
Jumatano, 12 Desemba 2018
51. Nilipitia Wokovu wa Mungu
By UnknownDesemba 12, 2018maneno-ya-Mungu, Mungu, Ukweli, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia -Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments


51. Nilipitia Wokovu wa Mungu
Cheng Hao Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan
Kwa neema ya Mungu, mimi na mke wangu tulipandishwa vyeo hadi kwa timu ya injili ya pili ili kutimiza wajibu wetu. Muda mfupi uliopita, mke wangu alipandishwa cheo kuwa mkurugenzi wa timu,...
Jumanne, 11 Desemba 2018
2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu
By UnknownDesemba 11, 2018Kurudi-kwa-Yesu-mara-ya-pili, Tenzi, Upendo-wa-Mungu, Video, YesuNo comments

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu
Kwamba Mungu amekuwa mwili
hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale
wanaongoja kuonekana kwa Mungu...
Jumatatu, 10 Desemba 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?
By UnknownDesemba 10, 2018Biblia, Filamu-za-Kikristo, hukumu, Mungu, Ufalme-wa-Mbinguni, VideoNo comments

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?
Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na...
Jumapili, 9 Desemba 2018
Christian Video Swahili "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu
By UnknownDesemba 09, 2018Christian-Video-Swahili, Mungu, Neema, siku-za-mwisho, Ukweli, VideoNo comments

Umeme wa Mashariki | "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu
Kwa sababu yeye alitoka katika familia iliyo masikini, tangu akiwa na umri mdogo Du Juan alikusudia kutengeneza pesa nyingi sana apate kuishi maisha mazuri. Ili kufikia lengo hili, aliacha shule mapema zaidi kwenda kufanya kazi ya mikono, chochote angeweza...
Jumamosi, 8 Desemba 2018
9. Ni jinsi gani Mungu anayepata mwili ili kufanya kazi ya hukumu huimaliza imani ya wanadamu katika Mungu asiye yakini na enzi ya giza ya utawala wa Shetani?
By UnknownDesemba 08, 2018Biblia, hukumu, Injili, Kazi-ya-Mungu, Mashahidi-wa-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho, Ukweli, VitabuNo comments

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu
9. Ni jinsi gani Mungu anayepata mwili ili kufanya kazi ya hukumu huimaliza imani ya wanadamu katika Mungu asiye yakini na enzi ya giza ya utawala wa Shetani?
Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na itatimia katika siku za mwisho, kwamba mlima wa nyumba ya Yehova utawekwa...
Ijumaa, 7 Desemba 2018
3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa wanadamu?
By UnknownDesemba 07, 2018hukumu, Kristo, Mashahidi-wa-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, ushindi, VitabuNo comments

III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho
3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa wanadamu?
Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na iwapo mtu yeyote atayasikia maneno yangu, na asiyaamini, Mimi sitamhukumu: kwa kuwa mimi sikuja ili niihukumu...
Alhamisi, 6 Desemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP
By UnknownDesemba 06, 2018imani, Mateso-ya-Kidini, Mungu, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, WakristoNo comments

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP
Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi.&...
Jumatano, 5 Desemba 2018
3. Jina la Mungu linaweza kubadilika, lakini asili Yake haitabadilika kamwe.
By UnknownDesemba 05, 2018Bwana-Yesu, dutu-ya-Mungu, Jina-la-Mungu, Kazi-ya-Mungu, Mashahidi-wa-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho, VitabuNo comments


IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake
3. Jina la Mungu linaweza kubadilika, lakini asili Yake haitabadilika kamwe.
Maneno Husika ya Mungu:
Kuna wale ambao wanasema kuwa Mungu habadiliki. Hiyo ni sahihi,...
Jumanne, 4 Desemba 2018
62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa
By UnknownDesemba 04, 2018Injili, kanisa, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, WokovuNo comments


62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa
Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi
Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na...
Jumatatu, 3 Desemba 2018
Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God
By UnknownDesemba 03, 2018maneno-ya-Mungu, sauti-ya-Mungu, Ukweli, Video, wimbo-wa-KikristoNo comments

Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God (Official Video)
Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake...
Jumapili, 2 Desemba 2018
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu"
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu"
Mwenyezi Mungu anasema, "Kama huelewi tabia ya Mungu, basi itakuwa haiwezekani kwako wewe kufanya kazi unayofaa kumfanyia. Kama hujui dutu ya Mungu, ndivyo pia haitawezekana kubakiza hali ya kumcha na kumwogopa Yeye, utakuwa ni uzembe na kuepuka kusema ukweli wote...
Jumamosi, 1 Desemba 2018
Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa
By UnknownDesemba 01, 2018Christian-Video, hukumu, Hukumu-ya-Mungu, Mungu, Ukweli, WokovuNo comments

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa
Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache"...