Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Alhamisi, 15 Februari 2018

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)

Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri.
Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia?
Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza.
Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu.
Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana.
Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana.
Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.

Bata bukini pori katika jozi, wapuruka mbali sana.
Je, watarudi na neno kutoka kwa mpendwa wangu?
O tafadhali, tafadhali niazime mbawa yako. Naweza kupuruka kurudi kwa mji wangu vuguvugu.
Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo.
Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.
Jinsi ninavyopenda ninaweza kuwa mzima karibuni,
kuwa huru kutoka maisha machungu, ya kutangatanga.
O mpendwa wangu, tafadhali nisubiri. Nitaruka mbali na anasa za dunia hii.
Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo.
Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.
Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombi
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu

Mwenyezi Mungu alisema, Katika kipindi kile ambacho Petro alikuwa na Yesu, aliona sifa nyingi za kupendeza ndani ya Yesu, hali nyingi zenye za kustahili kuigwa, na nyingi ambazo zilimkimu. Ingawa Petro aliona nafsi ya Mungu ndani ya Yesu katika njia nyingi, na kuona sifa nyingi za kupendeza, mara ya kwanza hakumjua Yesu. Petro alianza kumfuata Yesu alipokuwa na umri wa miaka 20, na akaendelea kufanya hivyo kwa miaka sita. Katika kipindi hiki cha muda, hakuwahi kupata kumjua Yesu, lakini alikuwa radhi kumfuata kutokana na kuvutiwa na Yeye tu.

Jumatano, 14 Februari 2018

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu"

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu"

Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu

Ha … nyimbo ni nyingi na ngoma ni za madaha;
ulimwengu na miisho ya dunia zinakuwa bahari inayosisimka.
Ha … mbingu ni mpya na dunia ni mpya.
Eneo kubwa la ulimwengu limejaa kusifu; tunapiga ukelele na kuruka kwa shangwe.
Milima yajiunga na milima na maji mengi kujiunga na maji mengi, ndugu wote wa kiume na kike ni wandani.
Twamsifu Mungu bila kukoma. Viumbe wampenda Mungu,
wakija, mbele ya kiti chake cha enzi kwa furaha kuabudu pamoja.
Mungu Amefichua katika Sayuni kwa ulimwengu uadilifu Wake na utakatifu Wake.
Watu wote wa Mungu wanachangamka kwa furaha, wakimtukuza Mungu bila kukoma.
Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Haleluya! Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli.
Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.
Sauti inayosifu yapasua mbingu.
Acha sisi, waume kwa wake, wazee kwa vijana, tuwahi pamoja.
Watoa nyimbo nami natoa ngoma, uimbe nami nishirikiane.
Aliyetiwa aibu ni shetani—joka kubwa jekundu; lililotukuzwa ni jina la Mwenyezi Mungu wa kweli.

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, neema
Tumeona tabia adilifu ya Mungu kutoka kwa kazi Yake.
Mwenyezi Mungu ni Mungu mwadilifu. Watu wote wa Mungu wameiona sura Yake tukufu.
Sisi sote hufuata kumpenda na kumtosheleza Mungu, tukipenda kuwa waaminifu Kwake milele.
Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Haleluya! Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Njooni! Hebu tumsifu Mungu!
Njooni! Hebu tumsifu Mungu!
Kuja!
Milima inashangilia na maji mengi yanacheka,
mataifa yote na watu wote wanacheka kwa furaha. Mtazamo mpya ulioje!
Hiyo mbingu mpya, dunia mpya, na ufalme mpya!
Tunacheza na kuimba nyimbo mpya kwa Mungu; tumefurahi sana!
Nyimbo nzuri sana zaimbiwa Mungu, ngoma za madaha zaidi zawasilishwa kwa Mungu.
Moyo mnyofu umeinuliwa juu kwa Mungu, moyo wa kweli umetolewa juu kwa Mungu.
Watu wote wa Mungu na vitu vyote watamsifu Yeye milele bila kukoma. Ha!
Lo! Sayuni ni tukufu sana!
Makao ya Mungu hung'aa kwa miale ya mwanga. Utukufu wake hung'aa kotekote ulimwengu mzima.
Mwenyezi Mungu huvaa tabasamu, na hukalia enzi Yake akitazama umbo jipya la ulimwengu mzima. Ala

