Jumamosi, 22 Juni 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 42
By wangbaoxinJuni 22, 2019kanisa, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho- Mtakatifu, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments
Sauti ya Mungu | Sura ya 42
Jinsi gani matendo ya Mwenyezi Mungu yalivyo makuu! Jinsi ilivyo ya ajabu! Jinsi ilivyo ya kushangaza! Tarumbeta saba zinatoa sauti, ngurumo saba zinatolewa, bakuli saba zinamwangwa—hii itadhihirika wazi mara moja na hakuwezi kuwa na shaka. Upendo wa Mungu huja juu yetu kila siku na ni Mwenyezi Mungu pekee Anayeweza kutuokoa; kama tunakabiliwa na bahati mbaya au kupokea baraka ni kwa sababu Yake kabisa, na sisi wanadamu hatuna njia ya kuamua hili.
Ijumaa, 21 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 41
Maneno ya Mungu | Sura ya 41
Kuhusu shida zinazoibuka kanisani, usiwe na mashaka mengi. Kanisa linapojengwa haiwezekani kuepuka makosa, lakini usiwe na wasiwasi unapokabiliwa na shida hizo; kuwa mtulivu na makini. Sijawaambia hivyo? Omba Kwangu mara nyingi, na Nitakuonyesha kwa wazi nia Zangu. Kanisa ni moyo Wangu na ni lengo Langu la msingi, Nawezaje kutolipenda? Usiogope, mambo kama haya yanapotendeka kanisani, yote yanaruhusiwa na Mimi.
Alhamisi, 20 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 40
By wangbaoxinJuni 20, 2019hukumu, kanisa, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments
Maneno ya Mungu | Sura ya 40
Kwa nini ninyi ni wa mwendo wa polepole? Kwa nini hamsikii? Makumbusho kadhaa hayajawazindua; hili linanihuzunisha. Kwa kweli Sipendi kuwaona wanangu namna hii. Moyo Wangu unawezaje kustahimili hili? Ah! Lazima Niwafundishe kwa mkono Wangu mwenyewe. Mwendo Wangu unaendelea kuwa wa kasi. Wanangu! Inukeni haraka na mshirikiane na Mimi. Nani wanajitumia kwa dhati kwa ajili Yangu sasa? Ni nani anayeweza kujitolea kikamilifu bila malalamiko hata kidogo? Daima ninyi ni wenye kutosikia na wapumbavu!
Jumatano, 19 Juni 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 39
By wangbaoxinJuni 19, 2019Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, Ukweli, VitabuNo comments
Sauti ya Mungu | Sura ya 39
Fungua macho yako na uangalie na unaweza kuona nguvu Zangu kuu kila mahali! Unaweza kuwa na uhakika na Mimi kila mahali. Ulimwengu na anga unaeneza nguvu Zangu kuu. Maneno ambayo Nimenena yametimia katika ongezeko la joto la hali ya hewa, mabadiliko ya hali ya hewa, vioja vya watu, ulemavu wa elimumwendo ya kijamii, na udanganyifu wa mioyo ya watu. Jua linakuwa jeupe na mwezi unakuwa mwekundu; Yote yako katika machafuko. Je, bado huoni haya?
Jumanne, 18 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 38
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 18, 2019baraka, Kazi-ya-Mungu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ufalme, VitabuNo comments
Maneno ya Mungu | Sura ya 38
Si kwamba imani yako ni nzuri au safi, lakini badala yake, kazi Yangu ni ya ajabu! Kila kitu ni kwa sababu ya rehema Zangu! Hupaswi kuwa na tabia potovu ya ubinafsi au kiburi hata kidogo, vinginevyo kazi Yangu kwako haitaendelea. Lazima uelewe wazi kwamba iwapo watu wanaanguka au kusimama imara si kwa sababu yao, ni kwa sababu Yangu. Leo, kama huelewi vizuri hatua hii, hutaweza kuingia katika ufalme!
Jumatatu, 17 Juni 2019
Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili
Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Hatua tatu za kazi ndizo kiini cha usimamizi mzima wa Mungu, na ndani yazo zimeelezwa tabia ya Mungu na kile Alicho. Wale wasiojua kuhusu hatua tatu za kazi ya Mungu hawana uwezo wa kutambua jinsi Mungu anavyoonyesha tabia Yake, wala hawajui hekima ya kazi ya Mungu, na wanasalia kutojua njia nyingi Anazomwokoa mwanadamu, na mapenzi Yake kwa wanadamu wote.
