Jumamosi, 30 Juni 2018
13. Kuelewa Mapenzi ya Mungu Katikati ya Matatizo
Xiao Rui Mji wa Panzhihua, Mkoa wa Sichuan
Nilipokuwa nikihubiri injili nilikutana na viongozi wa madhehebu ambao walisema uongo ili kupinga na kuvuruga, na kuwaita polisi. Hili lilisababisha wale niliokuwa nikihubiria kutothubutu kuwasiliana nasi, na wale ambao walikuwa tu wameikubali injili kutoweza kuwa na imani katika kazi ya Mungu. Nilipofanya kazi kwa bidii sana lakini matokeo yalikuwa duni, nilifikiri: kazi ya Kiinjili ni ngumu sana kutekeleza. Lingekuwa jambo la kustaajabisha sana kama Mungu angeonyesha miujiza kiasi na kuwaadhibu wale ambao husema uongo pamoja na wale ambao kwa uzito kabisa humpinga Mungu kuwaonyesha wale ambao wamedanganywa.
Ijumaa, 29 Juni 2018
Gospel Video Swahili (2018) | "Nuru ya Mapambazuko"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 29, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nuru, Sinema-za-Injili, ujio-wa-pili-wa-YesuNo comments
Gospel Video Swahili (2018) | "Nuru ya Mapambazuko"
Kama mtoto, Yangwang aliwafuata wazazi wake katika imani yao kwa Bwana, na kama mtu mzima alihudumia Bwana kanisani. Mnamo 2013, kanisa lake lilijiunga na Baraza la Makanisa Ulimwenguni ambalo hutetea uunganishwaji wa kanisa kote ulimwenguni na wingi wa dini. Akisadiki kwamba kusisitiza kwa wachungaji na baraza la wazee wake katika kujiunga na Baraza kulikuwa kuondoka kwa njia ya Bwana na hakuwiani na moyo wa Bwana, hatimaye aliliacha dhehebu lake na kuanza kulitafuta kanisa lililo na kazi ya Roho Mtakatifu. Lakini, baada ya kuyatembelea makanisa mbalimbali, aligundua kwamba madhehebu yote yalikuwa na ukiwa, na kwamba hakukuwa na nuru katika mahubiri ya wachungaji na mabaraza yao ya wazee.
Alhamisi, 28 Juni 2018
New Swahili Gospel Choir Full Album Documentary 2018 | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 28, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kazi-ya-Mungu, Muumba, NyendoNo comments
New Swahili Gospel Choir Full Album Documentary 2018 | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu"
Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries, and all creatures live and reproduce throughout the four seasons in accordance with the laws of life…. This is all so exquisitely designed—is there a Mighty One ruling and arranging all this? Since coming into this world crying we have begun playing different roles in life. We move from birth to old age to illness to death, we go between joy and sorrow…. Where does mankind really come from, and where will we really go? Who is ruling our fates? From ancient times to modern days, great nations have risen up, dynasties have come and gone, and countries and peoples have flourished and perished in the tides of history…. Just like the laws of nature, the laws of humanity's development contain infinite mysteries. Would you like to know the answers to them? The documentary The One Who Holds Sovereignty Over Everything will guide you to get to the root of this, to unveil all of these mysteries!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumanne, 26 Juni 2018
63.Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 26, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, kutoka-kwa-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
63.Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa
Kabla ya kumwamini Mungu, bila kujali chochote nilichokuwa nikifanya, sikuwahi kutaka kubaki nyuma. Nilikuwa tayari kukubali shida yoyote ili mradi ingemaanisha ningeinuka juu ya kila mtu mwingine zaidi. Baada ya kumkubali Mungu, mtazamo wangu uliendelea kuwa sawa, kwa sababu niliamini kikamilifu msemo, "Hakuna maumivu, hakuna faida," na kuona mtazamo wangu kama ushahidi wa msukumo wangu. Wakati Mungu alinifichulia ukweli, hatimaye niligundua kuwa nilikuwa nikiishi chini ya jozi la Shetani, nikiishi chini ya miliki yake.
