
Alhamisi, 4 Oktoba 2018
Tamko la Mia Moja na Nane
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 04, 2018Kurudi-kwa-Yesu-mara-ya-pili, mwanzo-wa-maafa, Mwenyezi-Mungu-alisema, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Tamko la Mia Moja na Nane
Ndani Yangu, wote wanaweza kupata raha na wote wanaweza kuwa huru. Wale walio nje Yangu hawawezi kupata uhuru na furaha kwa sababu Roho Wangu hayuko pamoja na watu hawa....
Jumatano, 3 Oktoba 2018
Filamu za Kikristo | "Vita" | God Saved Me From the Hands of False Shepherds (Swahili Subtitles)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 03, 2018kusoma-maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, kweli, Mwenyezi-Mungu, Video, Video-za-InjiliNo comments

Filamu za Kikristo | "Vita" | God Saved Me From the Hands of False Shepherds (Swahili Subtitles)
Zhang Hui alikuwa mzee katika kanisa la nyumbani la Kichina. Kila wakati alikuwa mtafutaji mwenye bidii, na alikuwa anangojea kuja kwa Bwana. Katika miaka ya hivi majuzi, alishuhudia kanisa likikumbwa na huzuni pole pole...
Jumanne, 2 Oktoba 2018
Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 02, 2018Kiini-cha-Kristo-Ni-Mungu, Kristo, tabia-ya-Mungu, Video, Wimbo-za-InjiliNo comments

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs
Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo,
kwani Ana kiini cha Mungu, Ana tabia ya Mungu na hekima katika...
Jumatatu, 1 Oktoba 2018
Neno la Mungu | "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 01, 2018Kupokea-Ufunuo-wa-Mungu, Mwenyezi-Mungu-alivyosema, Neno-la-Mungu, Video, Video-za-InjiliNo comments

Neno la Mungu | "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?"
Mwenyezi Mungu alivyosema, “Historia inaendelea mbele, na pia kazi ya Mungu, na matakwa ya Mungu yanaendelea kubadilika. Haingewezekana kwa Mungu kudumisha hatua moja ya kazi kwa miaka elfu sita, kwani kila mwanadamu anajua...
Jumapili, 30 Septemba 2018
Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 30, 2018Mungu-ni-Kumwokoa-Binadamu, Nyimbo-za-injili, Upendo-na-huruma-za-Mungu, wema-wa-mungu, Wimbo-za-InjiliNo comments

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.
I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la,
kazi...
Jumamosi, 29 Septemba 2018
Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 29, 2018Matamshi-ya-Mungu-kwa-Ulimwengu-Mzima, Nyimbo, Nyimbo-ya-Msifuni-Mwenyezi-Mungu, nyimbo-za-dini-mpya, wimbo-wa-KikristoNo comments


Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu
Ⅰ
Katika ufalme Wake, maneno ya Mungu hutoka.
Naye hutembea kila mahali duniani.
Naye amefanikiwa juu ya maeneo yote ya duniani,
juu ya nchi yote iliyo najisi na yenye uchafu.
Sio mbingu tu bali dunia inabadilika.
Na...
Ijumaa, 28 Septemba 2018
Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 28, 2018Kukusanyika-katika-Zizi-la-Ng'ombe, Mateso-ya-Kidini, Mchezo-Mfupi-wa-Kuchekesha, Video, Video-za-KikristoNo comments

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting
Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza...
Alhamisi, 27 Septemba 2018
Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 27, 2018Kristo, Umeme-wa-Mashariki, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments


Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki
Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang
Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo...
Jumatano, 26 Septemba 2018
Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 26, 2018haki-na-hukumu, Matendo-ya-Mungu, Mungu-katika-mwili, Nyimbo-za-Neno-la-Mungu, VideoNo comments

Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God
Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu...
Jumanne, 25 Septemba 2018
Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 25, 2018Kumtii-Mungu, kutenda-ukweli, mioyo-ya-uaminifu, Video, Video-za-Nyimbo-na-Kucheza, Wale-Wanaompenda-MunguNo comments

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)
Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana,
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi...
Jumatatu, 24 Septemba 2018
Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 24, 2018kumfuata-Mungu, Mateso-ya-Kidini, Mchezo-Mfupi-wa-Kuchekesha, Njama-za-Polisi, Video, Video-za-KikristoNo comments

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)
Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote. Kichekesho cha Njama za Polisi kinahusu ushirikiano wa maafisa waovu wa CCP katika...
Jumapili, 23 Septemba 2018
Utajiri wa Maisha
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 23, 2018Mateso-ya-Kidini, Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Utajiri-wa-Maisha, VitabuNo comments


Utajiri wa Maisha
Wang Jun Mkoa wa Shandong
Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na...