Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumamosi, 30 Juni 2018

13. Kuelewa Mapenzi ya Mungu Katikati ya Matatizo

13. Kuelewa Mapenzi ya Mungu Katikati ya Matatizo          Xiao Rui    Mji wa Panzhihua, Mkoa wa Sichuan Nilipokuwa nikihubiri injili nilikutana na viongozi wa madhehebu ambao walisema uongo ili kupinga na kuvuruga, na kuwaita...

Ijumaa, 29 Juni 2018

Gospel Video Swahili (2018) | "Nuru ya Mapambazuko"

Gospel Video Swahili (2018) | "Nuru ya Mapambazuko"     Kama mtoto, Yangwang aliwafuata wazazi wake katika imani yao kwa Bwana, na kama mtu mzima alihudumia Bwana kanisani. Mnamo 2013, kanisa lake lilijiunga na Baraza la Makanisa Ulimwenguni ambalo hutetea uunganishwaji wa kanisa kote ulimwenguni na wingi wa dini. Akisadiki kwamba...

Alhamisi, 28 Juni 2018

New Swahili Gospel Choir Full Album Documentary 2018 | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu"

New Swahili Gospel Choir Full Album Documentary 2018 | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu"     Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries,...

Jumanne, 26 Juni 2018

63.Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa

63.Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa                           Momo     Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui Kabla ya kumwamini Mungu, bila kujali chochote nilichokuwa nikifanya, sikuwahi kutaka...

Jumatatu, 25 Juni 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer)

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer) Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki...

Jumapili, 24 Juni 2018

59. Uzoefu wa Kutenda Ukweli

59. Uzoefu wa Kutenda Ukweli                      Hengxin     Jiji la Zhuzhou, Mkoa wa Hunan Sio muda mrefu mno uliopita, nilisikia "Ushirika na Kuhubiri Kuhusu Kuingia kwa Maisha," jambo ambalo lilinielekeza...

Jumamosi, 23 Juni 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"  Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika...

Ijumaa, 22 Juni 2018

57. Kupitia Upendo Maalum wa Mungu

57. Kupitia Upendo Maalum wa Mungu Jiayi     Mji wa Fuyang, Mkoa wa Anhui Asili yangu ni ya kiburi hasa; bila kujali ninafanya nini, mimi daima hutumia werevu na ujuzi wa kubuni ili kuonyesha akili yangu na kwa hiyo mara kwa mara hukiuka mipango ya kazi...

Alhamisi, 21 Juni 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (III) Kwa kipindi hiki chote, tumezungumza juu ya mambo mengi yanayohusiana na kumjua Mungu na hivi karibuni tulizungumza kuhusu kitu fulani muhimu sana juu ya mada hii: Mungu ni Chanzo...

Jumatano, 20 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | 73. Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?

Umeme wa Mashariki | 73. Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?                                            Suxing Mkoa wa Shanxi Mimi ni mtu mwenye kiburi...

Jumanne, 19 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | 7. Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu

Umeme wa Mashariki | 7. Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu                                                        ...

Jumatatu, 18 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin                                                  ...