Jumatatu, 25 Juni 2018
Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 25, 2018Drama-yenye-muziki, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mkristo, Video-za-KikristoNo comments
Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer)
Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung’utwa na makovu na vilio. Alikuwa amefika mwisho kabisa, na katika wakati wa kukata tamaa wakati alikuwa amepoteza matumaini yote, mwishowe mwito wa kuaminika wa Mwenyezi Mungu ukauamsha moyo na roho ya Xiaozhen …
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumapili, 24 Juni 2018
59. Uzoefu wa Kutenda Ukweli
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 24, 2018kidini, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Uzoefu-Ukwel, VitabuNo comments
59. Uzoefu wa Kutenda Ukweli
Hengxin Jiji la Zhuzhou, Mkoa wa Hunan
Sio muda mrefu mno uliopita, nilisikia "Ushirika na Kuhubiri Kuhusu Kuingia kwa Maisha," jambo ambalo lilinielekeza kuelewa kwamba ni wale tu wanaotenda ukweli wanaoweza kupata ukweli na hatimaye kuwa wale ambao wanaomiliki ukweli na ubinadamu hivyo kupata kibali cha Mungu. Kuanzia hapo kwendelea, kwa makusudi nilifanya jitihada za kuunyima mwili wangu na kutenda ukweli katika maisha yangu ya kila siku. Wakati fulani baadaye, nilitambua kwa furaha kwamba ningeweza kutenda ukweli kiasi. Kwa mfano, siku za nyuma niliogopa kuonyesha upande wangu mwovu kwa wengine. Sasa kwa makusudi nilikuwa wazi na ndugu wa kiume na wa kike, nikichangua tabia yangu potovu. Kabla, wakati nilipopogolewa na kushughulikiwa, ningetoa udhuru na kukwepa wajibu. Sasa nilifanya jitihada makusudi kujikana badala ya kujaribu kuhalalisha tabia yangu mbaya. Katika siku za nyuma, nilipopata msuguano na wenzangu kazini, nilikuwa na mawazo finyu, uchwara na wa kuelekea kununa. Sasa nilipokabiliwa na hali hizo ningeunyima mwili wangu na kutumia stahamaha na subira na wengine. … Kila wakati nilipofikiria maendeleo yangu katika kutenda ukweli, ningejihisi kuwa na furaha mno. Nilidhani kuwa uwezo wangu wa kutenda ukweli kiasi ulimaanisha kwamba nilikuwa mweledi halisi wa ukweli. Kwa njia hii, bila kujua nikawa mwenye maringo na wa kujipongeza.
Siku moja, nilikuwa nikisomasoma “Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo” na nikapata kwa kibahati maneno yafuatayo ya Mungu: "Watu wengine husema: Ninahisi kuwa nina uwezo wa kuweka ukweli fulani katika matendo sasa, sio kwamba siwezi kuweka ukweli wowote katika matendo. Katika mazingira mengine, ninaweza kufanya mambo kulingana na ukweli, ambako kumaanisha nahesabika kama mtu anayeweka ukweli katika matendo, na nahesabika kama mtu mwenye ukweli. Kwa kweli, kinyume na hali za zamani, au kinyume na wakati ulipomwamini Mungu mara ya kwanza, kuna mabadiliko machache. Katika siku za nyuma, hukuelewa chochote, na hukujua ukweli ulikuwa nini au tabia potovu ilikuwa nini. Sasa unajua mambo fulani na unaweza kuwa na matendo fulani mazuri, lakini hii ni sehemu ndogo tu ya mabadiliko hayo; sio mabadiliko ya tabia yako kwa kweli, kwa sababu huwezi kutekeleza ukweli mkomavu na wa kina ambao unahusisha asili yako. Tofauti na siku zako zilizopita, kwa kweli una mabadiliko fulani, lakini mabadiliko haya ni mabadiliko machache tu ya ubinadamu wako, na yakilinganishwa na hali ya juu ya ukweli, wewe bado uko mbali sana na lengo. Hii ni kusema kwamba hujafikia lengo wakati unaweka ukweli katika matendo.” Baada ya kusoma maneno haya, sikuweza kujizuia kushtuka. Yote ambayo nimefanikisha yalikuwa ni tabia chache nzuri? Bado niko mbali na kutenda ukweli kwa uhalisi? Je, nini basi, nilifikiri, inamaanisha kutenda ukweli kwa uhalisi? Nilianza kuchunguza jibu halisi la swali hili. Baadaye, katika ushirika wa mwanadamu, niliona maneno yafuatayo: "Wale ambao kwa shauku hutenda ukweli wanaweza kumudu gharama na wako tayari kuzikubali shida zinazohusika. Kwa dhahiri, mioyo yao imejaa furaha na raha. Wale ambao wako tayari kutenda ukweli hawatawahi kufanya kitu tu kwa namna isiyo ya dhati kamwe kwa sababu hawafanyi tu kwa sababu ya monyesho. Dhamiri na sababu wanazomiliki kama wanadamu wa kawaida huwalazimisha kutenda sehemu yao kama viumbe wa Mungu. Kwao, kutenda ukweli ndicho kiini cha kuwa binadamu; ni sifa ambayo yule aliye na ubinadamu wa kawaida anapaswa kumiliki" ("Ukweli Lazima Utendwe Kwa Moyo" katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo na Viongozi na Wafanyakazi wa Kanisa). Baada ya kusoma hili, hatimaye nilielewa: Wataalamu halisi wa ukweli wanaweza kutenda ukweli kwa sababu wanaelewa kusudi la kufanya hivyo. Wao hujua kwamba kutenda ukweli ndiyo maana ya kuwa binadamu, sifa ambyao wanadamu wanapaswa kuwa nayo. Kwa hiyo, hawafanyi hivyo kwa maonyesho; huwa wanauona kama wajibu wao. Wako tayari kuvumilia shida na kulipa gharama; hawana malengo ya kibinafsi na tamaa. Lakini nilitendaje ukweli? Wakati nikifichua tabia zangu potovu, huenda nilikuwa wazi na kuzifunua kwa ndugu zangu wa kiume na wa kike, lakini katika moyo wangu nilikuwa nikifikiria, "Mnaona jinsi ninavyotenda ukweli? Ninaweza kuweka wazi tabia zangu potovu. Hilo linanifanya kuwa bora kuliko ninyi, naam?" Wakati nilipopogolewa na kushughulikiwa, naweza kuwa sikutoa udhuru kwa sauti, lakini ndani nilikuwa nikisema "Ona? Huwa sitoi udhuru tena. Nimekuwa mzuri sana. Labda ninastahili kama mtu ambaye yuko tayari kuukubali ukweli sasa, naam?" Wakati nilipokuwa na msuguano na wenzangu kazini, huenda kwamba nilijaribu kwa makusudi kujizuia mwenyewe na kuepuka mlipuko wowote, lakini moyoni mwangu nilikuwa nikifikiria, "Mnaona? Mimi si kama nilivyokuwa kabla, kuwa uchwara na mwenye mawazo finyu. Nimebadilika, naam?" … Wakati nilipofikiri jinsi nilivyokuwa nikitenda ukweli, hatimaye niligundua kuwa sikuwa kwa kweli natenda ukweli. Nilikuwa nimejaa nia zangu na tamaa zangu. Nilikuwa nikilifanya kwa sababu ya maonyesho. Nilitaka watu wengine kunipenda na kunisifu. Ningewezaje kusema kwamba nilikuwa nikitenda ukweli kwa sababu nilielewa umuhimu wake? Nilikuwa nikifanyaje hili ili kumridhisha Mungu wangu? Nilikuwa nikifanya hili ili kujiridhisha na kujionyesha kwa wengine. Nilikuwa nikimshutumu na kumlaghai Mungu. Kwa uhalisi, nilikuwa nausaliti ukweli. Kanuni yangu inayodaiwa kuwa "kutenda ukweli" ilikuwa tu kufuata desturi. Lilikuwa ni zoezi la kizuizi, kukoma kwa tabia fulani mbaya. Lilikuwa tu badiliko la nje. Nilikuwa na bado niko mbali sana na kufikia viwango vinavyotakiwa kwa mweledi wa ukweli. Hata hivyo, sio tu kuwa nilifikiri kwa kujipujua kwamba nilikuwa mweledi wa ukweli, hata nilikuja kuwa wa kujipongeza kama matokeo. Tabia yangu ilikuwa kweli iliyovuka mpaka!