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Jumanne, 13 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"

Umeme wa Mashariki | Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili

Song Ruiming ni mchungaji wa kanisa huko Korea Kusini. Kama mfuasi wa dhati wa Bwana kwa miaka mingi, amekuwa akifuatilia imani yake kwa bidii sana na kumfanyia kazi Bwana huku akisubiri kuinuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Katika miaka ya hivi karibuni, amekuwa akihisi kuchanganyikiwa sana na mwenye udhaifu anapokuwa akiona kwamba Kanisa halina kazi ya Roho Mtakatifu na linazidi kuwa na ukiwa. Hapo ndipo aliposikia kuhusu dhehebu kwa jina la Umeme wa Mashariki linaloibuka nchini China ambalo linashuhudia kurudi kwa Bwana YesuMwenyezi Mungu, ambaye Anafanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho kwa kuonyesha ukweli. Hivyo Song Ruiming na mhubiri Cui Cheng'en walisafiri kwenda China kujifunza Umeme wa Mashariki, ambapo hatimaye waliyasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, na kugundua kwamba maneno yote ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, sauti ya Mungu! Mwenyezi Mungu huenda ndiye Bwana Yesu aliyerejea! Hata hivyo, walipokuwa wakichunguza kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, walisalitiwa na wazee wa kidini ambao waliwatahadharisha polisi kuwahusu. Wawili hao walikamatwa na kufukuzwa nchini na polisi wa kikomunisti wa China. Huko Korea Kusini, Song Ruiming alihisi hasa huzuni makali na kujisahau. Aliendelea kufikiria njia za kuwasiliana na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Ghafla siku moja, aligundua tovuti ya Kikorea ya Kanisa la Mwenyezi Mungu kwenye mtandao, akijua kwamba Umeme wa Mashariki lilikuwa limeenea hadi Korea Kusini na kulitaifisha Kanisa la Mwenyezi Mungu! Huku akiwa na shangwe na msisimko, Song Ruiming aliongoza ndugu wa Kanisa lake kujifunza njia ya kweli katika Kanisa la Mwenyezi Mungu. Waliamini tisti kwamba Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerejea. Walikubali kwa furaha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na wakang’amua njia ya ufalme wa mbinguni. Hatimaye ana nafasi ya kutimiza ndoto yake ya ufalme wa mbinguni.

Best Swahili Christian Worship Song “Maisha Yetu Sio Bure”

Best Swahili Christian Worship Song “Maisha Yetu Sio Bure”

Best Christian Worship Songs Swahili “Maisha Yetu Sio Bure”
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.
Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!
Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.
Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.
Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.
Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.
Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure.
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Maisha ya kumpenda Mungu, yenye maana, sio matupu.
Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake.
Tunapata sifa ya Mungu, tunapokea wokovu Wake.
Hatuishi bure; maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa.
Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.
Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure.
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Ni nani angeweza kuwa amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa?
Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu 
kwa utajiri na wingi mno?
Kwa kuwa Mungu ametupa sisi 
mengi zaidi kuliko chochote kile Alichotoa katika enzi zilizopita.
Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu, 
Aliyetuinua mimi na wewe.
Tunapaswa kurudisha upendo wote uliomwagwa kwetu.
Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.
Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure.
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto.
Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure.
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
kutoka kwa Fuata Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatatu, 12 Februari 2018

Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Mwenyezi Mungu alisema, Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, “Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi, katika hukumu Yako mimi ninaona tabia Yako takatifu na tabia Yako ya haki. Unaponihukumu, ili wengine wapate kuiona hali Yako ya haki katika hukumu Yako, ninaridhika. Iwapo hukumu Yako itaonyesha tabia Yako, na kuruhusu tabia Yako ya haki kuonekana na viumbe wote, na iwapo inaweza kufanya upendo wangu Kwako uwe safi zaidi, ili niweze kufikia mfano wa mwenye haki, basi hukumu Yako ni nzuri, kwa maana hivyo ndivyo mapenzi Yako ya neema yalivyo.

Jumapili, 11 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?

