Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumatano, 25 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (4) - Je, Kufafanua Biblia ni Sawa na Kutukuza na Kutoa Ushuhuda kwa Mungu?

"Mji Utaangushwa" (4) - Je, Kufafanua Biblia ni Sawa na Kutukuza na Kutoa Ushuhuda kwa Mungu? Watu wengi katika ulimwengu nzima wa dini huamini kwamba wale ambao wanaweza zaidi kueleza Biblia ni watu wanaomjua Mungu, na kwamba kama wao pia wanaweza kufafanua siri za Biblia...

Jumanne, 24 Aprili 2018

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa —Insha Juu ya Upendo wa Mungu

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa —Insha Juu ya Upendo wa Mungu  Nilizaliwa katika familia fukara katika kijiji cha mashambani. Tangu niwe mtoto, niliishi maisha magumu na nilidharauliwa na wengine. Wakati mwingine sikujua hata kama ningepata chakula changu cha kufuatia,...

Jumatatu, 23 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (3) - Ni Nini Kiini cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu?

"Mji Utaangushwa" (3) - Ni Nini Kiini cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu? Kwa miaka elfu mbili, ingawa waumini wote wamejua ukweli kwamba Mafarisayo walimwasi Bwana Yesu, hakuna mtu katika ulimwengu mzima wa dini anayejua hasa mzizi wa chanzo na kiini cha uasi wa Mafarisayo...

Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho

Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho Wakati wowote wanaposikia mtu akizungumza juu ya injili ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ndugu wengi wa kiume na wa kike kanisani wanashindwa kusikiliza na hawathubutu kukubali kile kinachosemwa kwa kuwa wameshtushwa...

Jumamosi, 21 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi Mwenyezi Mungu alisema, Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta...

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki? Imeandikwa katika Biblia kwamba Bwana Yesu aliwalaani Mafarisayo kwa dhiki saba. Siku hizi, njia inayotembelewa na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini ni ile ya Mafarisayo na...

Ijumaa, 20 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (1) - Ulimwengu wa Dini Umepotoka na kuwa Mji wa Babeli

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (1) - Ulimwengu wa Dini Umepotoka na kuwa Mji wa Babeli Viongozi wa ulimwengu wa dini wanapotea toka kwenye njia ya Bwana na kufuata mitindo ya kidunia, pia wao hushirikiana na uasi mkali wa mamlaka ya utawala na shutuma ya Umeme...

Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu

Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu Mwenyezi Mungu alisema, Kunayo mambo mengi ambayo Ninatumai mtaweza kufikia. Hata hivyo, matendo yenu na maisha yenu yote hayawezi kutimiza kwa ujumla mahitaji Yangu, kwa hiyo lazima Nilenge suala moja kwa moja na kuwafafanulia moyo...

Alhamisi, 19 Aprili 2018

Maono ya Kazi ya Mungu (2)

Maono ya Kazi ya Mungu (2) Enzi ya Neema ilihubiri injili ya toba, na alimradi mwanadamu aliamini, basi angeokolewa. Leo, badala ya wokovu kuna majadiliano tu ya ushindi na ukamilifu. Haisemwi katu kwamba mtu mmoja akiamini, familia yake yote itabarikiwa, au kwamba...

Jumatano, 18 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Vigezo vya Mtu Mwema Kwa Dhati

Umeme wa Mashariki | Vigezo vya Mtu Mwema Kwa Dhati Moran   Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong Tangu nilipokuwa mtoto, siku zote nilishikiza umuhimu mkubwa kwa jinsi watu wengine walivyoniona na ukadiriaji wao kwangu. Ili niweze kupata sifa kutoka kwa wengine kwa kila...

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini, inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu. Nani asiyeshangazwa...

Jumanne, 17 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tisa

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tisa Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong’aa, na uwe na hali kama yake na hata...