Mungu, asante kwa nuru Yako na mwongozo Wako. Asante kwa kunionyeshea kwamba sikuwa mweledi wa kweli wa ukweli na kwamba utekelezaji wangu wa ukweli haukufikia viwango Vyako. Kuanzia siku hii kwendelea, niko tayari kuchunguza nia zangu mwenyewe na kushikilia viwango vinavyohitajiwa kutenda ukweli. Nitajioondolea uchafu na kuwa mweledi wa ukweli.
Know more Kujua zaidi:Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo
Know more Kujua zaidi:Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Jumamosi, 23 Juni 2018
Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 23, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mateso-ya-Kidini, Umeme-wa-Mashariki, Video, wimbo-wa-KikristoNo comments
Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya habari inaelezea uzoefu halisi wa Mkristo Kanisa la Mwenyezi Mungu Mchina, Zhou Haijiang, ambaye alikamatwa na serikali ya CCP, akateswa, na kufa kutokana na kuteswa kwake kwa sababu ya imani yake kwa Mungu na utendaji wake wa kazi. Baada ya kifo cha Zhou Haijiang, familia yake pia ilifuatiwa, kutishwa, na kuogofywa na CCP. Hawakushindwa tu kupata haki kwa marehemu, lakini walikutupwa katika vurugu na mateso ya CCP.
Umeme wa Mashariki, lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Ijumaa, 22 Juni 2018
57. Kupitia Upendo Maalum wa Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 22, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, Upendo-Maalum-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
57. Kupitia Upendo Maalum wa Mungu
Jiayi Mji wa Fuyang, Mkoa wa Anhui
Asili yangu ni ya kiburi hasa; bila kujali ninafanya nini, mimi daima hutumia werevu na ujuzi wa kubuni ili kuonyesha akili yangu na kwa hiyo mara kwa mara hukiuka mipango ya kazi ili nifanye mambo kwa njia yangu mwenyewe. Mimi ni mwenye kiburi hasa kuhusu kuchagua watu kwa cheo fulani. Ninaamini kuwa nina talanta ya kipekee na umaizi ambavyo hunisaidia daima kumchagua mtu sahihi. Kwa sababu ya hili, nilipomchagua mtu, singechunguza kwa dhati ili kuelewa hali zote za mtu niliyetaka kumchagua.
Alhamisi, 21 Juni 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 21, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kumjua-Mungu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, Yule-wa-Kipekee-MunguNo comments
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX
Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (III)
Kwa kipindi hiki chote, tumezungumza juu ya mambo mengi yanayohusiana na kumjua Mungu na hivi karibuni tulizungumza kuhusu kitu fulani muhimu sana juu ya mada hii: Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote. Wakati uliopita tulizungumza juu ya vipengele vichache vya mazingira kwa ajili ya kuendelea kuishi ambayo Mungu aliyatengeneza kwa ajili ya binadamu, vilevile Mungu kuandaa kila aina ya riziki ya lazima kwa ajili ya watu katika maisha yao.
Jumatano, 20 Juni 2018
Umeme wa Mashariki | 73. Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 20, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Njia-ya-Mafarisayo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | 73. Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?
Suxing Mkoa wa Shanxi
Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo na kubadilishwa na mtu mwingine; nimekuwa na vizuizi vingi katika cheo changu na nimekumbwa na matuta mengi njiani. Baada ya miaka mingi ya kushughulikiwa na kusafishwa, nilihisi kwamba sikuwa nachukulia cheo changu kwa uzito.
Jumanne, 19 Juni 2018
Umeme wa Mashariki | 7. Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 19, 2018Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, maafa, tabia-ya-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | 7. Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu
Li Jing, Beijing
7 Agosti, mwaka wa 2012
Siku hiyo, ilianza kunyesha asubuhi. Nilikwenda kwa mkutano nyumbani mwa ndugu mmoja, wakati mvua ilipoendelea kuongezeka zaidi na zaidi kwa uzito. Kufikia alasiri ilikuwa ikinyesha kana kwamba ilitoka mbinguni moja kwa moja. Wakati tulipomaliza mkutano wetu, mvua ilikuwa imeingia katika ua wa ndugu yangu, lakini kwa sababu nilikuwa na wasiwasi juu ya familia yangu, nilijitahidi kwenda nyumbani.
