Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Alhamisi, 4 Januari 2018

Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu

Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu....

Jumatano, 3 Januari 2018

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika? Kristo wa siku za mwisho amekuwa akifanya kazi Yake nchini China kwa zaidi ya miaka 20, kazi ambayo imetetemesha makundi mbalimbali ya kidini kwa kina. Swali la kufadhaisha zaidi kwa jumuiya za kidini wakati huu limekuwa: Wachungaji wengi na wazee wa kanisa katika...

Jumanne, 2 Januari 2018

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Yote kuhusu Mjadala wa “Iwapo Biblia Inatiwa Msukumo na Mungu”

Kwa miaka elfu mbili, dunia ya kidini imetegemea kile alichosema Paulo kuhusu Biblia kutiwa msukumo na Mungu na daima iliamini kwamba “Biblia ni maneno ya Mungu,” na “Biblia inamwakilisha Bwana.” Je, mawazo haya ni sahihi? Video hii itafichua majibu kwako! Umeme wa Mashariki,...

Jumatatu, 1 Januari 2018

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu; mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa, ulimwengu...

Jumapili, 31 Desemba 2017

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?

Kwa miaka elfu mbili, tumemwamini Bwana kulingana na Biblia, na wengi wetu sana huamini “Biblia inamwakilisha Bwana, kumwamini Mungu ni kuamini Biblia, kuamini Biblia ni kumwamini Mungu,” Je, mawazo haya ni sahihi? Kumwamini Mungu kunamaanisha nini kwa kweli? Kunamaanisha...

Jumamosi, 30 Desemba 2017

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?

Dunia nzima ya kidini yote huamini kwamba kazi na maneno ya Mungu yote yamo katika Biblia, na kwamba isipokuwa Biblia, hakuna maneno yaliyonenwa na Mungu na kazi Yake. Kwa hiyo, ili mradi uko mwaminifu kwa Biblia, hili litahakikisha kwamba utaweza kuingia ufalme wa mbinguni....

Ijumaa, 29 Desemba 2017

Kiini cha Mwili Ulio na Mungu

Kiini cha Mwili Ulio na Mungu Mwenyezi Mungu alisema, Mungu mwenye mwili wa kwanza Aliishi duniani kwa miaka thelathini na tatu na nusu, lakini Alitekeleza huduma Yake kwa miaka mitatu na nusu pekee ya hiyo miaka yote. Kipindi Alichofanya kazi na kabla Aanze kazi...

Ngurumo Saba Zatoa Sauti — Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni

Ngurumo Saba Zatoa Sauti — Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni Mimi Naeneza kazi Yangu katika nchi za Mataifa. Utukufu Wangu unamulika kotekote ulimwenguni; mapenzi Yangu yamo katika mtawanyiko wa wanadamu, wote wakiongozwa kwa mkono Wangu na kufanya...

Alhamisi, 28 Desemba 2017

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu

Baada ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong kutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza...

Jumatano, 27 Desemba 2017

Jinsi ya Kuujua Uhalisi | Umeme wa Mashariki

Jinsi ya Kuujua Uhalisi Mwenyezi Mungu alisema, Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu...

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika” Mwenyezi Mungu alisema, Mnayaonaje maono ya Ufalme wa Milenia? Baadhi ya watu hutafakari sana kuuhusu na kusema kuwa Ufalme wa Milenia utadumu duniani kwa miaka elfu moja, hivyo basi ikiwa waumini wazee katika kanisa...

Jumanne, 26 Desemba 2017

Kuhusu Majina na Utambulisho | Umeme wa Mashariki

Kuhusu Majina na Utambulisho Mwenyezi Mungu alisema, Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema,...