Ijumaa, 15 Desemba 2017
Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu
By Suara TuhanDesemba 15, 2017Kazi-ya-Mungu, Kumhudumia Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu alisema, Ili uwe na ushuhuda kwa Mungu na kuliaibisha joka jekundu ni sharti uwe na kanuni, na sharti: Katika moyo wako ni lazima umpende Mungu na uingie katika maneno ya Mungu. Kama huingii katika maneno ya Mungu, basi hutakuwa na njia ya kumuaibisha Shetani. Katika ukuaji wa maisha yako, unalikataa joka kuu jekundu na kuliletea aibu kamili, na ni hapo tu ndipo hili joka jekundu kweli linaaibika. Kadiri unavyohiyari kuyaweka maneno ya Mungu katika vitendo, ndivyo unavyothibitisha kwamba unampenda Mungu na kulichukia joka kuu jekundu;
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 14, 2017maisha, Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu kumkamilisha mwanadamu.
Jumatano, 13 Desemba 2017
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
By Suara TuhanDesemba 13, 2017Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali kilichoandaliwa juu yenu, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—haina maana. Ilhali kulingana na hali ya sasa, shida za kiutendaji mnazokumbana nazo hazitafakariki kwenu. Kama mnasubiri mipango ya Mungu tu, basi hatua zenu zitakaa zaidi, na kwa wale wasiojua kupitia kutakuwa na kulaza damu kwingi.
Jumanne, 12 Desemba 2017
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali ya kumbukumbu kwa vitu vilivyopita; ni Mungu ambaye ni mpya kila wakati na hazeeki, na kila siku anazungumza maneno mapya. Lazima uyafuate yale ambayo lazima yafuatwe leo; haya ni majukumu na kazi ya mwanadamu.
Jumatatu, 11 Desemba 2017
Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya hali halisi inayoonyesha kifo cha ghafla na kisichotarajiwa cha Mkristo Mchina aliyeitwa Song Xiaolan–kifo ambacho kwacho polisi wa CCP walitoa maelezo yasiyopatana na yaliyogongana. Baada ya kuchunguza, familia ya Song iligundua kwamba polisi walikuwa wakidanganya wakati wote huo. Jamaa wa familia ya Song alipata habari kutoka kwa jamaa aliyemfahamu katika Ofisi ya Usalama wa Umma ya kwamba Song Xiaolan alikuwa akifuatiwa kwa siri na polisi wa CCP kutokana na imani yake kwa Mungu na utendaji wa majukumu yake. Polisi walipomkamata, walimpiga hadi kufa. Ili kuepuka lawama, polisi walifunika ukweli kwa kubuni eneo la kifo la Song Xiaolan....
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Jumapili, 10 Desemba 2017
Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China
By Suara TuhanDesemba 10, 2017Mateso-ya-Kidini, Nyendo, Video, Video za Kikristo, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, WakristoNo comments
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Miaka ya hivi karibuni pia imeona sera za serikali ya CCP zikianzishwa kwa kiwango kikubwa kwa lengo la "Usimilishaji " wa Ukristo. Maelfu ya misalaba ya makanisa yamevunjwa, majengo mengi ya kanisa yambomolewa, na idadi kubwa ya Wakristo katika makanisa ya nyumbani wamekamatwa na kuteswa. Makanisa ya Kikristo nchini China hupitia mateso ya ukatili na ya umwagikaji wa damu ...
Filamu hii kwa uaminifu na bila upendeleo inanakili uzoefu halisi wa mateso waliyoyapitia Wakristo wa China katika mikono ya serikali ya CCP. Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu. Walitembea njia sahihi ya uzima, lakini kwa wayowayo walishikwa na serikali ya CCP. Baadhi yao walifungwa, wengine wakateswa kwa namna yoyote, wengine wanaishi maisha ya wakimbizi kama wametengwa na waume au wake zao na watoto wao, na wengine hata walilemazwa au kuuawa kutokana na kutendewa vibaya. Filamu hii iliyopigwa vizuri sana inajaribu kusanifu upya kilichotokea kweli wakati huo, na hutoa tafakuri ya kina ya kuingiliwa bila haya kwa imani za kidini na haki za kibinadamu za Wakristo wa China. Ni nafasi ya kuelewa maisha ya kweli ya Wakristo wa China na familia za Kikristo, pamoja na tafakuri—inayoonekana mara chache katika miaka ya hivi karibuni—ya uzoefu na hisia za Wakristo wa China ambao wameteswa kwa sababu ya imani yao.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Baadhi ya vifaa ni kutoka : Wow!視覺特效Show一手!影片素材上傳區!
youtube.com/channel/UCo2WsnnMMdo4x9FqETfHJ3g
Jumamosi, 9 Desemba 2017
Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 09, 2017Enzi-ya-Ufalme, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu.
Ijumaa, 8 Desemba 2017
Maana ya Mwanaadamu Halisi | Umeme wa Mashariki
Maana ya “Mwanaadamu Halisi”
Mwenyezi Mungu alisema, Kumsimamia mwanadamu ndio Kazi Yangu, na ushindi Wangu dhidi yake ulikuwa hata umeshaamuliwa kabla zaidi Nilipoiumba dunia. Watu hawajui kwamba Nitashinda kabisa katika siku za mwisho, na pia hawajui kwamba ushahidi Wangu kumshinda Shetani ni kuwashinda walio waasi miongoni mwa binadamu.
