Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Jumamosi, 26 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 55. Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa

55. Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa




Kanisa la Mwenyezi Mungu, Biblia, neema
Chaotuo    Mji wa Xiaogan, Mkoa wa Hubei
Tangu tetemeko la ardhi la Sichuan, daima nimekuwa na hofu na wasiwasi kwamba siku moja huenda nikakumbwa na maafa. Hasa kwa vile nimeona maafa yakiongezeka, na matetemeko ya ardhi yakiwa ya mara kwa mara, hofu yangu ya maangamizi imekuwa hata wazi zaidi. Matokeo yake ni kuwa, mimi hutumia siku nzima nikitafakari ni tahadhari gani ambazo napaswa kuchukua ili kujilinda iwapo tetemeko la ardhi litazuka.

Umeme wa Mashariki | 58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, siku za mwisho, hukumu
He Jiejing    Jiji la Hezhou, Mkoa wa Guangxi
Dada mmoja na mimi tuliunganishwa ili tusahihishe makala pamoja. Tulipokuwa tukikutana, nilitambua kuwa haikujalisha kama ilikuwa ni kuimba, kucheza ngoma, kupokea neno la Mungu, au kuwasiliana ukweli, huyu dada alikuwabora kuniliko katika kila kipengele. Ndugu wa kiume na wa kike wa familia mwenyeji wote walimpenda na wangezungumza naye. Kwa sababu ya hili, moyo wangu ulikuwa na wasiwasi sana na nilihisi kama nilikosa kuthaminiwa—hata kufikia kiasi kwamba nilifikiri kuwa mradi alikuwa huko, hakukuwa na nafasi yangu. Moyoni mwangu nilianza kuhisi kuchoshwa naye na kutotaka kuandamana naye katika kutimiza wajibu wetu. Nilitumaini kwamba angeondoka ili kwamba ndugu wa kiume na wa kike wangenipenda na kuniheshimu sana.
Siku moja, kiongozi alituzuru. Huyu dada aliomba kuhamishiwa kwa kazi tofauti kwa sababu ya usafishwaji wa jazba aliokuwa akiupitia ambao ulikuwa ukifanya hali yake kuwa hasi. Baada ya kusikia akisema hivi, nikawa na msisimko mno. Niliwaza: Nilikuwa nikitumaini daima ya kwamba ungeenda. Ukienda, basi nitayaondokea mashaka yangu. Kwa hiyo, nilikuwa na shauku ya kiongozi huyu kumpa kazi nyingine mara moja. Hata hivyo, mambo yaliniendea kinyume na matarajio na kiongozi hakukosa tu kumpa kazi mpya, lakini kwa uvumilivu aliwasiliana naye ukweli na kumsaidia kubadilisha hali yake. Nilipoona hayo, nilihisi kuwa na wasiwasi hasa, na nikatumaini hata zaidi kuwa huyu dada angeondoka. Nikafikiri: Ni lini nitaweza kuyaondokea mashaka haya kama haendi wakati huu? Hapana, ni lazima nifikirie njia ya kumfanya aondoke haraka. Kwa hiyo, nilitumia fursa wakati huyu dada hakuwepo ili kumpa kiongozi maelezo zaidi, nikisema: "Mara nyingi yeye huwa na usafishwaji wa jazba ambao humzuia kulenga kusahihisha makala. Sasa amepoteza kazi ya Roho Mtakatifu na hawezi kusahihisha makala. Tayari imeathiri kazi ya kanisa ya kuhariri na kukusanya makala. Ni heri umpe kazi mpya. Dada X ni bora kwa kuandika makala, unaweza kumchagua kusahihiisha makala hayo. Anaweza kuwa na thamani bora ya kukuza kuliko dada niliyewekwa naye." Mara tu nilipomaliza kusema hili, neno la Mungu liliingia ndani yangu likinishutumu: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu Amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu. … Ni wangapi wasiobagua na kuonea wengine wakiwa na nia ya kudumisha hali yao?” (“Waovu Lazima Waadhibiwe” katika Neno Laonekana katika Mwili). Katika kukabiliana na maneno ya hukumu ya Mungu, nilihisi kama Mungu alikuwa akinikaripia kwa ukali uso kwauso. Kwa ghafla