Jumatatu, 18 Juni 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 18, 2018siku-za-mwisho, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, wokovu-wa-MunguNo comments
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin
Chen Yao, Tianjin
Jengo la Laide lilikuwa mojawapo ya vituo vikubwa zaidi vya ununuzi katika wilaya ya Ji. Juni 30, mwaka wa 2012 ilikuwa ni Jumamosi, na Laide lilikuwa na ukuzaji wa bidhaa, hivyo kulikuwa na idadi kubwa ya wateja. Wakati fulani baada ya saa tisa alasiri hiyo, jengo likashika moto ghafla. Mkuu wa jengo,akiogopa kuwa wateja katika machafuko haya wangechukua vitu au kutolipa, alifunga na kuweka vizuizi kwa lango kuu kwenye ghorofa ya kwanza, na kuwafukuza wateja hadi ghorofa ya pili na ya tatu. Kitu ambacho hakikutarajiwa ni kwamba moto ulikuwa mkali zaidi na zaidi, hatimaye ukifika kiwango cha kutodhibitika kabisa. Umeme katika jengo lote ukazima.Kutoka ghorofa ya kwanza hadi ya nne, lifti zilikuwa mbovu, na mlango wa kuingia uliofungwa kwenye ghorofa ya kwanza haungefunguka. Moshi mweusi ulitapakaa jengo zima, cheche ziliruka hadi kwa anga. Ndimi kubwa za moto ziliruka kutoka kila dirisha, moshi ulifunika wilaya, hewa iliwasonga watu koo kwa mita mia kadhaa. Wakati huo watu wengi walionaswa juu ya ghorofa ya tatu waliamua kutoroka kwa kuruka kutoka kwa jengo, na wengine walikufa walikoanguka, shani ya kuogofya hiyo.
Jumapili, 17 Juni 2018
Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 17, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, kuishi-mbele-ya-Mungu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini
Nguzo inapopandishwa kidogo, mnaweza kupiga hatua kidogo. Si jambo baya kuwa na mahitaji ya juu kutoka kwenu na wala si jambo baya kuwauliza maswali magumu. Lengo ni kuwafanya muwe na ufahamu zaidi juu ya elimu na maarifa ya kawaida ya kipengele cha weledi cha wajibu wenu.[a] Huenda labda nyinyi bado hulalamika katika nyoyo zenu, mkisema: "Tumejifunza mambo mengi mazuri lakini Mungu huwa hayataji kamwe au kuturuhusu kuyatumia.
Jumamosi, 16 Juni 2018
Mwenyezi Mungu alisema | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 16, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, kuomba, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu alisema | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi
Mtu huwa na tatizo lipi anapopenda kupeana visingizio? Ni nini kiini chake? Yeye ni mkaidi. Watu wakaidi hawakubali ukweli kwa urahisi; sio watiifu, na wanaposababishwa na tabia potovu ya mwanadamu, lakini mwishowe, utapata ikiwa vigumu kuupata ukweli. Mambo ambayo watu hulazimika kuishi kwa kudhihirisha na kwa kawaida kufichua kwa asili yao, hali na silika zao—yale ambayo huwa wanafanya, yale ambayo huwa wanafikiri, mtazamo ambao wao huwa nao na hali zao zilivyo, mambo ambayo kwa kawaida yamefunuliwa—yote ni kinyume cha ukweli. Yaani, hawataki kuukubali ukweli, hawatilii maanani usahihi au makosa ya ukweli, na mambo ambayo huwa wanafikiri kuyahusu na kufanya hayana uhusiano wowote na ukweli. Wanataka kufanya mambo kila wakati kulingana na dhana na tamaa zao wenyewe, na kulingana na wanayopenda.