Alhamisi, 7 Desemba 2017
Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa "Kwaya ya Injili ya Kichina 13"
By Suara TuhanDesemba 07, 2017Kwaya-za-Injili, Mungu, Ngoma za Sifa, Tamthilia ya Jukwaa, VideoNo comments
1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI
La … la … la … la …
Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo. (Du … ba … ba la ba ba) Miji ya mbingu inacheka kwa furaha (du ba du ba), na falme za nchi zinacheza kwa shangwe (Ba ba ba …) Ni nani wakati huu ambaye haonyeshi furaha? Na ni nani wakati huu ambaye halii? (Du … ba … ba la ba ba) Nchi ni miliki ya mbingu, na mbingu imeungana na nchi.Mwanadamu ni ugwe unaounganisha mbingu na nchi, na kwa sababu ya utakatifu wake, kwa sababu ya mwanadamu kufanywa upya, mbingu haijafichwa tena kwa nchi, na nchi haiko kimya tena kwa mbingu. (Da la … da la da … oh …) Nyuso za ubinadamu zimezingirwa na, zimezingirwa na tabasamu za shukurani, na nyoyo zao zinadondokwa na utamu usiokuwa na kifani, utamu usiokuwa na kifani. (Da la … da la da da da la da) Mwanadamu hagombani na mwanadamu (beng …), wala binadamu kupigana wenyewe kwa wenyewe. (Beng …) Kunao wale ambao, katika mwanga wa Mungu, hawaishi kwa furaha na wenzao? Kunao wale ambao, katika siku za Mungu, hufedhehesha jina Lake?
Binadamu wote huelekeza angazo lao la heshima kwa Mungu (du ba du ba), na kwa siri katika nyoyo zao humlilia Yeye. (Ba la ba ba) Mungu amechunguza kila kitendo cha ubinadamu (du … ba … ba la ba ba):
miongoni mwa wanadamu waliotakaswa (du ba du ba), hakuna yeyote aliye mkaidi kwa Mungu (ba la ba ba), hakuna anayeielekeza hukumu Kwake. Ubinadamu wote umejawa na tabia ya Mungu. Da la … da la da da da la da Kila mtu anakuja kumjua Mungu, anajongea Kwake, na anamwabudu Yeye, anamwabudu Yeye. (Ba … ba la ba ba) Mungu hushikilia msimamo katika roho ya mwanadamu (ba … ba la ba ba), Ametukuzwa kwa kiwango cha juu zaidi kwa macho ya mwanadamu, na hububujika katika damu ya mishipa yake. Nderemo za furaha, nderemo za furaha katika nyoyo za wanadamu (na …) huenea kila sehemu (na …) ya uso wa nchi (na …), hewa ni ya kuchangamsha na bichi (na …), ukungu mzito hauitandai ardhi tena (na …), na jua linaangaza kwa fahari, jua linaangaza kwa fahari. hewa ni ya kuchangamsha na bichi (na …), ukungu mzito hauitandai ardhi tena (na …), na jua linaangaza kwa fahari, jua linaangaza kwa fahari.
La … La … La … la … la … La … La … La … la … la …
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Jumatano, 6 Desemba 2017
Ufahamu wa Kuokolewa | Umeme wa Mashariki
Jumanne, 5 Desemba 2017
Kurudi kwa Mwana Mpotevu | Umeme wa Mashariki
4. Kurudi kwa Mwana Mpotevu
Wang Xin Mjini Harbin
Katika mwaka wa 1999, nilikuwa kiongozi kutokana na mahitaji ya kazi ya kanisa. Ingawa nilijisikia sana kwamba sikustahili hiyo kazi wakati kwanza nilipoanza, baada ya muda, kutokana na asili yangu ya kiburi na ya kujidai, tahadhari yangu ya awali polepole ilibadilika na kuwa ya kujiinua mwenyewe na kushuhudia kujihusu. Nilijali kuhusu chakula, nguo, na raha, kwa ulafi nikijiingiza katika baraka za hadhi yangu.
Jumatatu, 4 Desemba 2017
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
By Suara TuhanDesemba 04, 2017Bwana-asifiwe, Nyimbo, Nyimbo-za-Uzoefu-wa-Maisha, Upendo-wa-MunguNo comments
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo. Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye. Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, fikiria niliyoyafanya. Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, sasa nauona ukweli. Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi, kutimiza wajibu wangu. Kwa hali, kushindana na Mungu, mimi siheshimiki. Mungu bado Mungu, mtu ni mtu—mimi ni mjinga sana. Mjinga na mwenye kiburi kiasi cha kutoijua nafsi yangu halisi. Nilikosa aibu na kutahayarika; moyo wangu umejaa majuto. Najichukia mwenyewe, bila kujua kile ninachoishia. Shetani alinikanyaga kwa miaka mingi sana, nikawa mdharauliwa. Wakishapewa sumu na yule Mwovu, wanadamu wamepotea. Kama sitabadilishwa na kuzaliwa upya, sina maisha ya kweli.
II
Tabia yangu potovu hunisumbua, huduma yangu bado i bure. Ni mjinga wa kumjua Mungu, na kujawa na dhana; jinsi gani mimi singepinga? Mungu hunihukumu, kwa uasi wangu, na ukosefu wa uadilifu. Nimeuona upendo wa kweli wa kuadibu na kuhukumu. Mungu ni mwenye haki, mimi nina hakika kabisa. Niko ana kwa ana naye. Wokovu wa vitendo wa Mungu umenisaidia kufika umbali huu. Uhalisi wa Mungu na uweza wake, vimefichuliwa kikamilifu kwa mtu. Kwa kuishi katika mwanga, namjua Mungu na kuuona uzuri wake. Nikiwa na nia ya kutimiza wajibu, Nitamtosheleza Mungu na kumpenda.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya