Jumatatu, 10 Septemba 2018
Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 10, 2018Kufuata-na-kuwaabudu-wachungaji, kuisikia-sauti-ya-Mungu, kurudi-kwa-Bwana, UkweliNo comments
Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu. Kupitia ushirika wa Dada Zheng kuhusu ukweli, Zhao anaishia kuwa na utambuzi na kufahamu kwamba kukaribisha kurudi kwa Bwana, anapaswa kuzingatia kuisikia sauti ya Mungu, hiyo ndiyo njia pekee ya kufuata nyayo Zake. Kufuata na kuwaabudu wachungaji na wazee bila kufikiria hakika ni kuchukua mwelekeo mbaya.
Jumapili, 9 Septemba 2018
Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 09, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Ukweli, ushuhuda, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?
Jinru Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu.
Jumamosi, 8 Septemba 2018
The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 08, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, Neno-la-Mungu, Sauti-Nzuri-AjabuNo comments
The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili
Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa.
Ijumaa, 7 Septemba 2018
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 07, 2018Huniongoza, Kujifunza, Kuwafundisha-Wanangu, maneno-ya-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Xiaoxue, Malesia
Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika neno la kwanza na kisha kusahau lililofuata. Hasira ndani yangu ilipanda, na kunyakua rula iliyokuwa juu ya meza na kumgonga mara kadhaa.
Alhamisi, 6 Septemba 2018
Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 06, 2018kuandamana-na-Mungu, Neema, nyimbo-za-sifa, upendo-kwa-MunguNo comments
Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us
I
Ee Bwana,
Nimefurahia nyingi ya neema Yako.
Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani?
Je, sijapata ukweli na uzima?
II
Kusoma maneno haya kunaweza kuyajibu maswali yako.
"Kristo wa siku za mwisho huleta uzima,
na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele.
Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima,
na njia pekee ambayo
mtu atajua Mungu na kuidhinishwa na Mungu.
Kama hutatafuta njia ya maisha inayotolewa na
Kristo wa siku za mwisho,
basi kamwe hutapata kibali cha Yesu,
na kamwe hutahitimu kuingia lango la ufalme wa mbinguni,
kwa ajili nyote ni makaragosi
na wafungwa wa historia" (Kitabu Chafunguliwa na Mwanakondoo).
Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ameonyesha ukweli wote
kutakasa, kuwaokoa wanadamu,
kumletea mwanadamu njia ya uzima wa milele.
Kwa kukubali na kutii kazi ya Mungu, kutenda na kupitia maneno Yake,
mwanadamu anaweza kuelewa ukweli na kupata uzima.
III
Mungu alinichagua kutoka katika bahari kubwa ya watu, na kupanga kwa njia ya kimiujiza kwamba nije upande Kwake.
Maneno Yake yenye fadhili yameupa moyo wangu upendo. Nikiwa na ukweli, naishi katika furaha isiyo na mwisho.
Sauti hiyo ya kawaida, sura hiyo nzuri havijabadilika tangu mwanzo.
Katika familia ya Mungu ninaonja utamu wa upendo Wake. Ninaegemea karibu na Yeye na sitaki kuondoka tena.
Bila Mungu, siku zilikuwa ngumu kustahimili.
Niliyumbayumba pamoja na kila hatua iliyojaa machungu.
Ni kwa ulinzi wa siri wa Mungu tu kwamba nilifikia leo.
Na sasa nikiwa na maneno ya Mungu upande wangu mimi nimeridhika.
IV
Muda unapopita yanakuja mabadiliko makubwa. Lakini hakuna chochote kitakachofuta moyoni mwangu upendo wangu kwa Mungu.
Ahadi ya maelfu ya miaka, kiapo kisichobadilika.
Baada ya mizunguko mingi ya maisha na kifo ninarudi upande wa Mungu.
Amepanda maisha moyoni mwangu. Maneno Yake yananilisha na kuninyunyizia maji.
Kupitia mateso na taabu maisha yangu yanazidi kuwa yenye nguvu.
Barabara mbaya na kushindwa ni misingi ya mafunzo kwangu.
