
Jumatatu, 15 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tabia Yako Ni Duni Sana!
By Chris ZhouAprili 15, 2019Hukumu-ya-Siku-za-Mwisho, Kiumbe-Aliyeumbwa, Kumcha-Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tabia Yako Ni Duni Sana!
Ninyi nyote mmeketi katika viti vya kifahari, mkiwafundisha wale wa vizazi vijana ambao ni wa aina yenu, ukiwafanya waketi nawe. Je, mngekosaje kujua kwamba wale “watoto” wenu walikuwa tayari hawana pumzi,...
Jumapili, 14 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu
By Chris ZhouAprili 14, 2019Bwana-asifiwe, Neno-la-Mungu, Nyimbo-za-Kuabudu, Upendo-wa-Mungu, Video, Video-za-Nyimbo-na-KuchezaNo comments

Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu
Tumesikia sauti ya Mungu na kurudi nyumbani Kwake.
Mikutanoni tunakula na kunywa maneno ya Mungu, tunahudhuria karamu.
Sisi tunaaga huzuni na vifungo vyetu, tunaishi maisha mapya.
Tunapofungua mioyo yetu katika ushirika wa kweli, mioyo yetu...
Ijumaa, 12 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu
By Chris ZhouAprili 12, 2019hekima-ya-Mungu, kukamilishwa-na-Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, wafuasi-wa-KristoNo comments

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu
Katika miaka hii miwili hadi mitatu ya kazi, kile kilichopaswa kutimizwa katika kazi ya hukumu iliyofanyika juu yenu kimetimizwa kimsingi. Watu wengi wamesahau matarajio na kudura yao ya baadaye. Hata hivyo, inapotajwa kuwa ninyi ni uzao wa Moabu, wengi wenu huchukizwa sana—nyuso...
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Pili
By Chris ZhouAprili 12, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, tabia-ya-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Pili
Ingawaje Hasira ya Mungu ni Fiche na Haijulikani kwa Binadamu, Haivumilii Kosa Lolote
Namna Mungu alivyoshughulikia binadamu wote wa ujinga na kutojua ulitokana kimsingi na huruma na uvumilivu. Hasira yake, kwa upande mwingine, imefichwa...
Alhamisi, 11 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII” Sehemu ya Kwanza
By Chris ZhouAprili 11, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, tabia-ya-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII” Sehemu ya Kwanza
Mhutasari wa Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu
Mnapomaliza maombi yenu, je, mioyo yenu inahisi utulivu katika uwepo wa Mungu? (Ndiyo.) Ikiwa moyo wa mtu unaweza kutulizwa, ataweza kusikia na kuelewa neno la Mungu na ataweza kusikia...
Jumatano, 10 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu II” Sehemu ya Nne
By Chris ZhouAprili 10, 2019dutu-ya-Mungu, Kazi-ya-Mungu, Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)” Sehemu ya Nne
Mwenyezi Mungu anasema, “Kuelewa kiini cha Mungu na kujua kiini cha Mungu kinapeana msaada usioweza kupimika kwa kuingia kwa watu katika maisha. Natumai kwamba hamtapuuza haya ama kuyaona kama mchezo; kwa sababu kumjua Mungu ni msingi muhimu na msingi...
Jumanne, 9 Aprili 2019
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"
By Chris ZhouAprili 09, 2019Hukumu-ya-Mungu, Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"
Mwenyezi Mungu anasema, “Hakuna mtu mbali na Yeye anayeweza kujua mawazo yetu yote, au kufahamu asili yetu na kiini chetu kwa dhahiri na ukamilifu, ama kuhukumu uasi na upotovu wa binadamu, ama kusema nasi na kufanya kazi kati yetu kama hivi...
Jumatatu, 8 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (10)
By Chris ZhouAprili 08, 2019imani-katika-Mungu, Kazi-ya-Mungu, kutenda-ukweli, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (10)
Kwa wanadamu kuendelea mbele kiasi hiki ni hali isiyo na kigezo. Kazi ya Mungu na kuingia kwa mwanadamu vinaendelea bega kwa bega, na hivyo kazi ya Mungu, pia, ni tukio kubwa lisilo na kifani. Kuingia kwa mwanadamu...
Jumapili, 7 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)”
By Chris ZhouAprili 07, 2019imani-katika-Mungu, kumfuata-Mungu, maneno-ya-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)”
Mwenyezi Mungu alisema, "Kwa kweli, Mungu hana mahitaji sana kwa wanadamu—au angalau, hana mahitaji kama watu wanavyodhani. Bila matamshi ya Mungu, au udhihirishaji wowote wa tabia Yake, matendo, au maneno, basi kumjua Mungu kungekuwa kugumu...
Jumamosi, 6 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza
By Chris ZhouAprili 06, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, uaminifu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza
Kwanza, hebu tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu.
Kiambata: Watu wanamshangilia Mungu, watu wanamsifu Mungu; vinywa vyote vinamwita Mungu mmoja wa kweli. Mfalme unashuka ulimwenguni.
I. Watu wanamshangilia...
Ijumaa, 5 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu III” Sehemu ya Pili
By Chris ZhouAprili 05, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu (III)” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Zaidi ya mwanadamu kutafuta kwa tamaa umaarufu na faida, daima anaendelea kutekeleza uchunguzi wa sayansi na utafiti wa kina, kisha bila kikomo huridhisha mahitaji yake ya mwili na tamaa; yapi tena ni matokeo ya mwanadamu?...
Alhamisi, 4 Aprili 2019
Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
By Chris ZhouAprili 04, 2019Bwana-asifiwe, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Neno-la-Mungu, Nyimbo-za-injili, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...),
mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...),
ukiangaza njia yote kwenda magharibi.
Mwana wa Adamu ameshuka duniani.
Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu.
Akionyesha ukweli, Ameanzisha...