Je, unaweza kuonyesha tabia ya Mungu ya nyakati kwa lugha inayofaa iliyo na umuhimu wa nyakati? Kupitia uzoefu wako wa kazi ya Mungu, unaweza kueleza kwa undani tabia ya Mungu? Utaielezaje vizuri, kikamilifu? Ili kupitia haya, watu wengine wapate kufahamu uzoefu wako. Utawezaje kupitisha uliyoyaona na kupitia kwa maskini hawa wa kuhurumiwa, na waumini wa kidini wa kumcha Mungu waliojitolea na waliojawa na njaa na kiu cha haki na wanaongoja uwe mchungaji wao? 

Jumamosi, 10 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung’utwa na makovu na vilio. Alikuwa amefika mwisho kabisa, na katika wakati wa kukata tamaa wakati alikuwa amepoteza matumaini yote, mwishowe mwito wa kuaminika wa Mwenyezi Mungu ukauamsha moyo na roho ya Xiaozhen …
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, uaminifu
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Ijumaa, 9 Februari 2018

Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu

Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu

Tangu alipokuwa mdogo, Novo alimwamini Bwana Yesu, kama mama yake tu. Hata kama alisoma Biblia, kuomba, na kuhudhuria mahubiri mara kwa mara, mara nyingi hangeweza kujizuia bali kufuata mielekeo mibaya ya dunia, kutamani raha za mwili, na kudanganya na kusema uwongo…. Alikusudia mara nyingi kuyaacha maisha ya aina hiyo ya kuzunguka katika kutenda dhambi na kukiri, kukiri na kutenda dhambi. Hata hivyo, kila wakati hakufaulu. Baadaye Novo alipokuwa akifanya kazi nchini Taiwan alisikia injili ya ufalme, na kwa kuyasoma maneno Yake Mwenyezi Mungu alifikia hitimisho kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu, na kuwa kazi Yake ya hukumu na utakaso katika siku za mwisho ina uwezo wa kusuluhisha kikamilifu tatizo la asili ya mwanadamu ya dhambi. Hivyo, alikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho kwa moyo uliojaa furaha. Miaka miwili baada ya hayo, Novo alirudi nchini Ufilipino na kuanza kutekeleza wajibu wake katika Kanisa la Mwenyezi Mungu. Alipata lengo na mwelekeo wake katika maisha, na kutoka wakati huo na kuendelea moyo wake uliopotea mwishowe ukaja nyumbani.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Umeme wa Mashariki | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Umeme wa Mashariki | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya binadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote zilizorudiwa zinapenyeza mioyo ya watu. Kila hukumu inaathiri kwa njia ya moja kwa moja hatima yao na inalenga kujeruhi mioyo yao ili waweze kuachilia yale mambo hayo yote na hivyo basi kuja kujua maisha, kuujua ulimwengu huu mchafu, na pia kujua hekima ya Mungu na uweza Wake na kujua mwanadamu huyu aliyepotoshwa na Shetani.

Alhamisi, 8 Februari 2018

Neno la Mungu | "Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?" (Official Video)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Neno la Mungu | "Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?" (Official Video)

Mwenyezi Mungu alisema, Kama mtu anayemwamini Mungu, inakupasa kuelewa kuwa, leo, katika kupokea kazi ya Mungu nyakati za mwisho na kazi yote ya mpango wa Mungu ndani yako, umepokea utukufu mkuu na wokovu wa Mungu kabisa. Kazi yote ya Mungu ulimwengu mzima imelenga watu wa kikundi hiki. Amejitolea kwa nguvu Zake zote na kutoa vyote kwa ajili yako; Amekurejesha na kukupa kazi yote ya Roho ulimwenguni kote. 

Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku

Mwenyezi Mungu alisema, Tangu mwanzo wa kazi Yake katika ulimwengu mzima, Mungu ameamulia kabla watu wengi kumhudumia Yeye, wakiwemo watu kutoka kila nyanja ya maisha. Kusudio Lake ni kutimiza mapenzi Yake Mwenyewe na kuhakikisha kwamba kazi Yake hapa ulimwenguni imetimia. Hili ndilo kusudio la Mungu katika kuwachagua watu wa kumhudumia Yeye. Kila mtu anayehudumia Mungu lazima aelewe mapenzi haya ya Mungu.