Jumatano, 25 Julai 2018
Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 25, 2018kanisa, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Tong Xin Mkoa wa Fujian
Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa.
Jumanne, 24 Julai 2018
Kupitia kwa Majonzi Makuu, Nimevuna Faida Kubwa
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 24, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kupitia-kwa-Majonzi, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Baada ya kumfuata Mwenyezi Mungu, niliwekwa katika jela kwa sababu mimi niliamini katika Mungu. Wakati huo nilikuwa muumini mpya na Mungu alikuwa amenipa nguvu ili niweze shikilia msimamo katika ushahidi wangu.
Jumatatu, 23 Julai 2018
Wimbo za wokovu | “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” | Wema wa Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 23, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo-za-wokovu, Umeme-wa-Mashariki, wimbo-wa-KikristoNo comments
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
Jumapili, 22 Julai 2018
Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 22, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kikristo, Umeme-wa-MasharikiNo comments
Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda
Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake:
Jumamosi, 21 Julai 2018
Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 21, 2018Kristo, Umeme-wa-Mashariki, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu
Cheng Mingjie Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi
Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi sio aina ya mtu wa kuzungukazunguka. Katika kuingiliana kwangu na watu mimi huwa ni mwaminifu na wazi kiasi.
Ijumaa, 20 Julai 2018
Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 20, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Maombi, Roho-Mtakatifu, Umeme-wa-MasharikiNo comments
Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!
Xiaowei Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha.
Alhamisi, 19 Julai 2018
Tamko la Hamsini
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 19, 2018Matamsh-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Tamko la Hamsini
Makanisa yote na watakatifu wote wanapaswa kutafakari kuhusu siku zilizopita na kutumainia siku za usoni: Ni mangapi kati ya matendo yenu ya zamani ndiyo yanayostahili, na ni mangapi kati yao yalishiriki katika ujenzi wa ufalme? Usiwe mtu mwenye kujifanya kujua kila kitu! Unapaswa kuona wazi dosari zako na unafaa kuelewa hali zako mwenyewe. Najua kwamba hakuna yeyote kati yenu yuko tayari kuweka jitihada yoyote na kugharimika muda wowote kuhusu hili, kwa hivyo hamuwezi kupata ujuzi wowote.
Jumatano, 18 Julai 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 18, 2018Biblia, kuja-kwa-mara-ya-pili, kupata-mwili, Sinema-za-InjiliNo comments
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?
Watu wengi katika kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana wanaweka umuhimu tu katika unabii ulio katika Maandiko kwamba Bwana atashuka kutoka mawinguni kuja tena huku wakipuuza unabii kwamba kuja kwa pili kwa Bwana ni kupitia kupata mwili. Wanatangaza kuwa ya uongo njia yoyote ambayo inashuhudia kuja kwa mara ya pili kwa Bwana kama Mungu kuwa mwili. Je, ufahamu wao na kutenda kwao kunapatana na Maandiko? Kuhusu kurudi kwa Bwana kupitia kupata mwili, je, kumetabiriwaje hasa katika Maandiko?
Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu
Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu
Jumanne, 17 Julai 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 17, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Sinema-za-Injili, Umeme-wa-MasharikiNo comments
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini
Umeme Mashariki—kuonekana na kazi ya Mungu katika siku za mwisho limetikisa makundi na madhehebu yote, na kila aina ya wanadamu wamefichuliwa. Kondoo wengi wazuri katika kanisa wangependelea kuteseka kukamatwa kusikodhibitiwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China ili tu kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki. Watu wengine, hata hivyo, wanaamini maneno ya wachungaji na wazee wa kanisa na wanasisitiza kutochunguza Umeme wa Mashariki, huku wengine, licha ya kujua kikamilifu kwamba Umeme wa Mashariki linashuhudia ukweli, hawathubutu kutafuta wala kulichunguza kwa hofu ya kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China. Kwa nini kondoo wazuri kanisani wanaweza kuchunguza Umeme wa Mashariki? Je, wale watu ambao hawawezi kutafuta na kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni hata hivyo? Video hii fupi inakuletea msukumo.
Jumapili, 15 Julai 2018
Tamko la Kwanza
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 15, 2018Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, TamkoNo comments
Tamko la Kwanza
Sifa zimekuja Uyahudi na makazi ya Mungu yameonekana. Jina tukufu takatifu linasifiwa na watu wote, na linaenea. Ah, Mwenyezi Mungu! Mkuu wa ulimwengu, Kristo wa siku za mwisho—Yeye ni Jua linalong’aa, na Ameinuka juu ya Mlima Sayuni ulio na uadhimu na mzuri kabisa katika ulimwengu mzima ...
Jumamosi, 14 Julai 2018
Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa | Mwenyezi Mungu
Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa | Mwenyezi Mungu
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa
matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika
hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
Ijumaa, 13 Julai 2018
Tamko la Thelathini na Saba
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 13, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Tamko la Thelathini na Saba
Kotekote katika enzi, kazi yote Niliyoifanya—kila hatua ya kazi hiyo—imekuwa na mbinu Zangu zinazofaa za kazi. Ni kwa sababu ya hili ndio watu Wangu wapendwa wamekuwa watakatifu zaidi na zaidi, na wa kufaa zaidi na zaidi kwa matumizi Yangu.