Ijumaa, 15 Juni 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 91. Kupitia Aina Tofauti Za Mazingira Kuna Manufaa Kwa ukuaji Wa Maisha Ya Binadamu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 15, 2018Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Kwa-ukuaji-Wa-Maisha-Ya-Binadamu, Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 91. Kupitia Aina Tofauti Za Mazingira Kuna Manufaa Kwa ukuaji Wa Maisha Ya Binadamu
Ni vyema kupitia mazingira ya aina tofauti. Mungu hakupangii mazingira haya bila sababu. Yeye hakuongozi popote pale bila makusudi, bali Yeye huandaa mazingira fulani spesheli kwa kila mmoja—mazingira ya kifamilia, mazingira ya kimaisha, mazingira uliyokulia, na mazingira unatekeleza majukumu yako punde utakapo mwamini. Yeye hutayarisha hali au mazingira fulani spesheli kwako wewe kuzipitia.
Alhamisi, 14 Juni 2018
Mwenyezi Mungu | Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 14, 2018Hatua-Tatu-za-Kazi-ya-Mungu, Kujua-Mungu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu | Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu
Kazi ya kumsimamia mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu, na ina maana kuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu. Hatua hizi tatu hazihusishi kazi ya kuuumba ulimwengu, ila ni hatua tatu za kazi ya Enzi ya Sheria, Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme. Kazi ya kuiumba dunia ilikuwa kazi ya kusababisha uwepo wa wanadamu wote. Haikuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu, na haina uhusiano na kazi ya kumwokoa mwanadamu, kwa kuwa dunia ilipoumbwa mwanadamu hakuwa amepotoshwa na Shetani, na hivyo hakukuwa na haja ya kutekeleza kazi ya kumwokoa mwanadamu.
Jumatano, 13 Juni 2018
Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 13, 2018Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, Wanadamu-Wanaotumiwa-na -MunguNo comments
Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu
Kwa miaka mingi Roho wa Mungu
Amekuwa akitafuta bila kikomo Akifanya kazi duniani. Kwa enzi nyingi
Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa
Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hupitia
wanadamu mbalimbali kufanya kazi Yake na kwa kiasi kikubwa hutumia
wanadamu kufanya hivyo. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya
Mungu haijawahi kusimama. Inaendelezwa mbele kupitia mwanadamu, bila
kikomo mpaka siku ya leo. Ingawa Mungu Amesema na Ametenda mengi,
mwanadamu bado hamjui Mungu, hii ni kwa sababu Mungu hajawahi
kuonekana na mwanadamu na Yeye Hana umbo.
Jumanne, 12 Juni 2018
New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 12, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, Upendo-wa-Mungu, Video-za-Injili, Worship-Gospel-SongsNo comments
New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana
Ee
Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa.
Siwezi
kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi?
New
Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri"
| Kukaa katika Upendo wa Bwana
I
Juu
ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama
mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee
mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa
ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe
ndiye Unayenipa upendo.
Wewe
ndiye Unayenijali.
Wewe
ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
Wewe
ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi,
rudi upande ule mwingine wa anga.
"Usimfanye
mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali
mwambie nimemkosa Yeye sana."
Usisahau
kwenda na upendo wangu.
II
Bata
bukini wa mwituni wawili wawili, wakipaa mbali zaidi.
Je,
watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?
Ee
tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako.
Naweza
kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.
Nitalipa
hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka
kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa
jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa
bure.
Jinsi
ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,
kuwa
huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.
Ee
mpenzi wangu, tafadhali nisubiri.
Nitapaa
mbali na raha ya hii dunia.
Nitalipa
hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka
kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa
jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa
bure.
Kwa
hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
Umemewa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya
kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu,
Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali
kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na
kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu
mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika
halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa
Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu,
utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumatatu, 11 Juni 2018
Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 11, 2018Bwana-wa-Viumbe-Vyote, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote
Hatua moja ya kazi ya enzi mbili za awali ilifanyika Israeli; nyingine ilifanyika Yudea. Kuzungumza kwa jumla, hakuna hatua ya kazi hii iliyoondoka Israeli; zilikuwa ni hatua za kazi zilizofanywa miongoni mwa wateule wa mwanzo. Hivyo, kwa mtazamo wa Waisraeli, Yehova Mungu ni Mungu wa Waisraeli pekee. Kwa sababu ya kazi ya Yesu huko Yudea, na kwa sababu ya kukamilisha Kwake kazi ya kusulubiwa, kwa mtazamo wa Wayahudi, Yesu ni Mkombozi wa watu wa Kiyahudi.
