Ijumaa, 24 Mei 2019
Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 24, 2019mapenzi-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo Mpya, Nyimbo, Wimbo-wa-Injili, wimbo-wa-KikristoNo comments

Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians
I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, ni jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu.
Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa ajili ya...
Alhamisi, 23 Mei 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 15
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 23, 2019hukumu, Kristo, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments


Sauti ya Mungu | Sura ya 15
Kuonekana kwa Mungu tayari kumetokea katika makanisa yote. Roho ndiyo anayeongea, Yeye ni moto mkali, Yeye hubeba uadhama na Anahukumu; Yeye ni Mwana wa Adamu, liyevaa vazi lililofika kwa miguu, na kufungwa mshipi kwenye matiti na ukanda...
Jumatano, 22 Mei 2019
Matamshi ya Kristo | Sura ya 14
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 22, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments


Matamshi ya Kristo | Sura ya 14
Hapana muda wa kupoteza sasa. Roho Mtakatifu hutumia njia nyingi tofauti za kutuongoza katika maneno ya Mungu na kututayarisha na ukweli wote, kutakaswa, kuwa na undani wa kweli na ushirikiano na Mimi; huruhusiwi nafasi yoyote ya kuchagua....
Jumanne, 21 Mei 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 13
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 21, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, ushuhuda, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 13
Katika hali yenu ya sasa nyinyi hushika dhana ya "kibinafsi"zaidi kupindukia, na madakizo ya dini ni mazito kiasi. Mmeshindwa kutenda katika roho, hamuwezi kufahamu kazi ya Roho Mtakatifu, na mmekataa mwanga mpya. Huoni jua wakati...
Jumatatu, 20 Mei 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 12
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 20, 2019hukumu, kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu | Sura ya 12
Ikiwa una tabia ambayo si thabiti, nyepesi kuhamaki kama upepo au mvua, kama huwezi kuendelea kusonga mbele, basi fimbo Yangu haitakuwa mbali na wewe. Unaposhughulikiwa, kadiri hali ilivyo mbaya zaidi, na kadiri unavyoteswa zaidi, ndivyo...
Jumapili, 19 Mei 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 11
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 19, 2019hukumu, Kazi-ya- Roho-Mtakatifu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 11
Je, Mimi ni Mungu wako? Je, Mimi ni Mfalme wako? Je, kweli umeniruhusu Mimi kutawala kama Mfalme ndani yako? Unapaswa kutafakari kujihusu kabisa. Je, hukuchunguza na kukataa mwanga mpya na hata kuthubutu kuacha kuufuata ulipokuwa...
Jumamosi, 18 Mei 2019
Neno la Mungu | “Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu”
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 18, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, Roho-Mtakatifu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Neno la Mungu | “Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu”
Mwenyezi Mungu anasema, “Vitendo vyote na matendo ya Shetani vinaonyeshwa kupitia kwa binadamu. Sasa vitendo vyote na matendo yote ya binadamu ni maonyesho ya Shetani na hivyo basi haviwezi kumwakilisha Mungu. Binadamu ni mfano halisi wa Shetani, na tabia ya mwanadamu haiwezi kuiwakilisha...
Ijumaa, 17 Mei 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 10
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 17, 2019Hekima, Kristo, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments


Sauti ya Mungu | Sura ya 10
Haupaswi kuwa na hofu ya hili na lile. Haidhuru wingi wa matatizo na hatari unazokabili, utabaki thabiti mbele Yangu; usizuiliwe na kitu chochote, ili mapenzi Yangu yaweze kufanyika. Huu utakuwa ni wajibu wako, vinginevyo utakabiliana na...
Alhamisi, 16 Mei 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 9
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 16, 2019maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, Ukweli, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu | Sura ya 9
Nataka kukukumbusha kwamba huwezi kuwa na wasiwasi hata kidogo juu ya neno Langu na kutokujali kwa aina yoyote hakukubaliki. Unapaswa kulisikiliza na kulitii na kutenda mambo kulingana na nia Zangu. Daima lazima uwe macho na kamwe usiwe...
Jumatano, 15 Mei 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 8
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 15, 2019kazi-ya-Roho- Mtakatifu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, Ukweli, VitabuNo comments


Sauti ya Mungu | Sura ya 8
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu—Mfalme wa ufalme—ameshuhudiwa, mawanda ya usimamizi wa Mungu yamejitokeza kabisa katika ulimwengu wote. Sio tu kwamba kuonekana kwa Mungu kumeshuhudiwa nchini China, lakini jina la Mwenyezi Mungu limeshuhudiwa katika...
Jumanne, 14 Mei 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 7
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 14, 2019Kazi-ya- Roho-Mtakatifu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments


Sauti ya Mungu | Sura ya 7
Kuinuka kwa mazingira pande zetu zote huharakisha kurudi nyuma kwetu katika roho. Usitende kwa moyo mgumu, usipuuze kwa vyovyote vile kama Roho Mtakatifu Ana wasiwasi, usijaribu kuwa mjanja na usiwe na ridhaa kupita kiasi na kuridhika kibinafsi...
Jumatatu, 13 Mei 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 6
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 13, 2019Kristo, Neema, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu | Sura ya 6
Mwenyezi Mungu, Mkuu wa vitu vyote, hushika madaraka Yake ya kifalme kutoka kwa kiti Chake cha enzi. Yeye hutawala ulimwengu na vitu vyote Naye Anatuongoza katika dunia yote. Mara kwa mara tutakuwa karibu Naye, na kuja mbele Zake kwa utulivu;...