Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ijumaa, 24 Agosti 2018

Maneno ya Mungu Yameniamsha

Maneno ya Mungu Yameniamsha Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali hatua hii ya kazi lakini...

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro

Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa anashika njia ya kukamilishwa...

Jumatano, 22 Agosti 2018

Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven

Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven Ufalme, mji wa watakatifu, ufalme wa Kristo. Katika ufalme, utajiri na utukufu wa Mungu hudhihirishwa. Umeme unatoka Mashariki na kuangaza hadi Magharibi. Mwanga wa kweli uko hapa, neno la Mungu limeonekana katika mwili. Mwokozi amesharudi, akishuka juu ya wingu...

Jumanne, 21 Agosti 2018

Ninaona njia ya kumjua Mungu

Ninaona njia ya kumjua Mungu Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu...

Jumatatu, 20 Agosti 2018

"Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (5) - Ni Nani Anayempa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele?

"Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (5) - Ni Nani Anayempa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele? Bwana Yesu alisema, "Lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa hatahisi kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika katika uzima wa milele" (Yohana 4:14). Bwana Yesu ndiye chanzo cha maji...

Jumapili, 19 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (6) - Tofauti Kati ya Njia ya Toba na Njia ya Uzima wa Milele

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (6) - Tofauti Kati ya Njia ya Toba na Njia ya Uzima wa Milele Bwana Yesu na Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja. Bwana Yesu hufanya kazi ya ukombozi, Yeye anahubiri njia ya toba. Mwenyezi Mungu wa siku za mwisho anafanya kazi ya hukumu ya kuwatakasa wanadamu, Yeye huleta njia ya...

Jumamosi, 18 Agosti 2018

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita Miongoni mwa maneno haya yote, hakuna yasiyoweza kusahaulika zaidi kama yale ya leo. Awali maneno ya Mungu yalifichua hali za mwanadamu au siri za mbinguni, lakini tamko hili halifanani na yale ya wakati uliopita. Halidhihaki wala...

Swahili Gospel Video "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (7) - Je, Kufanya Kazi Ngumu Kunamaanisha Tunafuata Mapenzi ya Baba wa Mbinguni?

Swahili Gospel Video "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (7) - Je, Kufanya Kazi Ngumu Kunamaanisha Tunafuata Mapenzi ya Baba wa Mbinguni? Waumini wengine wa Bwana hufikiria kwamba yote tunayohitaji kufanya ni kuteseka na kulipa gharama ya kueneza injili ya Bwana, kubeba msalaba ili kumfuata Bwana, na kutenda unyenyekevu, subira na uvumilivu,...

Ijumaa, 17 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie clip (9) - Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya

Swahili Gospel Movie clip (9) - Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anaonyesha ukweli nchini China na anafanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu. Alishinda na kuokoa kundi la watu, na wao ndio ambao wamepata njia ya uzima wa milele. Je, unataka kujua jinsi ambavyo wamepitia hukumu na kuadibiwa kwa...

Alhamisi, 16 Agosti 2018

Swahili Christian Worship Song "Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja"

Swahili Christian Worship Song "Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja" ngawa tumetengwa na maziwa na milima isiyohesabika, sisi tuko pamoja, bila mipaka kati yetu, tukiwa na rangi tofauti za ngozi na kuzungumza ndimi tofauti. Kwa sababu maneno ya Mwenyezi Mungu yanatuita, tunainulia juu mbele ya kiti cha enzi cha Mung...

Jumatano, 15 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God? I Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki, hutazamii kupata...

Jumanne, 14 Agosti 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho" Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi...