Jumanne, 18 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 38
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 18, 2019baraka, Kazi-ya-Mungu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ufalme, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu | Sura ya 38
Si kwamba imani yako ni nzuri au safi, lakini badala yake, kazi Yangu ni ya ajabu! Kila kitu ni kwa sababu ya rehema Zangu! Hupaswi kuwa na tabia potovu ya ubinafsi au kiburi hata kidogo, vinginevyo kazi Yangu kwako haitaendelea. Lazima uelewe wazi kwamba iwapo watu wanaanguka au kusimama imara si kwa sababu yao,...
Jumatatu, 17 Juni 2019
Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili
Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Hatua tatu za kazi ndizo kiini cha usimamizi mzima wa Mungu, na ndani yazo zimeelezwa tabia ya Mungu na kile Alicho. Wale wasiojua kuhusu hatua tatu za kazi ya Mungu hawana uwezo wa kutambua jinsi Mungu anavyoonyesha tabia...
Jumapili, 16 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 36
By wangbaoxinJuni 16, 2019hukumu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ufalme, utukufu, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu | Sura ya 36
Mwenyezi Mungu wa kweli, Mfalme katika kiti cha enzi, hutawala ulimwengu mzima, Anakabiliana na mataifa yote na watu wote, kila kitu chini ya mbingu hung’aa kwa utukufu wa Mungu. Viumbe vyote hai katika miisho ya ulimwengu vitaona. Milima, mito, maziwa, ardhi, bahari na viumbe vyote viishivyo, katika nuru ya uso...
Jumamosi, 15 Juni 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 35
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 15, 2019hukumu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, Ukweli, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu | Sura ya 35
Ngurumo saba zinatoka kwenye kiti cha enzi, zinautikisa ulimwengu, zinageuza mbingu na ardhi, na zinavuma angani! Sauti hiyo inapenya sana kiasi kwamba watu hawawezi kuepuka wala kujificha. Nuru ya ghafla ya umeme na sauti ya radi zinatumwa mbele, zikiiangusha chini mbingu na ardhi papo hapo, na watu wamekaribia kufa....
Ijumaa, 14 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 34
By wangbaoxinJuni 14, 2019kanisa, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ushuhuda, VitabuNo comments

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 34
Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu zote , mwenye kutimiliza yote na Mungu wa kweli kabisa! Habebi tu nyota saba, ana Roho saba, ana macho saba, anafungua mihuri saba na kufungua hati ya kukunja yenye maandishi, lakini zaidi ya hayo Yeye anaendesha mapigo saba na vikasa saba na kufungua radi...
Alhamisi, 13 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 33
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 13, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Kristo, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 33
Ufalme Wangu unawahitaji wale ambao ni waaminifu, wasio wanafiki, na wasio wadanganyifu. Je, si watu wenye moyo safi na waaminifu duniani hawapendwi na watu? Mimi ni kinyume kabisa cha jinsi ilivyo. Inakubalika kwa watu waaminifu kuja Kwangu; Nafurahia mtu wa aina hii, pia Ninamhitaji mtu wa aina hii....
Jumatano, 12 Juni 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 32
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 12, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu | Sura ya 32
Mwanga ni nini? Katika siku za nyuma kwa kweli mliuona mbadiliko wa kazi ya Roho Mtakatifu kama mwanga. Kuna mwanga wa kweli wakati wote, unaojumuisha ninyi kupata kile Mungu alicho kupitia kwa kunikaribia na kushirikiana na Mimi; kuwa na utambuzi katika maneno ya Mungu na kufahamu mapenzi ya Mungu katika maneno Yake—yaani,...
Jumanne, 11 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 31
By ye.fengJuni 11, 2019maisha, mapenzi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ujenzi-wa-kanisa, VitabuNo comments

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 31
Ninawapenda wale wote wanaonitaka Mimi kwa dhati. Mkilenga kunipenda, hakika Nitawabariki kwa kiasi kikubwa. Je, mnaelewa nia Zangu? Katika nyumba Yangu, hakuna tofauti kati ya hali ya juu na chini. Kila mtu ni mwanangu, Mimi ni Baba yenu, Mungu wenu. Mimi ni mkuu na wa pekee. Ninadhibiti kila...
Sauti ya Mungu | Sura ya 30
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 11, 2019kanisa, Mkate-wa-kila-Siku, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu | Sura ya 30
Amkeni, ndugu! Amkeni, kina dada! Siku Yangu haitakawishwa; wakati ni uhai, na kuushika wakati ni kuokoa uhai! Wakati hauko mbali sana! Mkifanya mitihani ya kuingia katika chuo kikuu na msipite, mnaweza kujaribu tena na mubukue kwa ajili ya mtihani. Hata hivyo, siku Yangu haitakuwa na ucheleweshaji kama huo. Kumbuka!...
Jumatatu, 10 Juni 2019
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja” sehemu ya kwanza
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 10, 2019Kazi-ya-Mungu, Neno-la-Mungu, Roho-Mtakatifu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja” sehemu ya kwanza
Mwenyezi Mungu anasema, “Kuingia rahani hakumaanishi kwamba mambo yote yatakoma kusonga, ama kwamba mambo yote yatakoma kuendelea, wala hakumaanishi kwamba Mungu atakoma kufanya kazi ama mwanadamu atakoma kuishi. Ishara ya kuingia rahani ni...
Jumapili, 9 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 29
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 09, 2019maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu | Sura ya 29
Je, ulijua kwamba wakati uko karibu? Hivyo kwa muda mfupi wa hivi karibuni utanitegemea Mimi na kuyatupilia mbali mambo yote kutoka kwako ambayo hayalingani na tabia Yangu: upumbavu, upole wa kuonyesha hisia, mawazo yasiyo wazi, moyo...
Jumamosi, 8 Juni 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 28
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 08, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, siku-za-mwisho, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu | Sura ya 28
Unaona kwamba muda ni mfupi sana na kazi ya Roho Mtakatifu inavurumisha mbele, ikikusababisha kupata baraka kubwa hivi, kumpokea Mfalme wa ulimwengu, Mwenyezi Mungu, ambaye ni Jua ling’aalo, Mfalme wa ufalme—hii yote ni neema na huruma Yangu. Kuna nini kinachoweza kuwepo kinachoweza kukutoa kwa upendo Wangu? Tafakari...