Ijumaa, 23 Novemba 2018
Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My Salvation
By UnknownNovemba 23, 2018Neema, Umeme-wa-Mashariki, Upendo-wa-Mungu, Video, Wimbo-za-Kuabudu, WokovuNo comments

Umeme wa Masharik | Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My SalvationUmeme wa Masharik
Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda,
uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme.
Maneno Yako yamenitakasa,
yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.
Moyoni mwangu nahisi,...
Alhamisi, 22 Novemba 2018
" Gospel Movie Clip ""Kusubiri"" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000"
By UnknownNovemba 22, 2018Bwana-Yesu, Kazi-ya-Mungu, Mwenyezi-Mungu, Sinema-za-Injili, Siri-za-Mpango, VideoNo comments

"Gospel Movie Clip ""Kusubiri"" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000"
Bwana Yesu alifichua siri za ufalme wa mbinguni, na Mwenyezi Mungu alikuja kufunua siri zote za usimamizi wa wanadamu wa miaka 6,000! Je...
Jumatano, 21 Novemba 2018
Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?

Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu
4.Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?
Aya za Biblia za Kurejelea:
"Kwa...
Jumanne, 20 Novemba 2018
Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?
By UnknownNovemba 20, 2018Filamu-za-Injili, sauti-ya-Mungu, ujio-wa-pili-wa-Yesu, Video-za-KikristoNo comments

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?
Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana. Lakini wakati tunaposikia habari ya kwamba...
Jumatatu, 19 Novemba 2018
Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed
By UnknownNovemba 19, 2018Christian-Variety-Show, majina-ya-Yesu, Mungu, Umeme-wa-Mashariki, Video, YesuNo comments

Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed
Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba...
Jumapili, 18 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God
By UnknownNovemba 18, 2018Mateso-ya-Kidini, Umeme-wa-Mashariki, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, WakristoNo comments

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God
"Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?" "Usifikiri kwamba kwa sababu wewe ni mdogo, tutakuwa wenye huruma kwak...
Ijumaa, 16 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6): Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP
By UnknownNovemba 16, 2018kanisa, Mateso, Umeme-wa-Mashariki, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, WakristoNo comments

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6): Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP
Wakati ambapo CCP hakipati mafanikio katika jitihada zake za kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungukupitia mateso yao ya ukatili na kutia kasumba, wao kisha huzitumia familia zao kama chambo kuwajaribu. Wakiwa wamekabiliwa na...
Alhamisi, 15 Novemba 2018
4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo

4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo
Xiaokai, Mkoa wa Jiangxi
Mimi ni mwanamke wa kawaida wa mashambani, na, kwa sababu ya dhana ya kikabaila ya kuthamini tu watoto wa kiume, sikuweza kuinua kichwa changu mbele ya wengine kwa ajili ya aibu ya kutozaa...
Jumatano, 14 Novemba 2018
I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu
By UnknownNovemba 14, 2018Biblia, Kristo, Mashahidi-wa-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho, Roho-Mtakatifu, siku-za-mwisho, VitabuNo comments


I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu
1. Bwana Yesu Mwenyewe alitabiri ya kwamba Mungu angepata mwili katika siku za mwisho na kuonekana kama Mwana wa Adamu ili kufanya kazi.
Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na ninyi pia...
Jumanne, 13 Novemba 2018
Tamko la Mia Moja na Kumi na Tatu
By UnknownNovemba 13, 2018kanisa, Neno-Laonekana-katika-Mwili, siku-za-mwisho, ushuhuda, VitabuNo comments


Tamko la Mia Moja na Kumi na Tatu
Kila kitendo Ninachokifanya kina hekima Yangu ndani yake, lakini mwanadamu hawezi kukielewa kamwe; mwanadamu anaweza tu kuona matendo Yangu na maneno Yangu, lakini hawezi kuuona utukufu Wangu, au kuonekana kwa nafsi Yangu, kwa sababu...
Jumatatu, 12 Novemba 2018
Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"

Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"
Liu Jie, Hunan
Maoni Tofauti, Migongano Ya Siku Zote
Mimi ni mke wa kawaida, mke mzuri na mama mwenye upendo, mimi huwatunza vizuri mume wangu na watoto wangu, mimi hufanya kazi kwa bidii na mwekevu katika...
Jumapili, 11 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 11, 2018haki-ya-kuish, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuwakandamiza-Wakristo, uhuru-wa-dini, uhuru-wa-imani, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vidoNo comments

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?
Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu...