Jumanne, 7 Agosti 2018
Njia Yote Pamoja na Wewe
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 07, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Njia-Yote-Pamoja-na-Mungu, Nyimbo-ya-Msifuni-Mwenyezi-Mungu, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-MaishaNo comments
Wimbo
Njia Yote Pamoja na Wewe
I
Nilikuwa kama mashua,
ikielea baharini.
Ulinichagua,
na mahali pazuri Uliniongoza.
Sasa katika familia Yako,
nikipewa joto na upendo Wako,
nina amani kabisa.
Unanibariki,
Unatoa maneno Yako ya hukumu.
Jumatatu, 6 Agosti 2018
Video za Kikristo 2018 “Kuamka Kutoka kwa Ndoto” | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 06, 2018Biblia, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Ufalme-wa-Mbinguni, Video-za-KikristoNo comments
Video za Kikristo 2018 “Kuamka Kutoka kwa Ndoto” | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
Kama wafuasi wengi wa Bwana Yesu, Yu Fan aliangazia kuhusu kusoma Biblia, akaacha kila kitu ili kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, na akatafuta kumtumikia Bwana kwa ari.
Jumapili, 5 Agosti 2018
Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 05, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, msalaba, Umeme-wa-MasharikiNo comments
Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"
Go Shoucheng ni mchungaji katika kanisa la nyumbani huko China. Amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa akishughulikia kwa mahubiri yake kwa uthabiti, na amekuwa kila mahali akihuburu injili. Amekamatwa na kutiwa jelani kwa sababu ya kuhubiri injili, na kukaa miaka kumi na miwili gerezani. Baada ya kuondoka gerezani, Gu Shoucheng aliendelea kufanya kazi kanisani.
Jumamosi, 4 Agosti 2018
Tamko la Arubaini na Saba
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 04, 2018hukumu, Kristo, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Tamko la Arubaini na Saba
kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwake.
Ijumaa, 3 Agosti 2018
Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 03, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, msalaba, Roho-Mtakatifu, Sinema-za-Injili, UkweliNo comments
Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!
Tao Wei alikuwa mhubiri kutoka kanisa la nyumba. Kanisa lake lilipokuwa na ukiwa zaidi na zaidi siku baada ya siku, wafuasi wake wote wakawa walegevu na wenye roho dhaifu, na roho yake mwenyewe ilikuwa na giza. Yeye hakuweza tena kuhisi uwepo wa Bwana, na Tao Wei alichanganyikiwa, bila kujua la kufanya.
Alhamisi, 2 Agosti 2018
Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 02, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Sinema-za-Injili, Upendo-wa-MunguNo comments
Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha
Jumatano, 1 Agosti 2018
Tamko la Arubaini na Sita
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 01, 2018kanisa, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Ukweli, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Tamko la Arubaini na Sita
Sijui jinsi watu wanavyoendelea katika kuyafanya maneno Yangu kuwa msingi wa kuweko kwao. Nimehisi wasiwasi kila mara kwa ajili ya majaliwa ya mwanadamu, lakini watu hawaonekani kuwa na fahamu yoyote kuhusu hili—na kutokana na hilo, hawajawahi kuyatilia maanani mambo Yangu, na hawajawahi kukuza kuabudu kokote kwa ajili ya mtazamo Wangu kuhusiana na mwanadamu. Ni kana kwamba walitupa hisia zamani ili kuuridhisha moyo Wangu.
Jumanne, 31 Julai 2018
Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 31, 2018Injili, Msifuni-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo-ya-Msifuni, Nyimbo-za-wokovuNo comments
Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu
Jumapili, 29 Julai 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 29, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa
Inaonekana kwamba katika mawazo ya watu, Mungu ni wa fahari sana naye Haeleweki. Ni kana kwamba Mungu haishi miongoni mwa wanadamu, kana kwamba anawadharau watu kwa sababu Yeye ni wa fahari sana.
Jumamosi, 28 Julai 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 28, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mungu-hutawala-juu-ya-vitu-vyote, Nyimbo, VideoNo comments
Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"
I
Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
unaanza kutenda wajibu wako.
Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako,
na unaanza safari ya maisha.
Vyovyote vilivyo msingi wako ama safari iliyo mbele yako,
hakuna anayeweza kuepuka utaratibu na mpango ambao Mbingu imeweka,
na hakuna aliye na amri juu ya hatima yake,
kwani ni Yule tu anayetawala juu ya vitu vyote ndiye ana uwezo wa kazi kama hii.
II
Tangu siku ambayo mwanadamu alikuja kuwepo
Mungu amekuwa imara katika kazi Yake,
Akisimamia ulimwengu huu na kuelekeza mabadiliko na kusonga kwa vitu vyote.
Kama vitu vyote, mwanadamu kwa kimya na bila kujua anapokea
uboreshaji wa utamu, mvua na umande kutoka kwa Mungu.
Kama vitu vyote, mwanadamu bila kujua anaishi chini ya utaratibu wa mkono wa Mungu.
Moyo na roho ya mwanadamu viko mkononi mwa Mungu,
na maisha yote ya mwanadamu yanatazamwa machoni mwa Mungu.
Bila kujali kama unaamini katika hili ua la,
chochote na vitu vyote, viishivyo au vilivyokufa,
vitageuka, vibadilike, vifanywe upya, na kupotea kulingana na fikira za Mungu.
Hivi ndivyo Mungu hutawala juu ya vitu vyote.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Ijumaa, 27 Julai 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 27, 2018Biblia, hukumu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, UkweliNo comments
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
Kwa kweli, maneno yote kutoka katika kinywa cha Mungu ni mambo ambayo wanadamu hawayajui; yote ni lugha ambayo watu hawajasikia, kwa hiyo inaweza kusemwa hivi: Maneno ya Mungu yenyewe ni siri.
Alhamisi, 26 Julai 2018
Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 26, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo-za-injili, Video, ya-Mwenyezi-MunguNo comments
Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.