Jumapili, 10 Juni 2018
Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 10, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, WatuNo comments
Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!
Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa katika nuru, hakuna kitu kinachobaki katika giza. Katika ufalme, maisha ya watu wa Mungu pamoja na Mungu ni ya furaha isiyolinganishwa. Maji yanacheza kwa ajili ya maisha ya watu yaliyobarikiwa, milima inafurahia utele Wangu pamoja na watu.
Jumamosi, 9 Juni 2018
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 09, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kutoa-Sheria, Ulimwengu, Umeme-wa-Mashariki, Video-za-InjiliNo comments
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Utukufu wote Uwe kwa Mwenyezi Mungu!
Listen to hymns Sikiliza nyimbo FILAMU-ZA-INJILI
Ijumaa, 8 Juni 2018
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 08, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, Video-za-Nyimbo-na-Kucheza, Worship-Gospel-SongsNo comments
Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu
Chukua
fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu. Soma neno Lake,
jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu
huja, yakabili;
ijue
nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie
ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara. Roho yako ina
furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali
kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.
Soma
neno Lake, elewa ukweli Wake.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu.
Hivyo
ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi
ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha
Yeye.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na
uishi ukweli Wake. Ingawa tunakosa, tunapaswa kutafuta kumpenda
Mungu.
Mradi
tunampenda Yeye, bila shaka tutapokea sifa Yake.
Lazima
tufuatilie ukweli na kumshuhudia Mungu.
Huu
ni wajibu wetu ambao lazima tuufanye.
Roho
yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali
kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.
Soma
neno Lake, elewa ukweli Wake.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu.
Hivyo
ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi
ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha
Yeye.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
Hivyo
ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi
ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha
Yeye.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake, na uishi ukweli
Wake, na uishi ukweli Wake.
Njoo
mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
kutoka
kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na
mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Alhamisi, 7 Juni 2018
Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 07, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Ukweli, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki
Kila wakati Umeme wa Mashariki linapotajwa, ndugu wengi katika Bwana huhisi mafadhaiko: Ni kwa nini jumuiya ya kidini kwa ujumla huzidi kuhuzunika na kupotoka, wakati kila dhehebu linazidi kuwa na hadhari na kushikilia ukale katika kushutumu na kufukuza Umeme wa Mashariki, Umeme wa Mashariki halihuzuniki tu na kudhoofika, lakini linaendelea mbele kama mawimbi yasiyoweza kusimamishwa, likienea kote China Bara? Sasa kuwa hata limepanuka hata nje ya mipaka ya China hadi nchi za kigeni na maeneo, kama linavyokubaliwa na watu zaidi na zaidi duniani kote?
Jumatano, 6 Juni 2018
Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 06, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Mungu, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Wafuasi wengi wa Bwana Yesu Kristo husikia kuhusu Umeme wa Mashariki kutoka kwa wachungaji wao, wazee wa kanisa, au wahubiri, lakini kwa hakika hakuna mtu anayejua Umeme wa Mashariki ulitoka wapi. Linapokuja suala la asili ya Umeme wa Mashariki, kila mtu ana maoni yake mwenyewe: Watu wengine wanaamini kuwa ni dhehebu jipya tu katika Ukristo, wengine huitweza kuwa “uasi” au “dhehebu bovu.” Watu wana mawazo haya ya upuuzi kwa sababu hawajui kazi ya Mungu.
Jumanne, 5 Juni 2018
Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 05, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kutoa-Sheria, Nani-anayeitawala-dunia-hii, Umeme-wa-Mashariki, VideoNo comments
Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria
Amri na sheria ambazo Yehova Mungu aliwapa Waisraeli hazijakuwa na athari kubwa sana kwa sheria ya binadamu tu, lakini pia zimetekeleza jukumu muhimu katika kuanzishwa na utengenezwaji wa ustaarabu wa kimaadili na taasisi za kidemokrasia katika jamii za binadamu. Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itaonyesha ukweli wa kihistoria!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumatatu, 4 Juni 2018
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 04, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nani-anayeitawala-dunia-hii, Umeme-wa-Mashariki, ushuhuda, VideoNo comments