
Jumatatu, 13 Agosti 2018
Unapaswa Kudumisha Ibada Yako Kwa Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 13, 2018Ibada-Kwa-Mungu, Kristo, Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Unapaswa Kudumisha Ibada Yako Kwa Mungu
Roho Mtakatifu Anafanya kazi vipi katika kanisa sasa? Je, una ufahamu wa hilo? Ni matatizo gani makubwa zaidi yanayowakumba ndugu na dada? Wamepungukiwa na nini zaidi? Kwa sasa, kuna watu ambao wako hasi katikati ya majaribio,...
Jumapili, 12 Agosti 2018
Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 12, 2018Bwana-Yesu, kanisa, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu-alisemaNo comments


Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
Mpango Wangu mzima wa usimamizi, mpango ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha hatua tatu, au enzi tatu: Enzi ya Sheria mwanzoni; Enzi ya Neema (ambayo pia ni Enzi ya Ukombozi); na katika siku za mwisho,...
Jumamosi, 11 Agosti 2018
Latest Christian Video Swahili | "Kufungulia Moyo Minyororo"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 11, 2018Christian-Video-Swahili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, UkomboziNo comments

Latest Christian Video Swahili | "Kufungulia Moyo Minyororo"
Chen Zhi alizaliwa katika familia iliyokuwa masikini. Shuleni, "Maarifa yanaweza kubadilisha majaliwa yako" na "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake" kama alivyofundishwa na shule ikawa wito wake....
Ijumaa, 10 Agosti 2018
Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China| "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 10, 2018Filamu-za-Kikristo, imani, Mateso-ya-Kidini, Nyendo, ukatili, Umeme-wa-MasharikiNo comments

Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China| "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya...
Jumatano, 8 Agosti 2018
Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 08, 2018Christian-Praise-Song, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Msifuni-Mwenyezi-Mungu, The-Kingdom-of-GodNo comments

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended
I
Aa ... hii hapa anga,
oh ... anga iliyo tofauti sana!
Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi.
Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu,
Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za...
Jumanne, 7 Agosti 2018
Njia Yote Pamoja na Wewe
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 07, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Njia-Yote-Pamoja-na-Mungu, Nyimbo-ya-Msifuni-Mwenyezi-Mungu, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-MaishaNo comments


Njia Yote Pamoja na Wewe
Wimbo
Njia Yote Pamoja na Wewe
I
Nilikuwa kama mashua,
ikielea baharini.
Ulinichagua,
na mahali pazuri Uliniongoza.
Sasa katika familia Yako,
nikipewa joto na upendo Wako,
nina amani kabisa.
Unanibariki,
Unatoa maneno Yako...
Jumatatu, 6 Agosti 2018
Video za Kikristo 2018 “Kuamka Kutoka kwa Ndoto” | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 06, 2018Biblia, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Ufalme-wa-Mbinguni, Video-za-KikristoNo comments

Video za Kikristo 2018 “Kuamka Kutoka kwa Ndoto” | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
Kama wafuasi wengi wa Bwana Yesu, Yu Fan aliangazia kuhusu kusoma Biblia, akaacha kila kitu ili kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, na akatafuta kumtumikia Bwana kwa ari....
Jumapili, 5 Agosti 2018
Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 05, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, msalaba, Umeme-wa-MasharikiNo comments

Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"
Go Shoucheng ni mchungaji katika kanisa la nyumbani huko China. Amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa akishughulikia kwa mahubiri yake kwa uthabiti, na amekuwa kila mahali akihuburu injili. Amekamatwa na kutiwa jelani kwa sababu ya kuhubiri injili, na kukaa miaka kumi na miwili...
Jumamosi, 4 Agosti 2018
Tamko la Arubaini na Saba
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 04, 2018hukumu, Kristo, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments

Tamko la Arubaini na Saba
kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwak...
Ijumaa, 3 Agosti 2018
Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 03, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, msalaba, Roho-Mtakatifu, Sinema-za-Injili, UkweliNo comments

Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!
Tao Wei alikuwa mhubiri kutoka kanisa la nyumba. Kanisa lake lilipokuwa na ukiwa zaidi na zaidi siku baada ya siku, wafuasi wake wote wakawa walegevu na wenye roho dhaifu, na roho yake mwenyewe ilikuwa na giza. Yeye hakuweza tena kuhisi uwepo wa Bwana,...
Alhamisi, 2 Agosti 2018
Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 02, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Sinema-za-Injili, Upendo-wa-MunguNo comments

Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha
Liu Zhen, mwenye umri wa miaka 78, ni mke wa nyumbani wa kawaida wa mashambani. Baada ya kumwamini Mungu, alihisi furaha isiyo na kisawe na kusoma maneno Yake na kuimba nyimbo za kumsifu siku zote, na mara nyingi kukusanyika pamoja na ndugu zake kushirikiana...
Jumatano, 1 Agosti 2018
Tamko la Arubaini na Sita
By Kuhusu Umeme wa MasharikiAgosti 01, 2018kanisa, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Ukweli, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Tamko la Arubaini na Sita
Sijui jinsi watu wanavyoendelea katika kuyafanya maneno Yangu kuwa msingi wa kuweko kwao. Nimehisi wasiwasi kila mara kwa ajili ya majaliwa ya mwanadamu, lakini watu hawaonekani kuwa na fahamu yoyote kuhusu hili—na kutokana na...