Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumatano, 7 Machi 2018

Anzeni Maisha Mapya - "Nimeuona uzuri wa Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Anzeni Maisha Mapya - "Nimeuona uzuri wa Mungu" (Video Rasmi ya Muziki) Nimeuona uzuri wa Mungu I Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka...

Jumanne, 6 Machi 2018

Swahili Christian Testimony Video "Utamu katika Shida" | Mungu Ndiye Nguvu Wangu

Swahili Christian Testimony Video "Utamu katika Shida" | Mungu Ndiye Nguvu Wangu Han Lu ni kiongozi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu katika China bara. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja na amepitia kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Anaelewa baadhi...

Jumatatu, 5 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni Watu wengine huamini, kwa kuwa Mungu aliweza kuumba mbingu na dunia na vitu vyote kwa neno moja, kuweza kuwafufua wafu kwa neno moja, Mungu pia Ataweza kubadili...

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje? Watu wengine huongozwa na maneno ya Paulo katika suala la kumngoja Bwana ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni: "Kwa ghafla, kufumba na kufumbua, wakati wa tarumbeta ya mwisho:...

Jumapili, 4 Machi 2018

Kwa Nini Chama cha Kikomunisti cha China Kwa Hasira Kinakandamiza na Kutesa Imani ya Kidini?

Kwa Nini Chama cha Kikomunisti cha China Kwa Hasira Kinakandamiza na Kutesa Imani ya Kidini? Chama cha Kikomunisti cha China wakati huu wote kimewakandamiza kwa hasira, kuwashambulia na kupiga marufuku imani za kidini. Wanawachukulia Wakristo kama wahalifu wakuu wa...

Mbinu ya Chama cha Kikomunisti cha China ya Kuwashurutisha Wakristo kwa Kutishia Familia Zao

Mbinu ya Chama cha Kikomunisti cha China ya Kuwashurutisha Wakristo kwa Kutishia Familia Zao Ili kuwashurutisha Wakristo kulighilibu kanisa, wamsaliti Mungu na kuharibu nafasi zao za kuokolewa na Mungu, Chama cha Kikomunisti cha China kwa ufidhuli kinawatishia wanafamilia...

Jumamosi, 3 Machi 2018

"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?

"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu? Waumini wengine huamini kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wamechaguliwa na kuteuliwa na Bwana, na kwamba wote ni watu wanaomtumikia Bwana. Hivyo wanaamini...

"Ivunje Laana" (5) - Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli?

"Ivunje Laana" (5) - Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli? Mungu mwenyewe hutoa ushuhuda kwa kila mtu Anayemteua na kumtumia. Angalau, wote hupokea uthibitisho wa kazi ya Roho Mtakatifu, huonyesha matunda ya kazi ya Roho...

Ijumaa, 2 Machi 2018

Swahili Gospel Movie | “Ivunje Laana” Movie Clip: Je, Imani katika Biblia ni Sawa na Imani katika Bwana?

Swahili Gospel Movie | "Ivunje Laana" Movie Clip: Je, Imani katika Biblia ni Sawa na Imani katika Bwana? Wachungaji wengi sana na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini huamini kwamba Biblia inamwakilisha Bwana, na kwamba kuamini katika Bwana ni kuamini katika Biblia,...

"Ivunje Laana" (3) - Je, Neno la Mungu Lipo Isipokuwa Biblia?

"Ivunje Laana" (3) - Je, Neno la Mungu Lipo Isipokuwa Biblia? Baadhi ya watu wa kidini huamini kuwa maneno na kazi zote za Mungu ziko katika Biblia, na kwamba hakuna maneno na kazi ya Mungu isipokuwa yale yaliyo katika Biblia. Je, aina hii ya mtazamo inaafikiana na ukweli?...

Alhamisi, 1 Machi 2018

"Ivunje Laana" (2) - Bwana Atakaporudi, Ataonekanaje kwa Wanadamu?

"Ivunje Laana" (2) - Bwana Atakaporudi, Ataonekanaje kwa Wanadamu? Siku za mwisho tayari zimefika, na waumini wengi wanatamani Bwana arudi na kuwachukua kwenda katika ufalme wa mbinguni. Lakini unajua Bwana atakavyoonekana kwetu Atakaporudi? Je, kweli itakuwa kama tunavyofikiria,...

Umeme wa Mashariki | "Ivunje Laana" (1) - Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana?

"Ivunje Laana" (1) - Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana? Miezi minne ya damu tayari imeonekana. Hii ina maana kwamba majanga makubwa yatakuja hivi karibuni, kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha Yoeli, “Na pia juu ya watumishi wanaume kwa wanawake katika siku zile,...