Mungu hajawahi kuondoka upande wangu.
Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko.
Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa.
Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele.
Mungu hajawahi kuondoka upande wangu.
Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko.
Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa.
Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Jumatano, 5 Septemba 2018
FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST REFUGEES CONTINUE IN KOREA, HACKERS TRY TO STOP BITTER WINTER
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 05, 2018Asylum-Seekers, Human-Rights, religious-freedom, Religious-Persecution, The-Church-of-Almighty-GodNo comments
FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST REFUGEES CONTINUE IN KOREA, HACKERS TRY TO STOP BITTER WINTER
While Chinese agents, hired thugs and anti-cultists stage false “spontaneous demonstrations” and abuse refugees, hackers launch a massive attack against the Web site of Bitter Winter, obviously trying to prevent its reporting of the events in Korea.
Jumanne, 4 Septemba 2018
Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 04, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kupata-Furaha, Kurudi-kwa-Mwana-Mpotevu, Ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa
Yixin
Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa.”
Jumatatu, 3 Septemba 2018
Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 03, 2018Mwenyezi-Mungu, Roho-Mtakatifu, Shukrani-na-sifa, tunaelewa-ukweliNo comments
Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life
I
Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa.
Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu.
Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.
Jumapili, 2 Septemba 2018
FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST THE CHURCH OF ALMIGHTY GOD REFUGEES START IN SOUTH KOREA
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 02, 2018Asylum-Seekers, Human-Rights, Kufichua-Ukweli, religious-freedom, The-Church-of-Almighty-GodNo comments
FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST THE CHURCH OF ALMIGHTY GOD REFUGEES START IN SOUTH KOREA
Executing a secret plan that Bitter Winter revealed one month ago, the CCP brings to Korea relatives of asylum seekers of The Church of Almighty God and organizes false “spontaneous demonstrations” with the help of pro-Chinese anti-cult activists.
Jumamosi, 1 Septemba 2018
Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 01, 2018Filamu-za-Kikristo, Foolish-Virgins, majengo-ya-kanisaNo comments
Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven?
Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana.
Ijumaa, 31 Agosti 2018
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 31, 2018Huniongoza, Kujifunza, Kuwafundisha-Wanangu, maneno-ya-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)
Xiaoxue, Malesia
Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na kufanikiwa, walipokuwa na umri wa miaka miwili, nilijadiliana na mume wangu juu ya kuwatafutia shule nzuri ya chekechea. Baada ya ziara kadhaa, maulizo na kulinganisha, tulichagua shule ya chekechea ya Kiingereza kwa sababu waliweka umuhimu juu ya ubora wa tabia au akili na uwezo wa watoto, ambao ulifanana na mtazamo wangu juu ya kufundisha watoto. Ingawa ada za masomo zilikuwa za juu kiasi, alimradi watoto waliweza kuendeleza vizuri na kupata elimu bora, lilikuwa la thamani kutumia pesa zaidi kidogo.
Alhamisi, 30 Agosti 2018
Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (2) - Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 30, 2018imani-ya-kidini, Mwenyezi-Mungu, Roho-Mtakatifu, siku-za-mwishoNo comments
Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (2) - Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini?
Dunia nzima ya dini kwa sasa inapitia njaa kubwa, hawapo tena pamoja na kazi ya Roho Mtakatifu au uwepo wa Bwana, wanafanya mambo maovu zaidi na zaidi na imani na huruma ya waumini inadhoofika na kuwa baridi. Aidha, maafa yanazidi kuwa mabaya zaidi na zaidi kote duniani, unabii kwamba Bwana angerudi katika siku za mwisho tayari umetimia. Hivyo, tunawezaje kutatua chanzo cha ukiwa wa makanisa kwa njia ambayo inawaruhusu wale ambao kweli wanaamini katika Mungu, ambao wanatamani kuonekana kwa Mungu kwa mara nyingine tena waje mbele za Mungu na kutembea kwenye njia ya wokovu? Hii video fupi itachunguza pamoja nawe jinsi ya kutatua tatizo hili la ukiwa wa makanisa.