Ijumaa, 18 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya
By UnknownMei 18, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Roho-Mtakatifu, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Mwishoni mwa mwaka jana, kwa sababu sikuweza kuzindua kazi ya injili katika eneo langu, familia ya Mungu ilimhamisha ndugu mmoja wa kiume kutoka eneo jingine ili kuchukua kazi yangu. Kabla ya haya sikuwa nimearifiwa, bali nilisikia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutoka kwa dada mmoja niliyekuwa mbia naye. Nilifadhaika sana.
New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu
New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu
Utambulisho
Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesu katika Agano Jipya. Ni kwa nini Mungu ana majina tofauti? Wang Hua alishangazwa sana na hili. Alijaribu kutafuta jibu katika Biblia, lakini akakosa kuelewa fumbo hilo... Lakini alikuwa na imani thabiti kuwa hakuna jina lingine chini ya mbingu lililopewa wanadamu, hivyo Yesu pekee ndiye Mwokozi, na kuwa muradi tushikilie jina la Yesu, bila shaka tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Alhamisi, 17 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | 72. Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengine
By UnknownMei 17, 2018Katika-kufanya-kazi-pamoja, makusudi-ya-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | 72. Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengine
Liu Heng Mkoa wa Jiangxi
Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana
By UnknownMei 17, 2018Filamu-za-Maisha-ya-Kanisa, kumtegemea-Mungu, Maombi, Shetani-na-mateso, Video, WokovuNo comments
Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana
Li Xinguang ni mwanafunzi wa shule ya upili ya ngazi ya juu. Alikuwa mvulana mwenye busara na mwenye tabia nzuri tangu alipokuwa mdogo. Wazazi wake na walimu wake walimpenda sana. Alipokuwa akienda katika shule ya kati, alipumbazwa na michezo ya kompyuta ya mtandaoni. Angekosa kwenda darasani mara kwa mara ili aende kwenye chumba cha mtandao. Wazazi wake walifanya kila juhudi kumsaidia kuyaondoa mazoea yake ya michezo.
Jumatano, 16 Mei 2018
"Imani katika Mungu" (6) - Imani ya Kweli katika Mungu Inamaanisha Nini?
Utambulisho
Watu wengi wanaamini kwamba imani katika Mungu ni imani katika Biblia, na kwamba kumfanyia Bwana kazi kwa bidii ni uhalisi wa kuamini katika Mungu. Hakuna mtu katika ulimwengu wa dini ana uwezo wa kuelewa kabisa imani ya kweli katika Mungu ina maana gani. Mwenyezi Mungu anasema, “‘Imani katika Mungu’ inamaanisha kuamini kuwa kuna Mungu; hii ndiyo dhana rahisi zaidi ya imani katika Mungu. Zaidi ya hayo, kuamini kuwa kuna Mungu sio sawa na kuamini katika Mungu kwa ukweli; bali, ni hali ya imani sahili ikiwa na vipengee vya uzito vya kidini. Imani ya kweli katika Mungu ina maana kupitia maneno na kazi ya Mungu kwa msingi wa imani kuwa Mungu ndiye mkuu juu ya vitu vyote. Kwa hivyo mtakuwa huru kutokana na tabia yenu ya upotovu, mtatimiza hamu ya Mungu, na mtapata kumjua Mungu. Ni kwa kupitia safari ya aina hii tu ndio mnaweza kusemekana kuwa mnaamini katika Mungu." ( Neno Laonekana katika Mwili).
Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Jumanne, 15 Mei 2018
39. Kutumia Neno la Mungu Kama Kioo
By UnknownMei 15, 2018kubadilisha-tabia-yangu, Neno-la-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
39. Kutumia Neno la Mungu Kama Kioo
Wu Xia Mji wa Linyi , Mkoa wa Shandong
Baada ya kuikubali kazi hii na kula na kunywa neno la Mungu, ilikuwa dhahiri kwangu kwamba ni muhimu sana kwamba mimi nijifahamu. Kwa hiyo, nilipokuwa nikila na kunywa neno la Mungu, nilihakikisha nimejithibitisha tena dhidi ya neno ambalo Mungu humfichua mwanadamu. Katika hali nyingi, niliweza kutambua kasoro zangu na upungufu.
"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?
"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?
Utambulisho
Waumini wengi huamini kwamba mradi tunalilinda jina la Bwana, kuomba mara kwa mara, kusoma Biblia na kuwa na mikutano, na mradi sisi huyaacha vitu, hutumia rasilmali na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, basi hii ni imani ya kweli katika Bwana, na tutaweza kunyakuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Je, aina hii ya mtazamo ni sahihi? Wengi wataniita siku hiyo, Bwana, Bwana, hatujafanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo? na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Halafu nitasema wazi kwao, Sikuwajua nyinyi kamwe: ondokeni mbele yangu, nyinyi watenda maovu." (Mathayo 7: 22-23). Mwenyezi Mungu anasema, "Sijali jinsi kazi yako ya bidii ni ya kutunukiwa, jinsi sifa zako ni za kuvutia, jinsi unanifuata Mimi kwa karibu, jinsi una umashuhuri, au jinsi umeendeleza mwelekeo wako; mradi hujafanya kile Ninachodai, kamwe hutaweza kushinda sifa Zangu." (Neno Laonekana katika Mwili).
Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Jumatatu, 14 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita
By UnknownMei 14, 2018Kiumbe-Aliyeumbwa, kupata-mwili, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa watu, Mungu ni mkuu mno, mwenye utele mno, wa ajabu mno, Asiyeeleweka mno; machoni pao, maneno ya Mungu hupaa juu, na huonekana kama kazi bora sana ya ulimwengu. Lakini kwa vile watu wana kasoro nyingi sana, na akili zao ni za kawaida sana,
Jumapili, 13 Mei 2018
46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"
By UnknownMei 13, 2018Asili-ya-mtu, hukumu, Mungu, Ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"
Zhang Jun Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning
Katika siku za nyuma, niliamini kuwa "uasi dhidi ya Mungu" ilimaanisha kumsaliti Mungu, kuacha kanisa, au kuutelekeza wajibu wa mtu. Nilidhani tabia hizi hufanyiza uasi. Kwa hiyo, wakati wowote niliposikia kuhusu watu wakihusika katika tabia hizo, ningejikumbusha kwamba sipaswi kuasi dhidi ya Mungu kama walivyofanya. Aidha, nilikuwa mwangalifu katika jitihada zangu zote na nilishikilia kazi zote nilizopewa na kanisa.
"Imani katika Mungu" (4) - Je, Kuamini katika Biblia ni Sawa na Kuamini katika Bwana?
By UnknownMei 13, 2018Biblia, Kristo-ndiye-ukweli, Kristo-ndiye-ukweli-njia-na-uzima, Kuamini-katika-Bwana, njia, Sehemu-za-Filamu, VideoNo comments
Utambulisho
Watu wengi zaidi katika ulimwengu wa dini huamini kwamba Biblia ni kanuni ya Ukristo, kwamba mtu lazima ashikilie Biblia na kuweka msingi wa imani yake katika Bwana kwenye Biblia kabisa, na kwamba mtu hawezi kuitwa muumini akipotoka kutoka kwenye Biblia. Hivyo imani katika Bwana na imani katika Biblia ni sawa? Uhusiano kati ya Biblia na Bwana ni upi hasa? Bwana Yesu aliwakaripia Mafarisayo wakati fulani kwa maneno haya, "Tafuta katika maandiko; kwa kuwa ndani yake mnadhani kuwa mna uzima wa milele: na hayo ndiyo yananishuhudia. Nanyi hamtakuja Kwangu, kwamba mpate uhai." (Yohana 5:39-40). Biblia ni ushuhuda wa Mungu tu, lakini haina uzima wa milele. Mungu pekee ndiye ukweli, njia na uzima. Kwa hivyo, tuiangalie Biblia vipi kwa njia ambayo inakubaliana na mapenzi ya Bwana?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumamosi, 12 Mei 2018
34. Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu
By UnknownMei 12, 2018Kumwamini-Mungu, mabadiliko, maneno-ya-Mungu, ushuhuda, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
34. Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu
Zhuanbian Mji wa Shanghai
Ingawa nilikuwa nikimfuata Mungu kwa miaka mingi, nilikuwa karibu sijafanya maendeleo yoyote na kuingia kwangu katika maisha, na hii ilinifanya nihisi kuwa na wasiwasi sana. Hasa wakati niliposikia rekodi ya mahubiri juu ya kuingia kwa maisha, na kusikia mtu aliyetumiwa na Roho Mtakatifu akizungumza na ndugu wa kiume na wa kike waliokuwepo na kusikiliza mahubiri, nilihisi nikiwa nimejawa na wasiwasi nikimsikia akisema jambo kama hili, "Nyinyi sasa mnamwamini Mungu na mmeonja uzuri wa ukimbizaji wa ukweli. Nyinyi mmeanza kuingia kwa njia sahihi na mmejaa imani katika ukimbizaji wenu wa wokovu."
Ijumaa, 11 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | Ni Nini Ambacho Kimeidanganya Roho Yangu?
By UnknownMei 11, 2018katika-kutafuta-ukweli, Mungu-mwenye-haki, udanganyifu-wa-Shetani, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Ni Nini Ambacho Kimeidanganya Roho Yangu?
Xu Lei Mji wa Zaozhuang, Mkoa wa Shandong
Siku moja nilipokea taarifa juu ya mkutano. Kwa kawaida hili ni tukio la kufurahisha, lakini mara tu nilipofikiria jinsi kazi yangu hivi karibuni ilikuwa machafuko kabisa, sikuweza kujizuia kuhisi wasiwasi. Kama mkuu wangu angejua jinsi sikuwa nimemaliza kazi yoyote yangu, bila shaka angehitaji kunishughulikia, na huenda hata kunibadilisha na mwingine kazini. Ningefanya nini basi?