Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ijumaa, 30 Novemba 2018

60. Chochote Mungu Asemacho Ndiyo Hukumu Hasa ya Mwanadamu

60. Chochote Mungu Asemacho Ndiyo Hukumu Hasa ya Mwanadamu Xunqiu Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan Nilikuwa nikidhani kwamba Mungu alimhukumu na kumuadibu mwanadamu wakati tu Alipoufichua upotovu wa asili wa mwanadamu au alipoeleza maneno mkali ambayo yaliuhukumu...

Alhamisi, 29 Novemba 2018

Latest Swahili Christian Video "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God

Latest Swahili Christian Video "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God  Gangqiang ni Mkristo. Aliona namna upendo wa Bwana na huruma Yake kwa binadamu vilivyo vikubwa, na akaamua mara nyingi kwamba angempenda Bwana, kumridhisha Bwana, kutekeleza neno la Bwana, na kuwa na mwenendo wake binafsi kama mtu anayesifiwa na ...

Jumatano, 28 Novemba 2018

95. Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza

Umeme wa Mashariki | 95. Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza Mo Zhijian Mkoa wa Guangdong Nilizaliwa katika eneo maskini, la mbali lenye milima ambako tumefukiza na kumwabudu Budha kwa vizazi vingi. Kuna hekalu za Budha sehemu hiyo kote ambako familia zote...

Jumanne, 27 Novemba 2018

94. Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu

94. Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu Meng Yong Mkoa wa Shanxi Mimi kwa asili ni mtu mwaminifu, ikiwa ndiyo maana nimekuwa nikidhulumiwa daima na watu wengine. Kwa sababu hiyo, nimeonja dharau ya ulimwengu wa mwanadamu na nilihisi maisha yangu yakiwa matupu...

Jumatatu, 26 Novemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Je, Kuamini katika Biblia Kunaweza Kuwakilisha Kumwamini Mungu?

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Je, Kuamini katika Biblia Kunaweza Kuwakilisha Kumwamini Mungu? Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini hushikilia maneno ya Paulo katika Biblia yanayosema "Maandiko yote yametolewa kwa msukumo wa Mungu," wakiamini kwamba Biblia ni maneno ya Mungu kabisa na kufanya yote wanayoweza...

Jumapili, 25 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu 8. Jinsi ya kuelewa kwamba Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima? Aya za Biblia za Kurejelea: "Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa...

Jumamosi, 24 Novemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu Chama cha Kikomunisti cha China ni serikali ya kishetani ambayo huchukia ukweli na Mungu. Kinajua kwamba Mwenyezi Mungu peke Yake katika ulimwengu ndiye Anayeweza kuonyesha ukweli. Mwenyezi Mungu yuko katika mchakato...

Ijumaa, 23 Novemba 2018

Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My Salvation

Umeme wa Masharik | Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My SalvationUmeme wa Masharik Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda, uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme. Maneno Yako yamenitakasa, yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha. Moyoni mwangu nahisi,...

Alhamisi, 22 Novemba 2018

" Gospel Movie Clip ""Kusubiri"" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000"

"Gospel Movie Clip ""Kusubiri"" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000" Bwana Yesu alifichua siri za ufalme wa mbinguni, na Mwenyezi Mungu alikuja kufunua siri zote za usimamizi wa wanadamu wa miaka 6,000! Je...

Jumatano, 21 Novemba 2018

Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?

 Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu 4.Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe? Aya za Biblia za Kurejelea: "Kwa...

Jumanne, 20 Novemba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi? Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana. Lakini wakati tunaposikia habari ya kwamba...

Jumatatu, 19 Novemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed

Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba...