Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumapili, 18 Machi 2018

Upendo wa Mungu | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Swahili Gospel Music Video

Upendo wa Mungu | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Swahili Gospel Music Video Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa...

Jumamosi, 17 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya Muziki)

Umeme wa Mashariki | Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya Muziki) Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo. Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi...

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II Mwenyezi Mungu alisema, Kwenye mkutano  mwisho tuliweza kuzungumzia mada muhimu sana. Je, wakumbuka mada hiyo ilikuwa kuhusu nini? Hebu Niirudie. Mada ya ushirika wetu wa mwisho ilikuwa: Kazi ya Mungu,...

Ijumaa, 16 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza Mwenyezi Mungu alisema, Kama tu Mungu alivyosema, “Hakuna anayeweza kuelewa mzizi wa maneno Yangu, wala kusudi la maneno haya.” Kama Isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, kama isingekuwa kwa majilio ya maneno Yake, wote wangeangamia chini ya kuadibu Kwake. Ni kwa nini Mungu humjaribu...

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu"

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu Mpaka siku moja, utahisi kuwa Muumba sio fumbo tena, kwamba Muumba hajawahi kufichwa kutoka kwako, kwamba Muumba hajawahi kuificha sura...

Alhamisi, 15 Machi 2018

Maisha Mapya Katika Ufalme - “Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja” (Video Rasmi ya Muziki)

Umeme wa Mashariki | Maisha Mapya Katika Ufalme - “Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja” (Video Rasmi ya Muziki) Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah … Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila...

Jumatano, 14 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1) Mwenyezi Mungu alisema, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda...