anatumia mfumo wa wajibu wa kaya-tano , kamera za usalama, ziara za nyumba, na njia nyingine kumzuia Liu Ming'en na mkewe kuamini katika Mungu, lakini hakuna inayoleta na matokeo yanayotakiwa. Wakati huu, meya anapokea taarifa za kipaumbele kutoka Kamati Kuu ya Chama, baada ya hapo anajaribu kutafuta njia za kumlazimisha Liu Ming'en na mkewe kuweka saini barua ya kuahidi kuacha kuamini katika Mungu. Baada ya hila yake kushindwa, polisi tena wanakuja kuwakamata waumini hawa wawili. Kuepuka kukamatwa na kuendelea kumfuata Mungu na kuamini katika Mungu, Liu Ming'en na mkewe wanalazimishwa kutoroka nyumbani kwao.
Jumanne, 6 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 06, 2018Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Macho-Kila-Mahali, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vidoNo comments
Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians
Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili kuchunguza, kusimamia, na kupeleleza Wakristo. Kupitia igizo chekeshi dhahiri, jozi hii ya mchezo wa kuigiza inatuonyesha sote mbinu zinazostahili kudharauliwa na makusudi ya kuchukiwa sana ambayo kwayo CCP kinakamata Wakristo, na wakati huohuo inatuonyesha sisi jinsi Wakristo wanavyomtegemea Mungu kukwepa jozi moja ya macho baada ya nyingine, wanavyoeneza injili, na kumshuhudia Mungu.
Jumatatu, 5 Novemba 2018
Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 05, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mazungumzo, Video, Video-za-Ushuhuda-wa-MatesoNo comments
Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan
Jiang Xinyi na Wakristo wengine walikamatwa na serikali ya CCP; wao huwatesa Wakristo kwa ukatili ili kutwaa fedha za kanisa na kuwakamata viongozi zaidi wa kanisa. Kisha, ili kuwalazimisha kuikataa imani yao, wao huzindua kampenii moja baada ya nyingine ya kuwatia kasumba, lakini kwa uongozi wa maneno ya Mungu, wao huweza kuyashinda mateso na udanganyifu wote wa Shetani. Wao hutegemea ukweli kushiriki katika vita vikali na serikali ya CCP …
Jumapili, 4 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 04, 2018bwana-Anakuja-Kwa-Namna-Gani, Bwana-Yesu, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, vidoNo comments
Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth
Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi? Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema, 'Tazama, mimi nakuja kama mwizi' (Ufu 16:15). 'Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki' (Luka 17:25). 'Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha' (Mat 25:6). Kama anakuja na mawingu kwa kila mmoja kumwona, tunaelezaje fumbo la Yeye kuja kwa siri, kuteseka, na kukataliwa, pamoja na kusema kwamba wengine watashuhudia kuhusu kurudi Kwake?" Bwana atatokeaje kwetu? Mchezo wa kuchekesha Bwana Anakujaje Hasa unajaribu kusuluhisha mashaka yetu kuhusu jambo hili.
Jumamosi, 3 Novemba 2018
Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 03, 2018Baba-angu-Mchungaji, Filamu-za-Injili, Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, vidoNo comments
Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini Bwana." Inapojulikana kwamba binti yake ameikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, anafanya mpango na mke wake kumkomesha. Katika siku hii, binti yao anarudi nyumbani kushuhudia injili ya kurudi kwa Bwana, na mjadala mkali, mcheshi, ilhali mzito wa familia unatokea ...
Ijumaa, 2 Novemba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 02, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, vidoNo comments
Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"
Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao. Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa ahadi—ahadi ambayo ingezibadilisha kudura zao na kuweko. Hivyo ahadi hii ilikuwa nini hasa? Jibu limefichuliwa katika dondo hii ya filamu ya kustaajabisha ya Kikristo, Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli.
Alhamisi, 1 Novemba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria" l Umeme wa Mashariki
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 01, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, kumwabudu-Mungu, Mungu-Akitoa-Sheria, sheria-na-amri, VideoNo comments
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria"
Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo, kuweka msingi kwa mifumo ya kisheria ya wanadamu wa baadaye.
Jumatano, 31 Oktoba 2018
2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 31, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, kuwakomboa-Waisraeli, Mungu-Akiwaongoza-Waisraeli-Kutoka, VideoNo comments
2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)
Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko Lake kwa wale wateule.
Jumanne, 30 Oktoba 2018
Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 30, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, kuinuka-na-kuanguka-kwa-mataifa, Marekani, Milki-ya-kale-ya-Kirumi, Milki-ya-zamani-ya-Uingereza, VideoNo comments
Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote"
Milki ya kale ya Kirumi na Milki ya zamani ya Uingereza zilikuwa na mafanikio na nguvu kwa haraka sana na kisha kufifia kuelekea kudhoofika na uharibifu. Sasa, Marekani limekuwa taifa kubwa lisilobishaniwa la ulimwengu na pia lina jukumu lisilofidika la kudumisha na kuimarisha hali ya ulimwengu. Ni mafumbo ya aina gani hasa yaliyofichika kuhusiana na kuinuka na kuanguka kwa mataifa? Ni nani aliye na mamlaka juu ya majaliwa ya kila nchi na watu wote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu", itakufichulia majibu haya.
Jumatatu, 29 Oktoba 2018
Gospel Video "Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 29, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, Mungu-alivyouumba-ulimwengu, Mungu-amewaongoza-wanadamu, Nyendo, VideoNo comments
Gospel Video "Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu"
Je, unataka kujua jinsi Mungu alivyouumba ulimwengu? Je, unataka kujua jinsi Mungu amewaongoza wanadamu hatua kwa hatua hadi leo? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", imerekodi kazi ya Mungu ya kuumba ulimwengu na kuwaongoza na kuwakomboa wanadamu. Itakufichulia majibu haya.
Tazama Video:Kanisa la Mwenyezi Mungu, Neno la Mwenyezi mungu
Jumapili, 28 Oktoba 2018
Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 28, 2018huutawala-ulimwengu-na-vitu-vyote, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kwaya-za-Injili, Mungu-Anashikilia-Ulimweng, Video-za-Nyimbo-na-Kucheza, vidoNo comments
Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"
Wanadamu wamekuwa wakitafuta majibu haya kwa miaka elfu kadhaa: Miili ya mbingu katika ulimwengu inawezaje kwendelea mbele kwa taratibu timilifu kama hiyo? Kwa nini vitu vyote vilivyo hai daima husogea kwa miviringo inayofuata kanuni zisizobadilika? Kwa nini watu huzaliwa, na halafu kwa nini sisi hufa? Ni nani kweli aliyeamua kanuni na sheria hizi zote? Ni nani kweli huutawala ulimwengu na vitu vyote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", itakuongoza ufikie kiini cha maswali haya na kufunua mafumbo yote haya.
Ijumaa, 26 Oktoba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 26, 2018Bwana-Yesu, Filamu-za-Kikristo, Filamu-za-lnjili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, kusulubiwa, Mungu-Kuja-Duniani, VideoNo comments
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"
Wakati wa Enzi ya Neema, Bwana Yesu alikuja miongoni mwa mwanadamu na kusulubiwa kwa ajili yake. Alimkomboa mwanadamu kutoka kwa utumwa wa sheria, na kwa sababu ya sadaka ya dhambi, wanadamu walifurahia upendo wa Bwana na huruma…. Kuja kwa Bwana Yesu kumleta mwanadamu kwa enzi mpya. Wakati huo huo, kuliimarisha uhusiano kati ya Mungu na mwanadamu, na kufungua asili mpya, mwanzo mpya kwa kazi ya Mungu ya usimamizi miongoni mwa binadamu.