
Ijumaa, 15 Desemba 2017
Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu
By Suara TuhanDesemba 15, 2017Kazi-ya-Mungu, Kumhudumia Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Ili uwe na ushuhuda kwa Mungu na kuliaibisha joka jekundu ni sharti uwe na kanuni, na sharti: Katika moyo wako ni lazima umpende Mungu na uingie katika maneno ya Mungu. Kama...
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 14, 2017maisha, Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments


Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi...
Jumatano, 13 Desemba 2017
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
By Suara TuhanDesemba 13, 2017Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali kilichoandaliwa juu yenu, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—haina maana. Ilhali kulingana na hali...
Jumanne, 12 Desemba 2017
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali...
Jumatatu, 11 Desemba 2017
Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua...
Jumapili, 10 Desemba 2017
Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China
By Suara TuhanDesemba 10, 2017Mateso-ya-Kidini, Nyendo, Video, Video za Kikristo, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, WakristoNo comments


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China,...
Jumamosi, 9 Desemba 2017
Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 09, 2017Enzi-ya-Ufalme, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi...
Ijumaa, 8 Desemba 2017
Maana ya Mwanaadamu Halisi | Umeme wa Mashariki

Maana ya “Mwanaadamu Halisi”
Mwenyezi Mungu alisema, Kumsimamia mwanadamu ndio Kazi Yangu, na ushindi Wangu dhidi yake ulikuwa hata umeshaamuliwa kabla zaidi Nilipoiumba dunia. Watu hawajui kwamba Nitashinda kabisa katika siku za mwisho, na pia hawajui kwamba ushahidi...
Alhamisi, 7 Desemba 2017
Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa "Kwaya ya Injili ya Kichina 13"
By Suara TuhanDesemba 07, 2017Kwaya-za-Injili, Mungu, Ngoma za Sifa, Tamthilia ya Jukwaa, VideoNo comments


1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI
La … la … la … la …
Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo....
Jumatano, 6 Desemba 2017
Ufahamu wa Kuokolewa | Umeme wa Mashariki

23. Ufahamu wa Kuokolewa
Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisan...
Jumanne, 5 Desemba 2017
Kurudi kwa Mwana Mpotevu | Umeme wa Mashariki

4. Kurudi kwa Mwana Mpotevu
Wang Xin Mjini Harbin
Katika mwaka wa 1999, nilikuwa kiongozi kutokana na mahitaji ya kazi ya kanisa. Ingawa nilijisikia sana kwamba sikustahili hiyo kazi wakati kwanza nilipoanza, baada ya muda, kutokana na asili yangu ya kiburi na ya kujidai,...
Jumatatu, 4 Desemba 2017
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
By Suara TuhanDesemba 04, 2017Bwana-asifiwe, Nyimbo, Nyimbo-za-Uzoefu-wa-Maisha, Upendo-wa-MunguNo comments


Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa,...