nilianza kutetemeka kwa hofu na sikuweza kujizuia kuhisi woga kwamaneno ambayo nilikuwa tu nimeyasema. Si mimi ni kama watu wanaofichuliwa na neno la Mungu ambao “kuonea wengine wakiwa na nia ya kudumisha hali yao”? Nilipoona kwamba dada niliyekuwa nikifanya kazi naye alikuwa bora zaidi kuniliko katika kila kipengele na kwamba ndugu wa kiume na wa kike wote walimpenda, nilikuwa na wivu moyoni mwangu. Nilikuwa nimechoshwa naye, nikambagua, na kutarajia kuwa angeondoka hivi karibuni ili kwamba ningeyaondokea mashaka yangu. Ili kuwafanya ndugu wa kiume na wa kike kunisikiliza ili kwamba ningejisikia kama nilikuwa na hadhi nikiwa nao, nilitumia hali mbaya ya dada huyu kwa manufaa yangu na kumsengenya kwa kiongozi kwakisingizio cha kulinda maslahi ya kanisa. Lilikuwa jaribio langu la bure la kutumia kiongozi kumwondoa yule dada kabisa. Mwenendo wangu ulifunua kabisa sura yangu ya kweli na kufichua kwamba nilikuwa nyoka muovu na mwenye nia mbaya, kwamba kweli nilikuwa mtoto wa joka kubwa jekundu! Ili kubuni udikteta, joka kubwa jekundu hutumia njia yoyote muhimu ili kuwaondoa wapinzani kabisa. Ili kuwa kiini cha ndugu zangu wa kiume na wa kike na kuwafanya watake kuwa karibu nami, kwa hila niliwaondoa kabisa wale ambao hawakuwa na faida kwangu. Joka kubwa jekundu lina wivu kwa wale walio wakubwa kuliliko na huwaangamiza wale wenye malengo mema. Mimi pia nilikuwa na wivu kwa dada huyu kwa sababu alikuwa bora zaidi kuniliko katika kila kipengele na nilitumia mbinu za kusikitisha kumwondoa kabisa. Joka kubwa jekundu huwahukumu na kuwaua watu kwamatilaba yake mwenyewe. Ili kupata matilaba yangu mwenyewe, kwa makusudi nilitia chumvi mambo kumhusu dada huyu. Mwenendo wangu ulikuwa sawa na ule wa joka kubwa jekundu; nilikuwa tu mwenye kiburi, mwovu, na mbaya mno. Kanisa lilikuwa limetupangia kufanya kazi pamoja ili tuweze kusaidia na kuauniana, ili tuweze kufanya kazi nzuri kwa moyo na akili moja ili kumpendeza Mungu. Ilikuwapia ili tuweze kutumia nguvu zetu ili kufidia udhaifu wa mwingine ili tuweze kuelewana kupata ukweli zaidi na kubadilisha tabia yetu. Lakini sikuwa na ufahamu wamapenzi ya Mungu hata kwa kiwango kidogo. Nilipoona huyu dada alikuwa katika hali mbaya, sio tu kuwa sikutegemea upendo kumsaidia, lakini pia nilitarajia abadilishwe kwa haraka ili kuilinda nafasi yangu. Mimi kwa kweli ni mbaya sana. Tabia yangu imeharibiwa sana. Sikuwa na upendo ambao mtu wa kawaida anapaswakuwa nao. Nilikuwa nimepoteza ubinadamu wangu kabisa kiasi kwamba ningetumia njia yoyote ili kufanikisha malengo yangu mwenyewe. Kama sitaharakisha na kutubu, ni lazima hatimaye niangamizwe pamoja na joka kubwa jekundu.
Asante Mungu! Hukumu Yako na kuadibu vimeniamsha wakati ufaao kunifanya nione kwamba mwenendo wangu ulikuwa sawa na ule wa joka kubwa jekundu na kwamba mimi kwa kweli ni mtoto wa joka kubwa jekundu kwa jina na kwa vitendo. Hili limenisababisha niidharau asili ya Shetani ambayo iko ndani yangu. Kuanzia wakati huu kwendelea, nitageuka kutoka kwa asili ya Shetani iliyo ndani yangu. Sitajipignia mwenyewe tena. Natumaini kufanya kazi vyema na dada huyu ili kutimiza wajibu wetu na kumridhisha Mungu. Nitakuwa tayari zaidi kutafuta ukweli na kutupa sumu ya joka kubwa jekundu, na hivyo kuishi kama mtu halisi ili kumfariji Mungu!
kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo
Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mungu


1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Agosti 15, 2012Ndugu wawili wa kawaida, Beijing
 Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.
   Siku hiyo, mvua kubwa ilikuwa ikinyesha katika Wilaya ya Fangshan jijini Beijing—ilikuwa kubwa kuliko yoyote iliyowahi kuonekana pale katika miaka sitini na mmoja. Muda mfupi baada ya saa 10 jioni, nilitoka nje mtaani ili kuangalia na nikaona kuwa maji yalikuwa kila mahali. Gari la familia yetu lilikuwa tayari limeelea, na sababu ya pekee gari hilo kutosombwa na mkondo wa maji ilikuwa kwamba lilizuiwa na kitu mbele yake kilicholizuia kusonga.

Ijumaa, 25 Mei 2018

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi, wokovu
Zhang Jin, Beijing
Agosti 16, 2012
   Mimi ni dada mzee mwenye miguu miwili yenye kasoro. Hata wakati hali ya hewa ni nzuri nje, nina shida kutembea, lakini wakati maji ya mafuriko yalipokuwa karibu kunimeza, Mungu aliniruhusu kutoroka hatari kimiujiza.

Alhamisi, 24 Mei 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha


Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Utambulisho
Mtu Atarudi Kule Alikotoka.
Hakuna yeyote anayeweza kushinda ugonjwa na kifo.
Hakuna yeyote anayeweza kubadilisha sheria za uzee na udhaifu wa mwili au akili.
………………………………
"Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii?"
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kwaya za Injili
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatano, 23 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | 61. Si Rahisi Kuwa Mtu Mwaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

Umeme wa Mashariki | 61. Si Rahisi Kuwa Mtu Mwaminifu

Zixin    Jiji la Wuhan, Mkoa wa Hubei
Kupitia kula na kunywa neno la Mungu na kusikiliza mahubiri, nilikuja kuelewa umuhimu wa kuwa mtu mwaminifu na hivyo nikaanza kufanya mazoezi kuwa mtu mwaminifu. Baada ya muda, niliona kuwa nilipata kuingia kiasi katika kuwa mtu mwaminifu.

Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa

Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa


Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe. Lakini wakati maafa yanapokuja, yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, woga, na kitisho, na tunahisi kutokuwa na thamani kwa wanadamu na udhaifu wa maisha…. Ni nani wokovu wetu wa pekee? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua jibu!
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wokovu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumanne, 22 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | 66. Ubia wa Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

Umeme wa Mashariki | 66. Ubia wa Kweli

Fang Li    Jiji la Anyang, Mkoa wa Henan
Hivi karibuni nilidhani nilikuwa nimeingia katika ubia wenye kuridhisha. Mshirika wangu na mimi tuliweza kujadili kitu chochote, wakati mwingine hata nikamwomba aonyeshe dosari zangu, na hatukupigana kamwe, hivyo nilidhani tulikuwa tumefanikisha ubia wenye kuridhisha.

Jumatatu, 21 Mei 2018

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)

Ili kujitengenezea nafasi yake mwenyewe duniani, mhusika mkuu alilazimika kufuata mwenendo wa duniani humu, akihangaika na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya umaarufu na hadhi. Maisha yake yalilikuwa hasa matupu na yenye maumivu. Baada ya kumwamini Mwenyezi Mungu, alipata maana ya maisha ya binadamu ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu, na akiwa amejawa na furaha, akamfuata Mungu na kutimiza majukumu yake. Hata hivyo, kwa sababu moyo wake ulikuwa chini ya udhibiti wa umaarufu na hadhi, katika kutekeleza majukumu yake mara kwa mara alitenda kwa mujibu wa mawazo yake mwenyewe, na alikuwa dhalimu na mwenye udikteta. Kwa sababu hii, alipogolewa na kushughulikiwa na ndugu. Kwanza, alibishana na hakukubali. Kupitia hukumu na kuadibiwa na maneno ya Mungu, alikuja kujua ukweli wa upotovu wake. Hata hivyo, kwa sababu hakuelewa nia ya Mungu, alimwelewa Mungu visivyo na kufikiri Mungu hangeweza kumwokoa. Kwa wakati huu, neno la Mungu lilimtolea nuru polepole, likamwongoza, na kumfanya kuelewa nia ya Mungu yenye ari ya kumwokoa mwanadamu, na alipitia upendo wa kweli wa Mungu kwa wanadamu …
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu
Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumapili, 20 Mei 2018

70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana!

Shiji    Jiji la Ma’anshan , Mkoa wa Anhui
Wakati wa kufanya kazi kwangu kama kiongozi katika kanisa, kiongozi wangu mara nyingi angeshirikiana mifano ya kushindwa kwa wengine ili kutumikia kama somo kwetu. Kwa mfano: Viongozi wengine walizungumza tu kuhusu elimu na mafundisho lakini walikosa kutaja upotovu wao au kuwasiliana kwa karibu kuhusiana na ufahamu wao wa jinsi ukweli unavyotumika kwa ukweli.

Jumamosi, 19 Mei 2018

67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa

Yixin    Jiji la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei
Kabla, ningewasikia mara kwa mara ndugu zangu wa kiume na wa kike wakisema, "Kila kitu ambacho Mungu hufanya ni kwa ajili ya matokeo mazuri; ndiyo yote wanayohitaji watu."

Umeme wa Mashariki | Vitabu vya Shetani Vinaweza Kutulisha Sumu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

Umeme wa Mashariki |  Vitabu vya Shetani Vinaweza Kutulisha Sumu

Peihe    Jiji la Xianning, Mkoa wa Hubei
Daima niliamini kwamba mimi na mume wangu tulipitia maisha yetu "na nyuso zetu kwa mchanga na migongo yetu kwa jua" kwa sababu hatukusoma vya kutosha tulipokuwa vijana, na kwa sababu hatukuwa na elimu.