
Alhamisi, 28 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 8

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 8
Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa Roho, sauti Yake huelekezwa kwa wanadamu wote. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa mwanadamu, sauti Yake huelekezwa kwa wote wafuatao uongozi wa Roho Wake. Mungu anenapo...
Jumatano, 27 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Utendaji (2)
By UnknownFebruari 27, 2019Kusogea-karibu-na-Mungu, kutenda-ukweli, makusudi-ya-Mungu, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Utendaji (2)
Katika nyakati zilizopita, watu walijifundisha wenyewe kuwa na Mungu na kuishi katikati ya roho kila wakati, ambao, ukilinganishwa na utendaji wa leo, ni mafundisho rahisi ya kiroho tu. Utendaji kama huu huja kabla...
Jumanne, 26 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (3)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (3)
Mungu amewaaminia wanadamu vitu vingi sana na Amezungumza bila kikomo juu ya kuingia kwao. Lakini kwa sababu ubora wa tabia ya watu ni duni mno, maneno mengi ya Mungu yameshindwa kuanza kustawi. Kuna sababu...
Jumatatu, 25 Februari 2019
Neno la Mungu | Ni Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji
Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia Mungu, lakini huwezi kuhisi wakati Mungu anakufundisha nidhamu au kukushughulikia, hili halikubaliki....
Jumapili, 24 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Hudumu kama Waisraeli Walivyofanya
By UnknownFebruari 24, 2019kumtumikia-Mungu, kumwabudu-Mungu, mapenzi-ya-Mungu, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Siku hizi watu wengi hawatilii maanani mafunzo yapi yanayopaswa kusomwa wakati wa upatano na wengine. Nimegundua kuwa wengi wenu hawawezi kujifunza mafunzo hata kidogo wakati wa ushirikiano na wengine. Wengi wenu mnashikilia maoni yenu mwenyewe, na wakati mnafanya kazi kanisani, unatoa maoni yako na yeye anatoa yake, moja uhusiano na mingine, bila...
Jumamosi, 23 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Maana ya Kuwa Mwanadamu Halisi

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Maana ya Kuwa Mwanadamu Halisi
Kumsimamia mwanadamu ndio Kazi Yangu, na ushindi Wangu dhidi yake ni kitu ambacho kilikuwa hata zaidi kimeshaamuliwa kabla Nilipoiumba dunia. Watu huenda hawajui kwamba Nitashinda kabisa katika siku za mwisho...
Ijumaa, 22 Februari 2019
Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"
Neno la Mungu | “Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya”
Mwenyezi Mungu anasema, "Kuonekana kwa Mungu hurejelea kuwasili Kwake duniani kufanya kazi Yake. Akiwa na utambulisho na tabia Yake, na katika mbinu Yake ya asili, Yeye hushuka miongoni mwa wanadamu kufanya kazi ya kuanzisha enzi mpya na kukamilisha...
Alhamisi, 21 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kuhusu Uzoefu
Katika uzoefu wote wa Petro, alikumbana na mamia ya majaribio. Ingawa watu wa leo wanafahamu neno “jaribio,” wao huchanganyikiwa kuhusiana na maana yake ya kweli na hali. Mungu hutuliza azimio la watu, husafisha imani yao, na hukamilisha kila sehemu yao—na hii hufanikishwa kimsingi kupitia majaribio, ambayo pia ni kazi ya Roho Mtakatifu iliyofichwa....
Jumatano, 20 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?
Huenda ikawa safari yako ya imani katika Mungu imekuwa ndefu zaidi ya mwaka mmoja au miwili, na labda kwa maisha yako umestahimili ugumu mwingi miaka hii yote; au labda haujapitia ugumu na badala...
Jumanne, 19 Februari 2019
Neno la Mungu | Jinsi Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Huzaa Matunda
Neno la Mungu | Jinsi Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Huzaa Matunda
Hatua ya kazi ya watenda-huduma ni hatua ya kwanza ya kazi ya ushindi; kwa sasa hii ni hatua ya pili ya kazi ya ushindi. Kwa nini ukamilifu unajadiliwa katika kazi ya ushindi? Ni kuujenga msingi kwa ajili ya siku za baadaye—kwa sasa hii ni hatua ya mwisho katika kazi ya kushinda,...
Jumatatu, 18 Februari 2019
Neno la Mungu | Sura ya 26
Neno la Mungu | Sura ya 26
Ni nani ameshinda nyumbani Kwangu? Ni nani amesimama kwa ajili Yangu? Ni nani ameteseka kwa ajili Yangu? Ni nani ameweka ahadi yake mbele Zangu? Ni nani amenifuata hadi leo lakini hajakuwa wa kutojali? Mbona wanadamu wote wana ubaridi na hawana hisia? Mbona binadamu ameniacha? Mbona mwanadamu amechoka na Mimi? Mbona...
Jumapili, 17 Februari 2019
Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian nyimbo za kuabudu
Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian nyimbo za kuabudu
Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.
Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.
Mimi hujisogeza kulingana...