
Jumatatu, 12 Novemba 2018
Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"

Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"
Liu Jie, Hunan
Maoni Tofauti, Migongano Ya Siku Zote
Mimi ni mke wa kawaida, mke mzuri na mama mwenye upendo, mimi huwatunza vizuri mume wangu na watoto wangu, mimi hufanya kazi kwa bidii na mwekevu katika...
Jumapili, 11 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 11, 2018haki-ya-kuish, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuwakandamiza-Wakristo, uhuru-wa-dini, uhuru-wa-imani, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vidoNo comments

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?
Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu...
Jumamosi, 10 Novemba 2018
Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 10, 2018Dondoo-ya-Filamu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mungu-anamsimamia-mwanadamu, Muziki-wa-Injili, umuhimu-wa-Mungu-Kumsimamia, VideoNo comments

Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man
Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na...
Ijumaa, 9 Novemba 2018
Wimbo za Injili | "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 09, 2018imani-ya-Inatokana-Kumjua-Mungu, siku-za-mwisho, vido, Wimbo-za-Injili, YesuNo comments

Wimbo za Injili Umeme wa Mashariki| "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?
Kazi ya Mungu sasa ni kunena,
hakuna ishara tena, wala maajabu.
Sio Enzi ya Neema. Mungu ni wa kawaida na halisi.
Katika siku za mwisho Yeye sio Yesu asiye wa kawaida,
lakini ni Mungu wa vitendo katika mwili, hakuna...
Alhamisi, 8 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 08, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kutoroka-Kizimba, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vido, WakristoNo comments

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God
Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu...
Jumatano, 7 Novemba 2018
Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 07, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, mipaka-ya-Meya-wa-Kijiji, Video, Video-za-Ushuhuda-wa-MatesoNo comments

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?
Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP.
Mkristo Liu Ming'en anahukumiwa na CCP miaka saba gerezani kwa kuamini katika Mungu....
Jumanne, 6 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 06, 2018Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Macho-Kila-Mahali, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vidoNo comments

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians
Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili...
Jumatatu, 5 Novemba 2018
Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 05, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mazungumzo, Video, Video-za-Ushuhuda-wa-MatesoNo comments

Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan
Jiang Xinyi na Wakristo wengine walikamatwa na serikali ya CCP; wao huwatesa Wakristo kwa ukatili ili kutwaa fedha za kanisa na kuwakamata viongozi zaidi wa kanisa. Kisha, ili kuwalazimisha kuikataa imani yao, wao huzindua kampenii moja baada ya nyingine ya kuwatia...
Jumapili, 4 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 04, 2018bwana-Anakuja-Kwa-Namna-Gani, Bwana-Yesu, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, vidoNo comments

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth
Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi? Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema,...
Jumamosi, 3 Novemba 2018
Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 03, 2018Baba-angu-Mchungaji, Filamu-za-Injili, Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, vidoNo comments

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini...
Ijumaa, 2 Novemba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 02, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, vidoNo comments


Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"
Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao. Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa...
Alhamisi, 1 Novemba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria" l Umeme wa Mashariki
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 01, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, kumwabudu-Mungu, Mungu-Akitoa-Sheria, sheria-na-amri, VideoNo comments

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria"
Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo,...