Jumapili, 16 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 36
By wangbaoxinJuni 16, 2019hukumu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ufalme, utukufu, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu wa kweli, Mfalme katika kiti cha enzi, hutawala ulimwengu mzima, Anakabiliana na mataifa yote na watu wote, kila kitu chini ya mbingu hung’aa kwa utukufu wa Mungu. Viumbe vyote hai katika miisho ya ulimwengu vitaona. Milima, mito, maziwa, ardhi, bahari na viumbe vyote viishivyo, katika nuru ya uso wa Mungu wa kweli wamefungua mapazia yao, kuhuishwa, kama kuamka kutoka kwa ndoto, kuchipuka kwa kuvunja uchafu!
Jumamosi, 15 Juni 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 35
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 15, 2019hukumu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, Ukweli, VitabuNo comments
Sauti ya Mungu | Sura ya 35
Ngurumo saba zinatoka kwenye kiti cha enzi, zinautikisa ulimwengu, zinageuza mbingu na ardhi, na zinavuma angani! Sauti hiyo inapenya sana kiasi kwamba watu hawawezi kuepuka wala kujificha. Nuru ya ghafla ya umeme na sauti ya radi zinatumwa mbele, zikiiangusha chini mbingu na ardhi papo hapo, na watu wamekaribia kufa. Kisha, dhoruba ya mvua kali inafagia ulimwengu wote kwa kasi ya umeme, ikianguka kutoka angani!
Ijumaa, 14 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 34
By wangbaoxinJuni 14, 2019kanisa, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ushuhuda, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu zote , mwenye kutimiliza yote na Mungu wa kweli kabisa! Habebi tu nyota saba, ana Roho saba, ana macho saba, anafungua mihuri saba na kufungua hati ya kukunja yenye maandishi, lakini zaidi ya hayo Yeye anaendesha mapigo saba na vikasa saba na kufungua radi saba; zamani za kale Yeye alipiga vinumbi saba! Vitu vyote vilivyoumbwa na kufanywa kuwa kamili na Yeye vinapaswa kumsifu, kumpa adhama na kutukuza kiti Chake cha enzi.
Alhamisi, 13 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 33
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 13, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Kristo, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 33
Ufalme Wangu unawahitaji wale ambao ni waaminifu, wasio wanafiki, na wasio wadanganyifu. Je, si watu wenye moyo safi na waaminifu duniani hawapendwi na watu? Mimi ni kinyume kabisa cha jinsi ilivyo. Inakubalika kwa watu waaminifu kuja Kwangu; Nafurahia mtu wa aina hii, pia Ninamhitaji mtu wa aina hii. Hii ni haki Yangu hasa. Watu wengine ni wajinga; hawawezi kuhisi kazi ya Roho Mtakatifu na hawawezi kuyaelewa mapenzi Yangu.
Jumatano, 12 Juni 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 32
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 12, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments
Sauti ya Mungu | Sura ya 32
Mwanga ni nini? Katika siku za nyuma kwa kweli mliuona mbadiliko wa kazi ya Roho Mtakatifu kama mwanga. Kuna mwanga wa kweli wakati wote, unaojumuisha ninyi kupata kile Mungu alicho kupitia kwa kunikaribia na kushirikiana na Mimi; kuwa na utambuzi katika maneno ya Mungu na kufahamu mapenzi ya Mungu katika maneno Yake—yaani, mnapokula na kunywa, mnahisi Roho wa maneno ya Mungu na kupokea maneno ya Mungu ndani yenu; kuelewa kile Alicho huku mkipitia na kupokea mwangaza wa Mungu huku mkizungumza na Yeye; na pia kupewa nuru na kuwa na utambuzi mpya katika maneno ya Mungu wakati wote huku mkifikiria na kutafakari.
Jumanne, 11 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 31
By ye.fengJuni 11, 2019maisha, mapenzi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ujenzi-wa-kanisa, VitabuNo comments
Ninawapenda wale wote wanaonitaka Mimi kwa dhati. Mkilenga kunipenda, hakika Nitawabariki kwa kiasi kikubwa. Je, mnaelewa nia Zangu? Katika nyumba Yangu, hakuna tofauti kati ya hali ya juu na chini. Kila mtu ni mwanangu, Mimi ni Baba yenu, Mungu wenu. Mimi ni mkuu na wa pekee. Ninadhibiti kila kitu ulimwenguni!
Unapaswa "kunitumikia kwa unyenyekevu na katika mafumbo" katika nyumba Yangu. Maneno haya yanapaswa kuwa kama wito wako.