Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumatano, 12 Septemba 2018

Expert Urges European Countries to Show Solicitude for the Persecution of The Church of Almighty God

Expert Urges European Countries to Show Solicitude for the Persecution of The Church of Almighty God On December 14, 2017, a news conference was held in the Chamber of Deputies, the Parliament of Italy in Rome, over the issue of Religious Freedom Violations in China—a Case Study of Persecution Against Christian Minorities. An internationally...

Jumanne, 11 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili"

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili" I Mungu alikuja duniani hasa kutimiza ukweli wa "Neno kuwa mwili." (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa, Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni). Kisha, yote yatatimizwa katika enzi ya Ufalme wa Milenia kuwa ukweli ambao watu wanaweza...

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda...

Jumapili, 9 Septemba 2018

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini? Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa...

Jumamosi, 8 Septemba 2018

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa....

Ijumaa, 7 Septemba 2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)

Xiaoxue, Malesia     Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika...

Alhamisi, 6 Septemba 2018

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us I Ee Bwana, Nimefurahia nyingi ya neema Yako. Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani? Je, sijapata ukweli na uzima? II Kusoma maneno haya kunaweza kuyajibu maswali yako. "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu...

Jumatano, 5 Septemba 2018

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST REFUGEES CONTINUE IN KOREA, HACKERS TRY TO STOP BITTER WINTER

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST REFUGEES CONTINUE IN KOREA, HACKERS TRY TO STOP BITTER WINTER While Chinese agents, hired thugs and anti-cultists stage false “spontaneous demonstrations” and abuse refugees, hackers launch a massive attack against the Web site of Bitter...

Jumanne, 4 Septemba 2018

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa Yixin Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia...

Jumatatu, 3 Septemba 2018

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life I Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa. Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu. Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa hur...

Jumapili, 2 Septemba 2018

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST THE CHURCH OF ALMIGHTY GOD REFUGEES START IN SOUTH KOREA

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST THE CHURCH OF ALMIGHTY GOD REFUGEES START IN SOUTH KOREA Executing a secret plan that Bitter Winter revealed one month ago, the CCP brings to Korea relatives of asylum seekers of The Church of Almighty God and organizes false “spontaneous demonstrations” with the help of pro-Chinese anti-cult activists...

Jumamosi, 1 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven?

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven? Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na...