Jumamosi, 20 Januari 2018
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
By UnknownJanuari 20, 2018hukumu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, siku-za-mwisho, ukamilifu, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali ya kumbukumbu kwa vitu vilivyopita; ni Mungu ambaye ni mpya kila wakati na hazeeki, na kila siku anazungumza maneno mapya. Lazima uyafuate yale ambayo lazima yafuatwe leo; haya ni majukumu na kazi ya mwanadamu.
Ijumaa, 19 Januari 2018
Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu
Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Leo, tutawasiliana hasa jinsi watu wanavyostahili kumhudumia Mungu katika imani yao Mungu, masharti yanayopaswa kutimizwa na kinachopaswa kufahamika na watu wanaomhudumia Mungu, na mikengeuko ipi iliyoko katika huduma yako. Unapaswa kufahamu haya yote. Masuala haya yanagusia jinsi unavyomwamini Mungu, jinsi unavyotembea katika njia ya kuongozwa na Roho Mtakatifu, na jinsi mambo yako yote yanavyopangwa na Mungu, na yatakuwezesha kujua kila hatua ya kazi ya Mungu ndani yako.
Alhamisi, 18 Januari 2018
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
By UnknownJanuari 18, 2018kumpenda-Mungu, Kumwamini-Mungu, kutenda-ukweli, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
Mwenyezi Mungu alisema, Mnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu. Hii ni kusema, kama unamwamini Mungu ni lazima umpende Mungu.
Jumatatu, 15 Januari 2018
Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini
Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini
Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni desturi ngapi za kidini unazozizingatia? Ni mara ngapi wewe umeasi dhidi ya neno la Mungu na kwenda kwa njia yako mwenyewe?
Jumapili, 14 Januari 2018
Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena
5. Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena
Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba ya Mungu. Leo, kuenea kwa kazi ya Mungu katika siku za mwisho kumefikia kilele chake katika China Bara.
Jumamosi, 13 Januari 2018
Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?
By Suara TuhanJanuari 13, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-NyingiNo comments
Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?
Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu huamini katika Mungu huyo huyo. Watu wanaoelewa historia ya dini wanajua kwamba Uyahudi wa Israeli ulizaliwa na kazi ambayo Yehova Mungu alifanya wakati wa Enzi ya Sheria. Ukristo, Ukatoliki, na Othodoksi ya Mashariki yote yalikuwa makanisa yaliyoibuka baada ya Bwana Yesu mwenye mwili kufanya kazi ya ukombozi.
Ijumaa, 12 Januari 2018
Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?
By Suara TuhanJanuari 12, 2018Bwana-Yesu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-Nyingi, Mwenyezi-MunguNo comments
Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?
Wanadamu walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza mpango Wake wa usimamizi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Mungu ametekeleza hatua tatu za kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Wakati wa Enzi ya Sheria, Yehova Mungu alitoa sheria na kuyaongoza maisha ya wanadamu, Akiwafanya watu kujua kwamba wanapaswa kumwabudu Mungu, na kuwafanya wajue dhambi ni nini.
Alhamisi, 11 Januari 2018
Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video
Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika. Upotovu wa mwanadamu unakuwa mwingi zaidi na zaidi. Kila mtu huyatukuza mabaya. Dunia nzima ya dini hufuata wimbi la ulimwengu. Hawaupendi ukweli hata kidogo. Siku za Nuhu zimeshafika! Ili kuwaokoa wanadamu, Mungu amerudi tena kufanya kazi ya hukumu ya siku za mwisho miongoni mwa wanadamu. Hii ni mara ya mwisho ambayo Mungu anamwokoa mtu! Wanadamu wanapaswa kuchagua nini? Hii ni hadithi ya kweli. Kwa kuwa wananchi wa Kaunti ya Qingping katika mkoa wa Sichuan tena na tena wamekata kukubali injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu, wamekutana na matukio mawili ya mkasa. Wakati wa tetemeko kubwa la Sichuan ndugu wengi ambao waliamini katika Mwenyezi Mungu walilindwa na Mungu kimiujiza na walinusurika. Ukweli huu umeshuhudiwa: wale wanaomkubali na kumtii Mungu na wale wanaomkataa na kumpinga Mungu. Watu hawa wa aina mbili wana miisho miwili tofauti sana!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Jumatano, 10 Januari 2018
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Mwenyezi Mungu alisema, Kiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu. Wanamfuata tu kimyakimya. Watu wengi wanamwamini Mungu, lakini wapo wachache sana ambao humpenda Mungu; wanamheshimu tu Mungu kwa sababu wanaogopa majanga, au hata wanamstahi Mungu kwa sababu ni Mwenye nguvu na aliye juu—lakini katika kumheshimu na kuvutiwa kwao hakuna upendo au kutamani kwa kweli. Katika matukio wanayoyapitia wanataka chembe za ukweli, au hata miujiza fulani isiyokuwa na maana.
Jumanne, 9 Januari 2018
Umeme wa Mashariki | Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea
By Suara TuhanJanuari 09, 2018kukamilishwa-na-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Paulo, Petro, VitabuNo comments
Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanamwamini Mungu kwa ajili ya hatima yao ya baadaye au kwa ajili ya starehe ya muda mfupi. Kwa wale ambao hawajapitia ushughulikiaji wowote, imani kwa Mungu ni kwa ajili ya kuingia mbinguni, ili kupata tuzo. Sio ili kufanywa wawe na ukamilifu, au kutekeleza wajibu wa kiumbe wa Mungu. Ambayo ni kusema kwamba watu wengi hawamwamini Mungu ili watimize majukumu yao, au kukamilisha wajibu wao.
Jumatatu, 8 Januari 2018
Kuwa na Tabia Isiyobadilika ni Kuwa Katika Uadui na Mungu
Kuwa na Tabia Isiyobadilika ni Kuwa Katika Uadui na Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya miaka elfu kadhaa ya upotovu, mwanadamu amekuwa asiyehisi na mpumbavu, pepo anayempinga Mungu, kwa kiasi kwamba uasi wa mwanadamu kwa Mungu umeandikwa katika vitabu vya historia, na hata mwanadamu mwenyewe hana uwezo wa kutoa ripoti kamili ya tabia zake za uasi wake—kwa kuwa mwanadamu amepotoshwa sana na Shetani, na amehadaiwa na Shetani kiasi kwamba hajui ni wapi pa kugeukia.
Jumapili, 7 Januari 2018
Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe
By Suara TuhanJanuari 07, 2018kupata-mwili, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe
Mwenyezi Mungu alisema, Je, unapaswa kujua nini kuhusu Mungu wa vitendo? Mungu wa vitendo Mwenyewe anajumuisha Roho, Nafsi, na Neno, na hii ndiyo maana ya kweli ya Mungu wa utendaji Mwenyewe. Kama unajua Nafsi pekee—kama unajua tabia na utu Wake—lakini hujui kazi ya Roho, au ambacho Roho hufanya katika mwili, na kuangazia Roho tu, na Neno, na kuomba mbele ya Roho, bila kujua kazi ya Roho wa Mungu katika Mungu wa vitendo, basi hii inadhihirisha kuwa humjui Mungu wa vitendo. Ufahamu wa Mungu wa vitendo unajumuisha kujua na kuyapitia maneno Yake, na kuelewa sheria na kanuni za kazi ya Roho Mtakatifu, na jinsi Roho wa Mungu anavyofanya kazi katika mwili.