Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumamosi, 1 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven?

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven? Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na...

Ijumaa, 31 Agosti 2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I) Xiaoxue, Malesia Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na...

Alhamisi, 30 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (2) - Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini?

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (2) - Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini? Dunia nzima ya dini kwa sasa inapitia njaa kubwa, hawapo tena pamoja na kazi ya Roho Mtakatifu au uwepo wa Bwana, wanafanya mambo maovu zaidi na zaidi na imani na huruma ya waumini inadhoofika na kuwa baridi. Aidha,...

Jumanne, 28 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (1) - Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Kazi ya Mungu

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (1) - Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Kazi ya Mungu Tunapokabiliana na ukiwa wa makanisa na giza iliyo katika roho, tunapaswa kuanza kutafuta nyayo za Bwana vipi? Tangu nyakati za kale njia ya kweli hupatwa mara kwa mara na mateso, na kuonekana na kazi ya Mungu wa kweli siku zote...

Jumatatu, 27 Agosti 2018

Asili ya Binadamu Haiwezi Kupimwa kwa Sura

Asili ya Binadamu Haiwezi Kupimwa kwa Sura Yang Rui Mji wa Yuci , Mkoa wa Shanxi Siku moja, nilisikia kwa ghafla kuwa baba yangu alifukuzwa kutoka kwa kanisa. Nilishangaa kabisa wakati huo na sikuweza kuelewa. Katika moyo wangu, baba yangu alikuwa ndiye mtu mkuu mno...

Jumapili, 26 Agosti 2018

Filamu za Kikristo "Chama Hakijamaliza Kuzungumza" | Concrete Proof of the CCP Persecuting Christians

Filamu za Kikristo "Chama Hakijamaliza Kuzungumza" | Concrete Proof of the CCP Persecuting Christians Li Ming’ai ni Mkristo nchini China Bara. Yeye ni mwanamke mwadilifu ambaye anawaheshimu wakweze, humsaidia mumewe na kumuelimisha mtoto wake, na ana familia ya furaha na patanifu. Katika China, ambako ukanaji Mungu unatawala, hata hivyo, serikali...

Jumamosi, 25 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (3) - Ili Kuchunguza Kurudi kwa Bwana Tunapaswa Kusikiliza Sauti ya Mungu

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (3) - Ili Kuchunguza Kurudi kwa Bwana Tunapaswa Kusikiliza Sauti ya Mungu Kimsingi unabii wote uliotajwa katika Biblia kuhusiana na kurudi kwa Bwana tayari umetokea. Watu wengi wamehisi kwamba Bwana tayari amerudi, hivyo, tunapaswa kuchunguza vipi ili kuhakikisha kuhusu suala...

Ijumaa, 24 Agosti 2018

Maneno ya Mungu Yameniamsha

Maneno ya Mungu Yameniamsha Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali hatua hii ya kazi lakini...

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro

Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa anashika njia ya kukamilishwa...

Jumatano, 22 Agosti 2018

Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven

Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven Ufalme, mji wa watakatifu, ufalme wa Kristo. Katika ufalme, utajiri na utukufu wa Mungu hudhihirishwa. Umeme unatoka Mashariki na kuangaza hadi Magharibi. Mwanga wa kweli uko hapa, neno la Mungu limeonekana katika mwili. Mwokozi amesharudi, akishuka juu ya wingu...

Jumanne, 21 Agosti 2018

Ninaona njia ya kumjua Mungu

Ninaona njia ya kumjua Mungu Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu...

Jumatatu, 20 Agosti 2018

"Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (5) - Ni Nani Anayempa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele?

"Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (5) - Ni Nani Anayempa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele? Bwana Yesu alisema, "Lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa hatahisi kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika katika uzima wa milele" (Yohana 4:14). Bwana Yesu ndiye chanzo cha maji...